wadada

Nicholas Wadada Wakiro (born 27 July 1994) is a Ugandan professional footballer who plays as a right-back for Azam F.C. of Tanzania and the Uganda national team.

View More On Wikipedia.org
  1. BumbleBeeBot

    Mbeya wadada wengi hawajatulia aisee

    Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana kabwe, mwanjelwa, soweto mpaka Sae ni wapo kimkakati sana usiombe ukutane na mdada akwambie anaishi...
  2. Vien

    Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
  3. B

    Wadada mnavosema mnataka mwanaume wa kuwahudumia, kipato cha huyo mwanaume kiwe ni sh ngapi kwa mwezi?

    Habarini, Kwenye mahusiano mengi sahivi, ya watu wangu wa karibu walionizunguka na mitandaoni pia naona mijadala mingi wadada wakiwa wanataka wanaume wenye hela nyingi ambao sio wabahili. Tuje kwa ground kwenye takwimu zisizo rasmi hasa kwa hii nchi yetu ya ulimwengu wa 3 Wanaume wengi wenye...
  4. Tundusami

    Wadada wa uswazi wanaringia tako wadada wa kishua wanaringia digirii

    Uswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
  5. O

    Kuna shida Kwa wadada WA Guesthouse na lodge

    Eti Hawa wadada ukiwaangalia usoni ni kama wamevimba macho LAKINI pia wengi Huwa wamejaa miwili YAKO shida KUBWA ni kama hawako sawa kisaikolojia YAANI ni kama wameathiriwa Kwa namna flani . Je wewe ukiwa safari unaona wadada waguest WAKO sawa?
  6. Financial Analyst

    Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  7. haszu

    Kuna wakati maisha yanakuwa magumu hadi unaelewa kwanini baadhi ya wadada kuamua kujiuza

    Suala la kujiuza ni jambo la udhalili na pia kimaadili halifai, lakini inafika wakati, hali ya maisha inakua ngumu hadi mtu anaona, njia pekee ya kujinasua ni kutumia mwili wake, mdada akiangalia wateja anaweza kuwapata anaona bora niingie huku. Anaweza asifike hatua ya kujipanga barabarani...
  8. S

    Swali kwa wadada tu: Kwenye mahusiano, mnapendelea kubwa au ndogo? Na kwanini?

    Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa. Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
  9. Babumawe

    Wadada wa Kaskazini na mambo ya kung'atana kitandani. Kwanini msijifunze kwa mademu wa Pwani?

    Hii michezo sasa inatosha Ukitazama miili yetu kama tumetoka guantanamo inavyochakaa kwa meno, hasa nyie wadada wa mikoa ya kaskazini kule moshi, arusha n.k Kwanini mtumie meno mnapofikishwaga kileleni aisee hayo si mambo ya kivampaya sasa na hapo ukishakula jino ukimsogeza kidogo bado...
  10. Daniel Aloyce Daniel

    Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

    Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana. Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
  11. Think2

    Wadada msitulazimishe tuwaoe

    Unakuta mdada ameshakula starehe za kila aina sasa anaona muda umeisha anaanza kusumbua vijana eti nioe tu wakati huo na mimi bado nakula ujana Wadada msitulazimisheni kuwaoa baada ya kuona umri umewatupa mkono tuacheni na sisi tule bata kama nyie. Kututegesha tuwape mimba ndio zenu mimba sio...
  12. McLaren

    Kwa hiyo mlisema wadada wenye style hii ya nywele huwa wana tabia gani?

    Wakuu, Kuna hizi pisi huwa zinawekaga hii style ya nywele. Binafsi naonaga wanaringa sana na wanapenda sana hela
  13. B

    Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  14. ELI COHEN

    Wadada wa Dar baadh wanafurah sana wakiwaona "rent boys" kwenye shughul zao. Wanahakikisha wanapewa airtime

    Na hii airtime wanayopata Mara nyingi sio katika kusheheresha shughuli zao bali kudharalilisha uanaume. Ila siwezi walaumu hawa wadada maana ni watu wa mihemuko na pia hawa vijana hajalazimishwa na mtu yoyote wawe mlenda.
  15. To yeye

    Tujenge kabisa wanajf

    Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏 Am in love with my...
  16. Stability

    Festish yangu ni wadada walio ma askari/polisi, wewe fetish yako ni ipi?

    Nazimika kinooomaaaa.. MAONI:
  17. F

    Jirani yangu kanunua gari kali kwa biashara ya kuunganisha wachumba hewa instagram. Wadada wanalipia hela instagram ili watafutiwe wachumba wenye hela

    Wabongo ni Watu wanaojua sana kucheza na fursa. Wamegundua wanawake wengi sana wanatafuta wachumba wa kuwaoa. Hivyo wajanja wameanzisha page instagram za kuunganishiwa mwenza kwa malipo kiasi kazaa. Na page hizo pia zinakuwa zinatoa ushauri wa mambo ya mahusiano ili kuvutia followers wajae...
  18. Inside10

    Enyi Wadada Kabla Hujaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanamme Mwenye Miaka 34-40 Sikiliza Hii

    https://www.instagram.com/reel/DNXjr6kMXuQ/?igsh=ZTR6Nm1qeG00dXE0
  19. Stability

    Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  20. B

    Napenda ku-date na wadada wa elf 2003 kuliko mishangazi

    Habarini, Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa. Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4...
Back
Top Bottom