Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar..
Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama.
Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80.
Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house...