wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji wakibanwa haja ndogo au kubwaa mchezo ukiwa unaendelea anaweza kutoka au kuna vitu wanakula?

    Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili. Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kama jinsi wachezaji wanavyopewa bonus na motisha vilevile wapigwe faini na adhabu wanapofanya vibaya

    Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani ya uwezo wao. Mfano baada ya CR Belouizdad kupoteza kwa mabao 4 - 0 dhidi ya Yanga, wachezaji wote...
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Tungeshinda angesifiwa Mama sio wachezaji? Ndo maana Mungu anatukataa

    Yaani nchi imekaa kimchongo Sana hii Tukishinda Nani Kama Mama Tukifungwa tatizo Samata Tukifungwa Mara mzinze sijui kafanyaje!! Sometime Bora tubondwe tu!!
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi 2 zinazoshindwa kutoa wachezaji 11 bora AFCON

    Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Tanzania wajenge utamaduni wa kustaafu kwa hiari kuchezea Timu ya Taifa

    Kuna utamaduni wenzetu wanao, mchezaji akifikisha umri au stage fulani anatangaza mwenyewe kwamba mwaka huu ni mwaka wangu wa mwisho kutumikia timu ya taifa. Hii ina faida kubwa sana kwa mchezaji. Kama umecheza kwa muda mrefu, watu watataka waweke kumbukumbu zako za mwisho ukichezea timu ya...
  6. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wachezaji wa Taifa Stars watakaocheza na Congo kufuzu AFCON

    Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo, Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila naandika ujumbe ukaguse mioyo na wakavae damu ya kizalendo zidi ya taifa leo. Kwenye mpila kuna muda...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mendy asema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wa zamani wa Manchester City

    Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada ya kushtakiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono, aliiambia mahakama ya ajira. Beki huyo wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Nigeria watishia kususia mechi baada ya Saa 12 za Kuteseka Uwanja wa Ndege Libya

    Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu nzima kuwapeleka Hotelini. Wachezaji wa Super Eagles wamejawa hasira kutokana na hali hii, wakitishia...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Faida ya mabarafu kwenye recovery ya wachezaji

    Siku hizi ni rahisi kuona timu ngeni zikija na mapipa yake kwaajili ya kuweka maji yenye barafu (maji baridi sana) kwaajili ya wachezaji. Faida hizi ya maji baridi sana sio TU kwa wwchezaji lakini ni kwa watu wote wanaooga maji baridi sana. Ili mwili ufanyekazi zake vizuri unahitaji nguvu...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya Kariakoo tangu 2010

    📊 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬 Wachezaji waliofunga mabao mengi katika derby ya kariakoo tangu 2010 . ⚽ 3 - Stephane Aziz Ki 🇧🇫 ⚽ 3 - Shiza Kichuya 🇹🇿 ⚽ 3 - Amissi Tambwe 🇧🇮 ⚽ 3 - Emmanuel Okwi 🇺🇬 ⚽ 3 - Hamisi Kiiza 🇺🇬 ⚽ 3 - Mussa Mgosi 🇹🇿 ⚽ 3 - Jerry Tegete 🇹🇿 ⚽ 2 - Simon Msuva 🇹🇿 ⚽ 2 - Meddie Kagere 🇷🇼 ⚽...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji machachari wa kigeni walioletwa na Yanga na kuishia kucheza vilabu vidogo

    1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo 2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri. 3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne ...inaendelea
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Beki Mwamnyeto kaitwa Taifa Stars kwa uwezo kweli alionao sasa au ni kuzidisha tu idadi ya Wachezaji wa Yanga na wawazidi wa Simba Kikosini?

    Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
  13. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Yanga imepata wachezaji imepoteza team

    Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga...
  14. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini wachezaji washiriki wa CAF Champions Ligue hawachezi EPL (England Primier Ligue?)

    Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠 Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier ligue)? Michuano ya vilabu bingwa vya Afrika vimekuwa vikiibua vipaji vya vijana wengi wa kiafrika...
  15. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kibongo waliong’aa kwa muda mfupi na kupotea

    Naanza na Said Bahanuzi, Salim Ayee. Endelea na orodha…
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wazee wa simba ulizen mbona wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wako moto shida iko wapi????

    Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno Kituo kinachofwata Fredinhoooooo Tunataka kuwaprove wrong....
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu Kumbuka kuwaandaa wachezaji wako kwa mikwaju

    Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa.. Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta na timu za nje. Hii ni kwasabu makocha wamekuwa wakitoa zero priority kwny ku train timu kwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wanashushwa viwango na washirikina

    Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo. Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
  19. cutelove

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

    Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku Aishi Manula akijeruhiwa na polisi na kuanza kupewa matibabu na madaktari wa timu ya Simba SC. Soma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Zanzibar dhidi ya Guinea unaonesha kuwa Visiwani kuna hazina ya wachezaji wazuri

    Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi). Uzi tayari. Guinea 1-2 Kizimkazi FT
Back
Top Bottom