wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

    Kwema Wakuu! Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili. Sawa yote NIMEKUBALI...
  2. JamiiForums Tanzania Dharura! Kuna mlipuko mkubwa wa wadada kuota sharubu ma ndevu

    Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar. Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu. Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi...
  3. JamiiForums Tanzania Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu. Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
  4. U

    JamiiForums Tanzania Why wadada wanajichubua sana, hasa Hawa waofanya biashara mbaya mitandaoni

    Siku hizi maadili yamevunjika kiasi kwamba sijui vijana wanaelekea wapi, Kuna wimbi la biashara za miili Kwa mabinti wa kike na jinsia nyingine zinazofanyika mitandaoni, hasa mitandao ya telegram , wasap, na web za hovyo ambazo serikali imefungia lakini watu bado wanatumia VPN. Hii imeenda...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu, Arusha inaongoza kuwa na warembo Kanda ya Kaskazini

    Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake. Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

    Habari ya asubuhi, Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓 Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  9. JamiiForums Tanzania Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

    Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha. Kufika kule nakuda wadada 2, black beauty 1 akaja mwingine akafungua mlango akasepa, aliyebaki...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

    Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako añavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko. Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na hutokea pia mume wako anapovunja amri ya sita. Wakaka nanyi niwape ishara mjue wake zenu kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia "Sawa basi nimekosa" "Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse. Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
  12. JamiiForums Tanzania Nina mwaka wa sita sijavaa pete ya ndoa, je ni kosa?

    Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa. Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu. Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na...
  13. JamiiForums Tanzania Nawapenda sana na nawatakia jioni njema wanawake wa JamiiForums

    Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy Kasie Dr Lizzy Depal dada yangu Jadda Kalpana Unique Flower Heaven Sent Mamndenyi lara 1 miss Gf Caroline Danzi AshaDii Antonnia cocochanel miss chagga
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  15. JamiiForums Tanzania Wadada kati ya huyu nani utakubali akuoe ukimpata

    Mada mumeona kwa roho nyeupe nani akikutamkia ndoa unakubali akuoe, ??. 1. Mhindi 2. Mzungu 3. Muafrika Mie kwangu naangalia upendo na mzungu kama nikiambiwa anioe nakubali tu . Ila muafrika nimemchoka hata wahindi hawana msimamo. Je nyie mkiwa mmepata hao watu 3 utamchagua nani akuoe...
  16. JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Wadada wa JF only

    Hii ni kwa ajili ya wadada wa jf kupost picha zao , karibuni.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wadada wakija ghetto wanachukua kitu chochote cha kwenda kuturogea. Nimefunga camera wameanza kuumbuka vibaya kabla hawajaondoka najisanua

    Wasalaam, Nawakumbusha tena camera ambazo ni ngumu mtu kujua zimejaa tele , kuondokana na hii vita ya wadada ama wanawake kuwa na mpango wa kuturogea kimapenzi. Mimi najisanua kila mara nawaumbua, mpaka sasa wengi wanashangaa maana hakuna dalili za kuona camera popote pale, kamanda nimefunga...
  18. JamiiForums Tanzania Wadada, tukiwa tunawaomba namba za simu au kuwatongoza, msiwe mnatujibu kwa ukali au dharau; utapishana na mume

    Dunia ya sasa imebadilika, kuanzia kiuchumi mpaka mahusiano. Watu hawaoi na hawaolewi, wanaona bora kuzaa tu maisha yaendelee; sasa kama wewe unataka uangukie kwenye hilo kundi, endelea kuleta mapozi. Badilikeni; maisha ya sasa si sawa na zama zile za mawe za kale. Kwa leo ni hayo tu.
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake kunyeweni mtindi badala ya soda ni tiba

    Hellow Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha...
  20. JamiiForums Tanzania Wadada wembamba vitambi mnavitoa wapi?

    Signed out
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…