Nimekutana na video nyingi sana zinazonyesha waChina nao wakio watengeneza maudhui ya mtandaoni kwa hapa bongo tena wanaongea kiswahili kabisa!
Yani kila sehemu wapo wao, maana ukienda kariakoo utawakuta wengine ni mawinga kabisa! Lakini kwenye miradi mikubwa ya serikali wapo wao
Sasa wachina...
Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu.
Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
“Chun jie kuai le” ni maneno ambayo kwa sasa yanasikika sana masikioni mwa Wachina na wageni waliopo hapa China hasa kwa kuwa sasa tupo katika msimu wa mwaka mpya wa jadi wa China. Maneno haya yanamaanisha “Heri ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China”.
Mimi nikiwa mgeni ambaye ninaishi China kwa karibu...
Wakuu,
Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje?
Mkisikiliza huko mwisho anasema:
"Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
Siku hizi, ukitembelea mitandao ya kijamii, huenda utashuhudia video za kuvutia kama hizi: kijana wa Ulaya ya kaskazini akivaa viatu vizito vyenye picha za panda, anakunywa maji moto ili kuongeza afya; mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Marekani anafanya mazoezi ya Tai Chi kwa makini, na mama wa...
Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu wanaogopa kuigana biashara / mbinu za kutengeneza pesa
Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke.
Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada”
Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L
Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chao
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekamilisha usafirishaji wake wa kwanza kabisa wa shaba kwenda Marekani kupitia mradi unaoungwa mkono na kampuni ya Mercuria, hatua inayochukuliwa kama mafanikio makubwa katika sekta ya madini na biashara ya nchi hiyo. Usafirishaji huo unaashiria...
Ilinishangaza kidogo
wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili
wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa.
inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani...
Kuna vid ilitrend sana
Baada unasikia hizi jumla bil kama 6 jama akihesabu
Mh katambi naamini umeaminiwa na n mmoja wa wafuasi wako nakupenda toka ulipokuwa kwa kazi nzuri
Naomba hili mtuwekee sawa else ile ka vd kalijuwa ai
AHSANTE NA CONGA SANA MH WAZIRI
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi...
Kwanza nawahurumia Sana.. Maana hata kama watatoa maelezo ya kueleweka na kupangua kesi. Kiasi watakachorudishiwa ni maumivu
Niwapongeze pia wote watakaoshiriki kwenye hiyo kesi.. Ni wakati wa mavuno mazuri
Wana sheria
Watakaopata tenda ya chakula
Watakaowasaidia huko mahabusu wapate huduma...
Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
Kwenye ghorofa ya tatu ya Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki (EACLC) nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, majora mengi ya vitambaa yaliyopangwa vizuri yamejaza rafu huku wateja kutoka kila pembe ya nchi na nje ya nchi wakiingia ndani.
Na kwa Ayoub Katuga...
Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi.
Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
Binafsi nafikiri kuna changamoto watu hawajaziangalia vizuri kabla ya kufikiri kuwa wachina ni tatizo nalo ni ukosefu wa Elimu, Elimu, Elimu ya Biashara
1. Wafanyabiashara wa Tanzania walio wengi hawana Elimu ya biashara
2. wafanya biashara walio wengi ni wabinafsi
3. baadhi ya wafanya biashara...
Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti.
Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina.
Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
Wakuu .
Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200.
------------------------------------------------
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.