Salaam Wakuu,
Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara.
Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
Salaam, Shalom!!
Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi,
Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
JF wasaalam,
Kwa muda mrefu sasa najionea Kwa macho yangu wafanyabiashara wa Nchi jirani wakinunua nafaka vijijini. Karibia Kila Nchi inayotuzunguka wafanya biashara wa mazao wamekuwa wakiingia Tanzania hadi ndani vijijini kusaka mazao.
Hofu yangu ni watanzania wazawa ambao nao pia ni...
Kituo hiki cha kujazia gesi cha kampuni binafsi kilizinduliwa mwaka jana mwishoni na Naibu waziri mkuu, Dotto Biteko. Wakati wanaanza kilikuwa hakina magari mengi yanayojaza gesi na kuna kipindi huoni kabisa gari pamoja na pampu nyingi walizizonazo, pia kituo kina karakana ya kuweka mfumo wa...
Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya viungo, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo:
1) Bei ya kilo moja kwa kila kiungo huko mashambani.
2) Bei kwa kilo moja mpaka inafika Dar es salaam.
3) Ubora wa kila kiungo.
Viungo ambavyo navihitaji kupata taarifa zake ni :
a) Iliki
b) Mdalasini
c)...
SIMU JANJA ZIWASAIDIE KUPATA TAARIFA ZA MAENDELEO - WAZIRI DKT. GWAJIMA
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewaasa wafanyabiashara ndogondogo kutumia simu janja walizonazo ziwasaidie kupata taarifa sahihi za fursa mbalimbali za maendeleo...
Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
Wakuu nimefika eneo la maduka ya Manzese kwa ajili ya kufanya manunuzi yangu binafsi ila nikakuta maduka yote yamefungwa.
Kwa tetesi zilizopo ni kwamba kuna mgomo unaoendelea.
Tatizo kubwa ni halmashauri kuweka service levy kubwa ambazo hazina uhalisia walikuja viongozi wakasema majibu kamili...
Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza Bidhaa Feki kila mahali na wanauza kwa uhuru kabisa. Imagine mtu anatangaza kabisa iPhone 15 Pro ni Tsh...
Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections
chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba
Hajui kutumia mfumo wa kusajili biashara mambo ni mapya kwake
hana uzoefu ku negotiate na maafisa wa tra, jiji, n.k...
Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania
Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko.
Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga
Biashara ikiwa na wateja...
Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
Kwanini wanaojihusisha na biashara ndogondogo (wafanyabiashara wadogo) hasa wajasiriamali wanaonekana kuuza vitu vyenye ubora mdogo hata kama vinafanana na wenye biashara kubwa tena kwa bei nafuu zaidi?
Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania
ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power.
hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe.Rais, kwa namna ya pekee pekee ninapenda kuchukua nafasi kukupongeza kwa kuwa kielelezo Cha safari ya mabadiliko makubwa kwenye nyanja mbalimbali katika Taifa letu na kubwa zaidi...
ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0.
wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...