waandishi

  1. JamiiForums Tanzania Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
  2. JamiiForums Tanzania Fursa ya Fellowship ya Miezi 9 kwa Waandishi wa Habari wanaopendelea uandishi wenye maslahi kwa umma (PIJ)

    Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: https://fellowship.utpc.or.tz/auth Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa bbc swahili hawapati kumuuliza maswali trump?

    Waandishi wa bbc swahili hawapati kumuuliza maswali trump? Karibu mwezi sasa wanaandika habari za Trump 1. Ndani ya siku 1 wataingamiza Iran 2. Ndani ya siku 10, mara wiki 2, mara siku 5, mara siku 30 Yaani ukisoma page yao ukiamka ndio habari hizo tu. Jee hawapati ya kumuuliza maswali? Huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi bora wa muda wote Tanzania

    Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media. 1. Joseph Mihangwa 2. Ahmed Rajab 3. Edo Kumwembe 4. Jenerali Ulimwengu 5. Maggid Mjengwa 6. Irene Mwamfupe 7. Ayoub Rioba 8. Imelda Mtema 9. Luqman Maloto 10. Julius Mtatiro
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Kuna 'Watu wasiojulikana' wanatisha Waandishi wa Habari

    "Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  9. E

    JamiiForums Tanzania THRDC NA MAIPAC yawanoa waandishi wa habari za mazingira

    Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira. Uzinduzi wa mafunzo hayo, umefanyika leo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Tz acheni uandishi wa kijiweni

    Mara Kimewaka, mara kimenuka Mara àmlipua fulani Mara ya.... kufa mtu Mara..... kufuru Uandishi gani huu wa maneno ya kijiweni, ya kihuni
  11. JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Februari 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/Dnr2XjQk2GU?si=x1aUXvl0spja3PyI
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa kitabu cha Zaburi

    Waandishi wa kitabu cha zaburi Zaburi ni nini katika Biblia Zaburi maana yake ni nyimbo takatifu. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu kwa sababu zimetungwa kwa lengo la kumrudisha mtu kwa muumba wake, kwa njia hiyo ya kusifu na...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  14. JamiiForums Tanzania Kipangula: Ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji

    Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji bali wale ambao hawakuwa na vigezo pekee.
  15. JamiiForums Tanzania Hawa wanaoita waandishi ili kupongeza hotuba ya Rais Samia ni vichaa?

    GT Labda mimi siyo mfuatiliaji. 1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea 2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba? 3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona 4. Press huitishwa tu endapo una maoni tofauti na hotuba vinginevyo ni kupotezeana mda
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

  18. JamiiForums Tanzania Waandishi wajengewa uwezo wa kutofautisha noti halisi na bandia

    Katika jitihada za kulinda thamani ya Shilingi na gharama ambazo Serikali hutumia katika kuchapisha fedha mpya, Wananchi wameshauriwa kuwa na uelewa mpana juu ya alama za usalama zinazopatikana kwenye noti halisi pamoja na mbinu za kuzitunza kwa usahihi. Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2025...
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…