wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Yamkini Wabunge wa hovyo hovyo watapitishwa ili waingie bungeni kuipeleka ajenda ya Samia for life

    Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
  2. JamiiForums Tanzania Tuna majimbo 272 ya ubunge, kwa nini tuna wabunge karibia 400 bungeni?!

    Amos Makalla anasema tuna majimbo 272 ya uchaguzi sasa inakuaje tunakuwa na wabunge 393?! Hii ni demokrasia ya aina gani ambapo bunge linajazwa watu wasio na majimbo yoyote ya uwakilishi? Tunahitaji kubadilika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya wabunge wetu waliosema hawana akili kama sisi Watanzania ndio sasa wanatusaidia ndege za ujasiri wa Tanzania kwenda Ulaya!

    KQ to support Tanzania aviation industry National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU). The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
  4. JamiiForums Tanzania Je Hawa wabunge nao tayari wamechukua form za kugombea?

    1;Mh Mohammed Mchengerwa 2;Mh Josephat Gwajima 3;Mh Luhaga Mpina 4:Mh Kishimba 5 Mh Steven Byabato 6: Mh Ummy Mwalimu 7: Mh Angelina Mabula 8: Mh Abood 9;Mh Job Ndugai
  5. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa humu ukiwasoma kichwani unaona.... Wanafaa kuwa Wabunge tu maana kwa akili zao hamna jambo la maana wanaweza kufanya

    nafasi ambayo ni rahisi sana kuipata kwa sasa na ambayo haina changamoto yoyote kwa kazi zake. mtu yeyote anaweza fanya ni Ubunge kwa sasa. hii ni nafasi ya kutumikia wananchi kirahisi sana ambayo mtu yeyote as long as anajua kusoma na kuandika anaweza igombea na kupata. kuna watu humu ukisoma...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge waondolewe jukumu la kutunga sheria - DP World & Madini wameua kisheria

    Kwa yaliyotokea Bunge linalomaliza muda wake kwa kupitisha Sheria ya kuuza rasilimali za Taifa kwa wageni (DP World, Madini na mbugan/misitu). Nadhan wabunge wabaki na jukumu la kuitetea Serikali tu linawatosha. Wakimaliza walipwe pensheni Hata bilioni 2 wawaze mengine
  7. JamiiForums Tanzania Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Samia hadaiwi na wabunge nao hawadaiwi

    Kuna msemo maarufu wa machawa wa CCM kuwa Samia Suluhu Hassan kwa aliyoyatenda kwa watanzania hadaiwi popote na watanzania. Lakini Samia hakuyafanya aliyoyafanya akiwa peke yake bali alisshirikiana na wana CCM wenzake wabunge wakiwemo. Sasa kama Samia hadaiwi, inakuwaje wabunge waliomsaidia...
  9. JamiiForums Tanzania Term hii Nchi itakua inachekesha zaidi duniani kama hawa wabunge wote wakishinda😎

    Ninao ona wanachukua form nashindwa kuelewa au ni maigizo Yaan ni kama bongo movie itaongoza nchi
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Na Baadhi ya Watu Wengine Wangewaachia na Kuwaunga Mkono Vijana Kupata nafasi za Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo kimya na nimetulia kwa utulivu mkubwa sana huku macho ,masikio na mawazo yangu yote yakiwa yameelekezwa katika kufuatilia kwa kina sana na kwa ukaribu mkubwa sana zoezi la uchukuaji ,ujazaji na urejeshaji wa Fomu za kuwania Ubunge kupitia chama changu cha CCM...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kwa wabunge wanapohama vyama vyao kipindi hichi?

    Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda Mbunge Kaboyoka: Nimekuja ACT Wazalendo na watu, tutaishangaza dunia Oktoba 2025. Jee ubunge wao unakoma na posho na stahiki zake zote zinapotea?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hamna cha reforms wala nini, ni Mawaziri na Wabunge kuendelea kujilia tu!

    Mnajifariji eti watafanya reforms kwa Julai hii na Agosti siku 2 ati. Urongo mtupu, kwa sasa ndani ya Julai, hela itapigwa hiyo asikuambie mtu. Mtaniambia!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je! Wabunge 19 wasio na chama, wataendelea kuwa wabunge hata baada ya bunge kuvunjwa?

    Hellow! Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni, Leo bunge linavunjwa rasmi, Je, wao wataendelea kuwa wabunge? Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge! Karibuni 🙏
  15. JamiiForums Tanzania Mtu anayesema tusirudie kuchagua wabunge vilaza tena je huyu mtu anayeongea hivi na yeye ni kilaza mkubwa ambaye kaamua kujitoa ufahamu.

    Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020. Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?. Kwa kutumia Dola.?
  16. JamiiForums Tanzania Pensheni ya Wabunge ilipwe Leo kabla ya Bunge kuvunjwa

    1. Pensheni ya Wabunge kwa 'utumishi' wao wa Miaka 5 ilipwe Siku ya kuvunja bunge kupitia akaunti za benki kabla ya parapanda ili kila mtu apambane kivyake na kuwaza vingine. 2. Mambo ya kujazishana mifomu na kufuatilia Hazina sio. **Wabunge wa COVID 19 nao wanalamba mamilioni kimasikhara...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwaambia wabunge waende nyumbani leo jioni kutaleta political instability

    Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Bunge likivunjwa inakuwaje kwa mawaziri ambao ni wabunge,? Kumbe mawaziri wasiwe wabunge?

    Kama bunge likivunjwa Ina maana nchi inakuwa Haina bunge kwa kipindi Cha miezi kadhaa!! Hii imekaaje kwa mawaziri ambao ni wabunge? Naona mawaziri wateuliwe na rais kutoka kwenye chama na wadhibitishwe na bunge ikiwezekana!! Ni maoni tu
  20. JamiiForums Tanzania Bunge lijalo kuwa na Wabunge kama Makonda ni wazi kuwa litakuwa sio bunge la kutetea maslahi ya Wananchi

    Hawa ni wale watia nia ambao wameacha nafasi zao ili wapate nafasi za ubunge ili kulinda maslahi ya chama chao. Hawatakuwa kwa ajili ya maslahi ya umma na wananchi kama Luhaga Mpina
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…