Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa.
Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10.
Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...