Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana
Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata.
Tanzania, Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu...
Kiukweli kauli ya thabiti kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ?
Kubabake kyabakari ntaliaamwe.
Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana.
Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.
Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi na Rais wa Burkina Faso kutoka 1983 hadi 1987, alitoa kauli hii kama sehemu ya maono yake ya taifa linalojitegemea na lenye usawa.
Serikali yake ilitekeleza sera nyingi zinazolenga kupambana na ufisadi, kukuza ustawi wa jamii, na kuhakikisha kuwa...
Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana.
Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata kuwasapoti kwenye platform mbalimbali ni kitu hakitakiwi kwasasa,
Wananchi wameamua kuwapuuza the so called...
Fuatilia historia ya Afrika Kusini na harakati zao za kutokomeza ubaguzi wa rangi.
Kuna kitu walikianzisha kinaitwa "Umkhonto we Sizwe". Hii ni project maalumu iliyoanzishwa baada ya mauaji yanayojulikana kama "Sharpeville Massacre" yaliyotokea March 21, 1960 baada ya serikali kutumia nguvu...
Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize.
Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea.
Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha.
Ngoja tuone matokeo maana...
Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi,
ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani.
Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.
Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda.
Hata ukiangalia ile overall views, bado...
Makala ya Kwanza:
Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za...
Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa la taifa, mahali ambapo vijana wa Kitanzania wote wangejifunza uzalendo, mshikamano, na kazi za kujenga nchi yao.
JKT...
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
asubuhi
biashara
business
easy
everyone
kijana
kila siku
kufilisika
kufunga
kufunga biashara
kupoteza
madeni
mafanikio
magumu
maisha
maisha magumu
miaka
miaka mitatu
mitaji
n.k
ndani
siku
usiku
wachache
wafanyabiashara
Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache.
Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha
Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao hushughulikiwa
Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana.
Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki.
Embu tujuzane kwa nini
Ukiniuliza swali nikupe majibu, majibu nitakayokupa mimi ni yangu binafsi sio yako.
Majibu yangu nitakayokupa yatatokana na experience yangu na sio yako.
Wewe una experience yako, mimi nina experience yangu. Kama swali lako ni la ki proffesional na mimi ni proffesional basi majibu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.