Huu ndio ukweli usio na shaka yoyote Ile.
Wachungaji pamoja na ma father wetu wanajua fila tukioa wanawake wawili au hata watatu wane hivi watakakoswa sadaka na Zaka na michango kedekede wanayoiunda makanisani.
Maana wanajua hela zetu zitakuwa zinatumika kwa matumizi mengi hivyo kulizibiti...
Ni habari nzito sana kutoka Kanisa la Wasabato Nakiru kenya. Wachungaji hao wanakataa baadhi ya mafundisho ya Kanisa hilo ikiwemo Utatu Mtakatifu Holy Trinity Doctrine yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu. Wengine wakidai kuwa Yesu Kristo ndiye Sabato Halisi The Seventh Day...
MIMI: Maandiko yanaonesha kuwa
Adam alikuwa na watoto
wawili:
Kaini na Habili.
CARDINAL: ndio, Alikuwa na Watoto
wawili.
MIMI: Hakuna moto mwingine...
Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea
Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza
Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya
Walipoona hataki...
Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale.
Wachungaji wao (sio wote) wengi wamesoma ili watapeli watu, mbali ya kutafuta pesa kwa ushirikina...
Mange Kimambi anampiga Rais haramu, je Mange Ni TEC?
Ally Kibao aliuawa kihuni, je alikuwa TEC
Nifa kakaa mahabusu mwezi, je alikuwa TEC?
Shehe ponda kaongea, je yeye ni TEC?
Zitto Kabwe kaibiwa uchaguzi halafu kawekwa ndani siku 6, yeye ni TEC?
Waliokamatwa na makesi ya uhaini kwenye...
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao
Je wanafanyaje?
Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha
Wanapokuwa katika Ibada...
Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao;
Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu
Hakuna hata siku moja utamkuta dikiteta yuko mbele katika mapigano yoyote;
Bali hutumia masikini wasiojitambua kwenda kupigana na...
Hapo zamani nilikuwa nikishangaa kumuona mtoto wa mchungaji ni mzinzi, tapeli, mwizi, muongo, mlevi, n.k.
Lakini baada ya kuona wachungaji wengi hasa wenye makanisa yao wakitajirika na kuishi maisha ya anasa kwa sadaka za waumini, skendo za kutembea na waumini, kufeki miujiza, n.k. sikuona cha...
Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya.
Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi wa kampeni au Mwamposa kweli iyo inaingia akilini? Hizi ni dalili za wazi Rais kapotea ndo maana...
Shalom wana wa Mungu,
Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza.
Wanandoa hasa wamama—badilikeni.
Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume.
Maana mkiachika, mtasikia: “Huyo hakuwa wako, hakuwa kutoka kwa Mungu.”
Lakini ukweli ni mawili tu...
Natoa tu angalizo hasa kwa ndugu zetu wa KKKT na Anglican namba ya Wachungaji wa kike inaongezeka kwa kasi sana
Sina hakika kama Ndivyo ilivyo kibiblia au la
Ahsanteni sana 🙏🇮🇱
Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi.
Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta X au twitter kwa na wao ni akili ndogo.
Polen sana weathirikaaa
Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu
Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii
Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi
Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two
Washampanga...
Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.”
Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini!
Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini...
Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja kwenye mfumo kula pesa za serikali ni aina ya wachungaji wanaopenda attention za watu, anapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.