Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through competition."
Na katika hiki kitabu ameongea mengi ila kikubwa anasema the nation cannot progress...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna ya kupata wagombea ubunge na kwamba Chama hicho hakitaka mgombea ila kitateua mmoja kati ya wengi.
Wasira ameyasema hayo Juni 24,2025 alipokuwa akizungumza...
Kuna hali ya ndani inayokua kimyakimya katika taifa letu, hali inayosababisha movement nyingi lakini progress ndogo. Wengi wetu tumejenga maisha yetu juu ya misingi ya kujituma, kutumika, na kutoa huduma halisi kwa taifa. Tunazalisha kwa mikono, kwa akili, kwa muda, na hata kwa ndoto. Tunaamka...
Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani.
Ushauri wangu soma vyuo hivi:
1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone.
Ada M 5,56660 Total...
Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha Uchumi wa watu wengi na unawafaidisha wachache.
Kuna kiongozi wa masuala ya Usalama (jina...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe.
"Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
Historia ya Mauaji Iliyofichwa kwa Lengo la Kutawala Afrika Upya
Na
Maleko Goodluck J
Wakati dunia inapoikumbuka Rwanda kama alama ya mauaji ya kimbari, kuna upande wa hadithi ambao haujawahi kuruhusiwa kusikika wazi.
Simulizi rasmi kwamba Wahutu walipanga na kutekeleza mauaji dhidi ya...
Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari.
Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
We fikiria,
Machimbo tu ya kariakoo watu wanafanya siri.
Wengine wanadai kusafiri kwa kutumia ungo, wengine wanatuma barua kwa njiwa, sasa kwanini wasiwajuze wenzao pia?
Yani kwanini watu wa kijijini watembee kwa miguu umbali mrefu km ungo upo?
Kama internet ingegunduliwa Africa, watu...
Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali.
Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa...
Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha.
Bahati mbaya sana, ubinafsi, ubabe na uchoyo ama wa kisiasa au kuitawala umehodhisha rasilimali zote kwa vikundi au watu binafsi...
Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana.
Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya uamuzi ili nchi iendelee kuwa na Amani.
Miezi kadhaa nyuma nilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyangu vya taarifa vilivyopo Mbeya mjini vikisema kwamba huko mkoa wa Songwe kuna kundi binafsi linaitwa SONGWE CONNECTION ambalo lina makadirio ya wanachama 3,800.
Taarifa niliyoipokea ni kuwa kuna mkanganyiko wa kimaslahi katika kundi...
Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way.
Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga 1,000. Mfumo wetu wa jua upo takribani miaka ya mwanga 26,000 kutoka katikati ya galaksi hii.
Kama hilo...
Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora.
Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake .
Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine .
Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema.
Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK.
1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM.
Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno
Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi...