Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).
Amesema kazi hiyo...
Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku.
Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi.
Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri.
Yaani unafanya kazi kampuni A...
TTCL ina tatizo kubwa la uongozi na maono. Inawezekanaje shirika lenye wataalamu, watu wenye elimu na rasilimali liendelee kufanya maamuzi yanayoonekana kama hayana mwelekeo wa ushindani?
Tatizo si ukosefu wa vyeti—tatizo ni ukosefu wa maono, ubunifu na uthubutu wa kufanya maamuzi.
Elimu ya...
Habari za majukumu,
nimefungua salon mpya ya kisasa ya kike ambayo nalenga kutoa huduma zote za urembo wa kike kama vile,
kusuka
make-up
facial
Kupaka rangi
kuosha miguu
na nyinginezo nyingii
salon ipo kimara suka - dar es salaam,
kama wewe ni mjuzi wa hizo huduma au unafahamiana na mtu...
Taarifa zinazozunguka katika baadhi ya duru za wafanyakazi zinamhusisha mmoja wa vigogo wa chama kikubwa cha wafanyakazi nchini na sakata linalodaiwa kuhusisha utata wa cheti cha elimu.
Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo bado hazijathibitishwa rasmi na mamlaka zinazohusika, suala hilo linadaiwa...
Vyama vya wafanyakazi na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) viliundwa kama ngao ya kulinda, kutetea, na kuwasilisha sauti ya mfanyakazi. Mfumo huu unapokengeuka na kupoteza maono yake ya msingi, chombo kilichoundwa kumkomboa mfanyakazi kinageuka kuwa tishio kwa maslahi na haki zake...
Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila wafanyakazi ni kukuru kakara. He/she wake up early in the morning doing the same thing from January...
Pakistan: Sadiq Masih, Mkristo mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akifanya kazi katika tanuri la matofali, aliuawa baada ya kupata kiu na kunywa maji kutoka kwenye chombo cha kupoozea maji (Water cooler) ambacho wafanyaazi wenzake wa kiislam hawataki wenye dini nyingine kutumia.
Hio water cooler...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali.
Wafanyakazi hao...
Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi.
Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri.
Jambo...
Anonymous
Thread
afya
chuo
college
dar
kimara
kimara korogwe
korogwe
mmiliki
sayansi
waalimu
wafanyakazi
wake
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa wagonjwa.
Malipo duni ya Muda wa ziada na tunavuliwa uongozi na kutishwa kufukuzwa kazi tunaposemea...
Anonymous
Thread
hii
hospital
kufanya
mbili
mwanza
nje
serikali
uongozi
utaratibu
wafanyakazi
Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya Erolink, kwa kipindi chote tulichofanya kazi, mwajiri wetu hakuwasilisha michango yetu ya NSSF, na licha ya...
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Saruji cha Maweni Limestone Limited kilichopo Maweni mkoani Tanga tunaishi kwa uchungu mkubwa, tulikuja hapa miaka iliyopita kama vibarua kwa ahadi ya kupewa mikataba baada ya miezi 6.
Tulipata ajira Mwaka 2023 na wengine 2024 lakini hadi leo Julai 2026 ahadi hiyo...
Anonymous
Thread
bima
hatuna
kiwanda
likizo
mikataba
mkubwa
saruji
tanga
uchungu
wafanyakazi
Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na mikataba ya wafanyakazi.
Kero kubwa ni kwamba gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku lakini cha...
Heshima kwenu wakuu,
Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind), ufanisi kazini (performance) huongezeka mara dufu.
Je, unajua kwamba unaweza kulinda afya na ustawi wa...
Wafanyakazi wa Hospitali ya Ekenywa iliyopo Magomeni Mwembe Chai tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazopitia katika sehemu yetu ya kazi.
Kwa muda sasa tumekuwa tukikabiliwa na matatizo ya kutolipwa mishahara kwa wakati pamoja na kutolipwa malipo ya muda wa ziada...
Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri.
Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka malalamiko yangu katika Moja ya ofisi za NSSF zilizopo hapa Dar es salaam kwamba Kwa kipindi kirefu...
Anonymous
Thread
baada
kupata
kutoka
nssf
private
rushwa
stahiki
suala
viashiria
wafanyakazi
Wafanyakazi wa makampuni ya ki bongo wanakera sana , inapotokea umefanya kz na kampuni yao wakijua kuna malipo mazuri utapokea , unakutaka mtu anajitokeza Mkuu utaniachaje. Ukichomoa wanakufanyia mizengwe kwenye kupata malipo yako kwa wakati .
Hamjambo!
Hii ni maajabu. Nasindwa kuhelewa.
Katika mishemishe zangu huko nikatokea kijiwe fulani hivi huko mjini kati.
Sasa wale vijana wanafanyia kazi katika moja ya viwanda hapa jijini.
Vijana wanakuambia, kazi ni ngumu sana.
Kazi wanafanya Masaa zaidi ya 12.
Malipo ni kidunchu.
Siku za...