wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tilisho na Wafanyabiashara wote, waungeni Mkono CHADEMA mfanye biashara kwa uhuru

    CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu. Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA. Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe. Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona...
  2. JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuwa na wafanyabiashara wasiotaka kufuata utaratibu!

    Ni imani yangu kuwa moja ya kazi ya Serikali kwa sasa ni kuandaa na kuwajenga matajiri nchini ambao sio tu watafanya kazi zao ndani ya nchi bali ikibidi waweze kwenda kuwa wawekezaji nje ya na karibu na mipaka yetu. Leo hii nikiona matajiri hawa wanaolindwa kwa namna nyingi wanataka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanazikusanya za kutosha kwa hofu ya Rais ajae kukaza vyuma. Kuna Mabilionea under 40 wengi sana

    Its open season wakuu, Vijana wafanyabiashara under 40 wanazidi kuzitusua, kiwango cha matajiri under 40 hakijawahi kuwa kikubwa kama sasa. By hook or crook vijana wanazikusanya chap chap mapema sana , time is ticking, time imekuwa money Idadi ya magari yenye private plats inazidi kuwa kubwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Soko la Yiwu jijini Da es Salaam ni neema kwa wafanyabiashara na wanunuzi wa Tanzania

    Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu China. Mji huu, ambao ni wilaya ya viwanda na ni eneo lenye watu wengi, ulioko kwenye mkoa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Maonesho ya Nanenane yageuka Jukwaa la Bidhaa za Wafanyabiashara badala ya Wakulima

    Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo. Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya yamevamiwa na wafanyabiashara wasiokuwa wakulima, jambo ambalo limesababisha kwa kiasi kikubwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara Mikindani tunakatwa ushuru, tukiomba risiti wanatutishia

    Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Tunakatwa ushuru wa kila siku bila kupewa risiti za malipo kama inavyotakiwa. Tunapodai kupewa risiti...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?

    Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge. Swali langu ni moja: kwa nini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wafanyabiashara soko la Mawenzi wagoma kisa kodi kuongezwa hadi 20,000

    Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro wamegoma kufungua biashara wakishinikiza Serikali ipunguze Kodi ya pango la Vizimba.Wafanyabishara hao wamesema licha ya kutozwa Kodi kubwa lakini bado Soko hilo lina Miundombinu mibaya jambo ambalo Wateja wanakimbia kufika hapo.Mkuu wa Wilaya ya...
  9. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wakubwa ni miongoni mwa wadau wanaochangia mataifa mengi kuwa na viongozi wa juu vilaza.

    Katika ulimwengu wa siasa kuna watu wanaitwa wazee wa mfumo,hili ni kundi la watu linalojumuisha wafanya biashara wakubwa katika taifa ,hapa kwetu mfano mzuri ni Rostam Aziz,Mohamed Dewdji,GSM,Kiziga,na wengineo. Sifa kuu ya hawa watu ni kuwezesha wanasiasa na chama cha siasa ili kishike dola...
  10. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Machinga Complex Dodoma wamuhoji Gerson Msigwa pesa zipo wapi wateja hakuna

    Habari hii inaonyesha changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Machinga Complex Dodoma, ambapo wanadai kuwa biashara zimepungua kutokana na ukosefu wa wateja na mzunguko mdogo wa fedha. Kwa mujibu wa mfanyabiashara aliyetoa malalamiko hayo mbele ya Msemaji Mkuu wa...
  11. JamiiForums Tanzania TBSyaingia mgogoro na wafanyabiashara baada ya kurudisha tozo ya 15% mizigo kutoka China

    Ilikua ni kati ya kero zilizoibuliwa baada ya mgogoro wa Serikali ma Wafanyabiashara uliopelekea Majaliwa akiwa PM kuunda Tume. Lakini yale yaliyolalamikiwa yamerudishwa kwa kasi ya ngiri na kodi zingine juu plus TOZO , huku TBS Ikiwa haina nia ya kuondoa kero hiyo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji na mbinu za Mchina ila leseni na duka la mzawa, Ni ngumu kuwazuia wachina, kwa sasa wapo kwenye vita ya bei na wanazidi kushinda

    Dukani unafika umakuta mbongo lakini mzigo mkubwa na mbinu anazotumia unamshuku yupo tofauti sana na wengine, Bei anazouza kwa jumla elf 15, Reja reja elf 16, ni nani kampa jeuri hii ? Ni wachina hao, ndio wenye mtaji, ndio wenye mzigo na wapo tayari kulipia gharama za frem, usafiri, n.k...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Matapeli mitandaoni hubadili Usernames baada ya kupiga tukio

    Moja ya ishara kubwa ya kurasa za utapeli mtandaoni ambayo watu wengi hawaistukii ni tabia ya kubadilisha majina ya akaunti zao mara kwa mara. Matapeli wakishawadhulumu watu na jina lao kuanza kuchafuka mtandaoni, hawafuti akaunti; badala yake, wanabadilisha tu jina la ukurasa, picha ya wasifu...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  15. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  16. JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano yanaweza yasitokee,ila wafanyabiashara wengi watapata hasara

    Nipo viwanja vya sabasaba hapa Dar,polisi wametanda wengi sana nje na magari yao na majibwa ndani 95% nawaona ni wahudumu tu ,kupita getini unapekuliwa sana hasa ukiwa kijana kama mm sema mimi nimevaa kwa code ngumu na sina chochote. Bado sijaona mobilization kwa sasa mpaka nipate uhakika wa...
  18. JamiiForums Tanzania TRA wawe na duka lao la mfano kwa Wafanyabiashara

    Video: ALAMA GLOBAL
  19. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mapazia na vyomno vya nyumbani inalipa. Angalia nyumba za wafanyabiashara hao

    Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI Video
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…