waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanazungumza na waandishi wa habari kutoka makao makuu

    Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam. Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. "Mzee Warioba kwa umri wake hana...
  2. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Afrika Waanza Kozi ya 63 Cairo Kudumisha Ushirikiano wa Kimedia

    Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
  3. JamiiForums Tanzania Waandishi wengi wa Habari wa Tanzania Hamna maana yoyote ile. Waoga

    Hamna maana yoyote ile. Nyie waandishi wa habari, hivi kwa nini habari za yule shehe Mwaipopo hamjazikomalia? Sijaona popote pale mkiwabana kwa maswali magumu wale wote ambao wanahusika na usalama nchini. Watu wanafunguliwa kesi feki za ugaidi halafu yupo mtu ambaye anajulikana wazi kabisa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania JAB yawataka waandishi wa habari kulinda imani ya umma

    Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa kuungwa mkono na kanisa CHADEMA yageuka na kuwatukana Waandishi wa Habari na wasanii

    Friends and our enemies Hakika muda ni kitu pekee ambacho kinaweza kutoa majibu ya uhakika. Chadema siku zote imekuwa inakimbilia kwa kanisa kwenda kupeleka taarifa za uongo na chuki ili kutengeneza mpasuko na uvunjifu wa amani nchini. Lakini kama tujuavyo njia ya mwongo ni fupi,hila na uongo...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waandishi wa habari:-

    Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KATAVI: Kiongozi wa CHAUMA avaa nguo za CHADEMA na kuanza kumshambulia Heche mbele ya waandishi wa habari

    Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche. Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo na waandishi wa habari

    Nafikiri nafaa kuuliza swali labda mimi ndiyo sielewi, neno mazungumzo na waandishi wa habari ambalo watu wangu maarufu hapa tanzania wanalitumia kujibu hoja, kutoa malalamiko juu ya swala flani, nini maana yake? 1. Nikuwa mtu anaita tu watu halafu anazungumza anachojisikia mbele ya vyombo vyao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanaongea na waandishi wa habari

    https://www.youtube.com/live/B0XpN97VAG4
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatoa tamko mbele ya Waandishi wa Habari, leo Julai 10, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=m-kVFwmIRKE "Ile ile kauli ya Rais ambaye sisi hatutambui uchaguzi wake ya kusema kwamba wanaharakati wanafanya ugaidi. Ni kauli hatari sana ikiachwa ilivyo na watetezi wa haki kote nchini. Na mimi nasema haya kwa sababu kutokana na taarifa za maandamano ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Waandishi wa habari wanajua umuhimu wa Siasa ila wamechagua kuwasaliti wananchi

    Kizazi cha Waandishi wa Habari Takamwili Kuna tofauti kati ya mtu asiyejua (mjinga) na mtu anayechagua kutokujua kwa manufaa yake binafsi (mnafiki). Huu ni ugonjwa wa njaa ya njaa ya akili na tumbo (tumbo-centric journalism). Waandishi hawa sio kwamba hawajui umuhimu wa siasa; wanajua kuwa bei...
  13. JamiiForums Tanzania Daniel Yohana: Jeshi la Polisi linapaswa kuwatambua waandishi wa habari na kuwapa ushirikiano wanapotekeleza majukumu yao

    Ninaitwa Daniel Yohana Mussa, na napenda kuweka wazi kuwa ninaungana na kauli za Karori Jacob kuhusu umuhimu wa Jeshi la Polisi kuwatambua waandishi wa habari na kuwapa ushirikiano wanapotekeleza majukumu yao, badala ya kuwaona kama maadui. Uhuru wa vyombo vya habari ni jambo muhimu katika...
  14. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  15. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa azungumza na waandishi wa habari - Juni 28, 2026

    Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali anatarajia kufanya mkutano rasmi na waandishi wa habari siku ya leo, Juni 28, 2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari (MAELEZO) chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mkutano huo unatarajiwa kuanza majira ya saa 7:30 mchana...
  16. JamiiForums Tanzania Watangazaji (waandishi wa habari) wa Tanzania kwanini siku hizi mnasema, "hizi mambo", badala ya "haya mambo"?

    Yaani Kila ukifungua redio utasikia, "hizi si mambo zangu", "mambo zako?" nk. Kibaya zaidi wanaozungumza haya ni vioo vya jamii na ni wasomi, kwamba lazima watakuwa wamesoma kipengele cha ngeli za nomino wakiwa O level. Nawasihi watangazaji waache hii tabia mara moja tabia hii.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waandishi wa Habari wa Urusi walinisalimia “Mama Samia Shikamoo”, jambo linaloonesha kuenea kwa Kiswahili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa lugha ya kiswahili imekuwa sana kwani hata alipokuwa nchini Urusi waandishi wa habari wa nchi hiyo walikuwa wakimsalimia kwa kiswahili. Soma Pia: Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin Rais Samia akiwasili nchini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Gari lililokuwa limebeba Waandishi wa Habari lapata ajali

    Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro. Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  20. JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: Baada ya kupotezwa kwa Azory, Ben Saanane, Vyombo vya Habari vikaingiwa uoga

    Wakuu, msikilizeni wenyewe mwandishi huyu mkongwe katika tasnia ya habari hapa Tanzania akieleza kuhusu kupotea kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda na Ben Saanane, pamoja na athari ambazo matukio hayo yameleta kwa waandishi wa habari hadi sasa. ============= "Kuna Muandishi wa Mwananchi anaitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…