wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Kuchangisha pesa Wafanyabiashara kila kunapokuwa na ugeni wa kitaifa (siasa) katika Mkoa

    Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo, ni kama unafanya biashara kwa hisani, wakati kodi unalipia na fee zote unalipia. Sasa kwanini...
  2. MamaSamia2025

    Inashangaza kuna wafanyabiashara hawafuati kabisa usemi wa ''mteja ni mfalme'' ila bado wanauza hatari

    Haya mambo ya biashara hayana kanuni inayoeleweka. Siku za karibuni kuna jamaa yangu kaanzisha biashara ya kuku wa kienyeji ila ufanyaji wake wa biashara ni wa kushangaza sana. Kwanza bei zake ni kubwa kulinganisha na bei ya soko. Pia ukienda kwake kununua kuku unamkata mwenyewe bandani. Banda...
  3. M

    Mwigulu: Wafugaji mfugo ukiumia anautibu, ila sisi wafanyabiashara wakiyumba tunawafungia badala ya kuponya biashara zao

    Mwigulu Nchemba amesema kuwa Sekta binafsi ni muhimu sana katika ukuaji wa Uchumi ila maafisa wa Serikali ni kama wanazidiwa maarifa hadi na wafugaji Akitoa mfano huo amesema wafugaji mfugo ukivunjika mguu wanaufunga PoP au ndama akiacha kunyonya wanahangaika naye hadi anyonye au mfugo ukikonda...
  4. Bwege2030

    Elimu ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wafanyabiashara

    ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC ~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
  5. M

    Mikopo Kwa wafanyabiashara

    Habari Nikiwa kama afisa mikopo ambaye nimefanya kazi ya mikopo katika taasisi mbalimbali za kifedha hapa nchini ninawakaribisha wafanyabiashara kuweza kuomba mikopo Kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja Muda wa mkopo ni miezi mitatu sita 12 na 24 Riba ni asilimia 3.5...
  6. Keynez

    Watumishi wapya wa serikali wanakaribishwa kwenye utumishi kwa kuambiwa wakawe wafanyabiashara

    Kwa siku za hivi karibuni nimekutana na video kadhaa za Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka akiwa katika warsha ya kuwakaribisha watumishi wapya wa umma. Cha kushangaza, video hizo zimejaa mafunzo kwa watumishi hao jinsi gani wanaweza kuwa wafanyabiashara na wakulima. Sijaona mafunzo ya...
  7. Roving Journalist

    Kariakoo: Wafanyabiashara, bodaboda wanaoziba barabara na njia za watembea kwa miguu watakiwa kupisha

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu. Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
  8. Tronics guru

    Matapeli wamevamia JF wafanyabiashara wezangu humu tuchukue tahadhari!!

    Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana. Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee. Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu. Sasa hii ya leo ni kali,mtu kanicheki yupo Maili moja...
  9. H

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akiwasilisha mada kuhusu fursa na vivutio vya uwekezaji nchini alipokutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa Sweden kwenye ofisi za ubalozi jijini Stockholm, mnamo tarehe 6 Februari, 2026 (Picha kwa hisani ya Ubalozi).
  10. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe: Rais Samia amerejesha tabasamu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa ukarabati wa Soko

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya Shingi Bilioni 28 zilizorejesha tabasamu kwa wafanyabiashara wa Kariakoo ambazo...
  11. Q

    Wafanyabiashara Kariakoo waambiwa wafunge biashara ili Samia aje kufungua soko

    Hofu ya nini kama kweli alishinda kwa 98%, ataishi hivi hadi lini. == Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo unapenda kuwataarifu wafanyabiashara kua maduka yote yanayolizunguka soko, hususani yale yaliyopo pembezoni mwa soko, mnatangaziwa kuwa kesho tarehe 07/02/2026 saa kumi kamili...
  12. M

    Mikopo kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma kulipia ushuru bandarini na kuagiza magari toka nje ya nchi

    UZI MAALUMU WA MIKOPO KWA WAFANYABIASHARA, WATUMISHI WA UMMA, KUAGIZA MAGARI TOKA NJE YA NCHI NA KULIPIA USHURU BANDARINI. Habari Katika utafutaji wa maisha wa kila siku pesa limekuwa jambo kuu na la msingi ambalo mtu analihitaji katika kutimiza shida zake na mipango yake. Kwa kulitambua hilo...
  13. H

    Dkt. Mwigulu: Wafanyabiashara msiwaumize wananchi

    WAFANYABIASHARA MSIWAUMIZE WANANCHI-DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara nchini kutowaumiza Watanzania kwa kupandisha bei za bidhaa hususani kipindi hiki cha kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na mfungo wa Kwaresma kwa kuwa nchi kwa sasa...
  14. MamaSamia2025

    Uaminifu bado ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara wa Tanzania na wateja wao

    Mtaji wa kwanza kwenye biashara ni uaminifu. Ukiwa mwaminifu unaweza kuvumilika kwenye madhaifu mengine. Uaminifu ni bidhaa muhimu kuwa nayo kwenye biashara. Nchi yetu bado ina uhaba mkubwa wa watu waaminifu hasa kwenye biashara na ujasiriamali. Imefikia wakati ukisema wewe ni mjasiriamali...
  15. T

    Wafanyabiashara Walia na Wageni Kufanya Biashara Kariakoo, Faini Ndogo

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi. Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
  16. saidoo25

    Ziara ya Kihongosi imeingia doa, wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wapaza sauti

    Wakuu, Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
  17. M

    Wafanyabiashara soko la Mabibo: RC Chalamila alikuja sokoni akaishia kututukana. Tukapewa kesi ya kutaka kuchoma gari la serikali

    Wafanyabiashara wa soko la mabibo wafunguka kutukanwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba.
  18. U

    Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

    🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS In a dramatic escalation of tensions between the United States and Tanzania, prominent American entrepreneur @MichaelCoudrey, Chairman & CEO of Pharos...
  19. Waufukweni

    JWT yampata mwenyekiti mpya wa wafanyabiashara

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania (JWT) imefanya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa kwa nafasi za juu, ambapo aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi kilichomalizika, Bw. Hamisi Abdallah Livembe, amechaguliwa tena kuendelea kushika nafasi ya Mwenyekiti. Uchaguzi huo umefanyika tarehe 15...
  20. Sifi Leo

    Wafanyabiashara wakubwa katika mikoa hufuata Nini CCM ,kama sio kichaka Cha kufichia maovu Yao?

    Najiuliza au nauliza ? Hivi wafanya biashara wakubwa ufata Nini ccm? Au utumia kichaka hicho kama sehemu ya kufichia maovu Yao? Ccm ni chama au genge la wahalifu wanaojiunga Ili kufichaovu Yao? Ni nani aloyeccm ambae ni mzarendo wa kweli? 😭 Ccm ni lama au chama Cha majambaziiii
Back
Top Bottom