wadogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa

    Habari Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40 Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum F Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu mnao kata hela za wadogo zetu tunapowatumia mna shida gani?

    Leo nimeamka na ninyi waalimu hakika haipendezi kabisa na sio sawa. Ni mara kadhaa sasa hii tabia baadhi yenu(walimu) huwa tukituma hela za matumizi kwa watoto/wadogo zetu mnawakata hela zao. Mfano kuna dogo yupo advance shule X juzi nilimtumia mwalimu wake hela cha ajabu kwenye ile hela...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  4. JamiiForums Tanzania Wenye wadogo zetu wenye umri sawa na watoto wetu tukutane hapa

    Wakuu kuna mambo ambayo kisheria yako sawa ila kiustaarabu yana ukakasi. Kwa mfano hili suala la wazee wa zaidi ya miaka 60 kuwa na mtoto mdogo na kabinti. Yaani kabinti kadogo kanachopaswa kukuamkia. Mbaya zaidi unakuta mzee kiuchumi hayuko poa inabidi tena umpige tafu. Hii naona haiko sawa...
  5. JamiiForums Tanzania Visa vya pedophiles vinazidi kuongezeka kwa kasi hapa bongo. Kama mzazi hivi ndivyo unavyoweza fanya angalau kulinda mabint ako wadogo dhidi ya pedos

    Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video. pili, haijalishi udogo wa mtoto ila usimu expose na kuchezea simu yako na kufahamu mienendo ya social media. Siku izi watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Tangu tukiwa wadogo Haji Manara wanawake hawakumpenda

    Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila. Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School . Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje dance routine kama hii inaruhusiwa kwa watoto wadogo kama hawa huku hadhara ikishuhudia?

    Sina uhakika hii video ni ya zamani au ni recent ila all in all hii ni taka taka
  8. JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha. Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu. Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa. I mean no malice to nobody.
  9. JamiiForums Tanzania Unataka kutengeneza dough ya uhakika? fanya hivi, Wauzie "attention" wanawake, Wauzie "lust" wanaume na Wauzie "dreams" vijana wadogo.

    WOMEN, ATTENTION $Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30. $Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume. $Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake. $Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake MEN, LUST $Uza cha kumfanya mwanaume...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Mradi wa Shamba kwa Wanawake Wafanyabiashara Wadogo Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi ▪️Awatafutia soko la uhakika wa mazao yao ▪️Rais Samia apongezwa kwa miundombinu rafiki ya biashara...
  11. JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Elimu zaidi Kwa wajasiriamali na wawekezaji wadogo wadogo.

    Habari za jioni jamii forum Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha chini. Lakini je,tuna elimu ya kutosha Kwa tuyafanyayo,au tunayoyaanzisha? Au ni tamaa na kuiga tu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde - Serikali Inafanyia Kazi Maboresho ya Tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu hapa nchini kwa kufanya mapitio ya ada na ushuru mbalimbali unaotozwa katika mnyororo wa uchimbaji na uchenjuaji wa madini hayo. Hatua hiyo imebainishwa na Waziri wa Madini, Mhe...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mashine Portable kwa Wajasiriamali wadogo wa Unga wa Lishe/Dona/Sembe

    Mashine hii portable itakusaidia kufungua au kurahisisha biashara yako ya unga wa lishe, sembe, dona n.k Inatumia umeme wa nyumbani tu na ina uwezo wa kusaga kilo 300 kwa saa na kukoboa kilo 200 kwa saa. Complete na mota na kila kitu bei ni million 2 tu. Tupigie 0636751473 Mbezi mwisho (mbezi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wadogo wanahitaji chakula chenye protein nyingi na kinacho wapa nguvu.

    KWA MAHITAJI YA VIRUTUBISHO VYA MAX PIG PAMOJA NA VIFAA VYA NGURUWE KAMA VILE #EARTAG#TEETHCLIPPER#PIGNIPPLE#WEIGHTTAPE#MZANIWACHAKULA# ■WASILIANA NASI 0656 446 991 0774 608 608 ■DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI OPPOSITE NA THE ONE HALL NJIA YA KWENDA JESHINI ■TUNA MAWAKALA MIKOANI...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo

    Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji maalumu kwa ajili ya wachimbaji wadogo. Wachimbaji 17 wamepata huduma ya uchorongaji kwa kuchimbiwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa. Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM. Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha...
  20. JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mbele ya watoto wadogo

    Hebu tujadili wakuu maana kuna wazazi WA ajabu sana.hata kama chumba kimoja fanyieni hata mvunguni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…