wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

    Habari za leo wana jamii Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano. Mawasiliano 0624078385
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena

    Iran yatangaza kufungwa kwa anga hadi itakapotangazwa tena Na AFP na Wafanyakazi wa ToI Leo, 11:41 asubuhi Mamlaka ya usafiri wa anga ya Iran imetangaza kwamba anga ya nchi hiyo imefungwa "hadi ilani zaidi," vyombo vya habari vya serikali vimeripoti, huku Israel na Iran zikiendelea kufyatua...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  5. JamiiForums Tanzania Benki zikizuiwa kukopesha wafanyakazi walioajiriwa hasa wa serikali zitakufa mara moja

    Kitu kinaitwa Salaried Workers Loan (SWL) ndio chanzo cha mateso ya wafanyakazi maana wengi wanakopa kwa kufuata mkumbo. Ukipata nafasi ya kuongea na maafisa mikopo wa benki na namna wanavyowawahi staff wapya wanapoajiriwa utaelewa namna nchi ilivyo na wajinga wengi. Mtu katoka kuajiriwa na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  7. JamiiForums Tanzania DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wasafi hawajalipwa mishahara miezi kadhaa ila bosi wao anaonekana anatunza mamilioni kwenye harusi Nigeria

    Habari wadau. Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola mia mia kwa watu wengii Hasiowajua.. ila wafanyakazi wake anaewajua mishahara hakuna Waajiri muwe...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi 50+ tumeondolewa katika ajira ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kwa uonevu, Mamlaka za juu zitusaidie

    Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni Muhimu kuajili watu ili kuongeza nguvu katika vitengo mbalimbali ikiwepo security. Tuliitwa Vijana...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TUCTA Rukwa yawataka wananchi na wafanyakazi wote kushiriki uchaguzi

    Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali maslahi ya wafanyakazi na kuleta maendeleo ndani ya nchi. Hayo yamebainishwa na mratibu wa TUCTA mkoani...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mjitathimini

    Inaskitisha km siyo kuhuzunisha, kuona kiongozi anaeongoza kundi kubwa la wasomi tena wengine waliomzidi umri na elimu kuongea mbele za watu km muwindaji wa porini alieamua maisha yake ayamalizie kukimbizana na wanyama au ndege. Siku ya MAY MOSI ni siku ya wafanyakazi kueleza mbele ya kiongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamshukuru Rais Samia kwa kupandisha mshahara 'tataenda kufanya kazi kwa bidii'

    Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rc Simiyu,Kenan Kihongosi akemea majungu,fitina na chuki kwa wafanyakazi

    MKUU wa mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi, amewataka watumishi wa umma mkoani humo kuachana na tabia za fitina, majungu na chuki katika maeneo ya kazi, akisisitiza kuwa hali hiyo inachangia kuporomoka kwa tija na kuathiri utoaji wa huduma kwa wananchi. Akizungumza Mei Mosi,2025, wakati wa...
  15. JamiiForums Tanzania Ili niamini kuwa kweli Wafanyakazi wa Tanzania wameongezewa kweli Mishahara yao 'Meidei' ya Leo naomba nijibiwe haraka Kwanza haya Maswali yangu....

    1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%? 4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Wafanyakazi hawana deni na Rais, bali Rais ndiye anawadai

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema wafanyakazi wanafurahishwa na maboresho wanayofanyiwa na Serikali ya awamu ya sita. Ameyasema hayo leo Alhamisi Mei 1, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ mkoani yanayofanyikia kitaifa mkoani Singida ambapo mgeni...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  18. JamiiForums Tanzania Watumishi MOI washiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 2025 Kawe

    Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'. Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  20. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya wafanyakazi 2025 kutoka Prath Limited

    Prath Limited tunaungana nawe kukutakia heri ya siku ya wafanyakazi 2025. Prath Limited joins you in wishing you a Happy Labor Day 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…