Libya: Waandamanaji wadaiwa kuchoma sehemu ya jengo la Bunge

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waandamanaji wamevamia Bunge la Nchi hiyo ikidaiwa wamechoma moto sehemu ya jengo hilo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika Miji mbalimbali ya Libya kupinga ukatikaji umeme, ongezeko la bei na mkwamo wa kisiasa

Libya imekuwa katika machafuko tangu mwaka 2011 baada ya Muammar Gaddafi kuondolewa Madarakani. Nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta imewahi kuwa na viwango bora zaidi vya maisha barani Afrika ambapo Huduma za Afya zilitolewa bila malipo na Elimu ilikuwa bure

=========

Protesters have stormed Libya's parliament in the eastern city of Tobruk and are reported to have set fire to part of the building.

Images posted online showed thick columns of smoke as the demonstrators burned tyres outside.

There have been rallies in other Libyan cities against continuing power cuts, rising prices and political deadlock.

In the capital, Tripoli, where a rival administration holds sway, protesters called for elections.

Their demand was backed by the head of the interim unity government, Abdul Hamid Dbeibah, who said all the country's institutions needed to be changed.

The unrest comes a day after United Nations-brokered talks in Geneva aimed at paving the way for a ballot ended with little progress.

Libya has been in chaos since the Nato-backed uprising in 2011 that ousted long-serving ruler Col Muammar Gaddafi.

The oil-rich country, a key departure point for some of the thousands of migrants travelling to Europe, once had one of the highest standards of living in Africa, with free healthcare and free education.

But the stability that led to its prosperity has been shattered and Tripoli has seen frequent fighting between rival forces.

Source: BBC
 
Bomu aloliunda GADDAFI kwa mikono yake ndio linalipuka sasa. Kwa watu ambao hawajafanya tafiti kuhusu ideology za ghadafi au wanaazi wa dini watanishangaa sana lakini ukweli ndio huo.

▶️ Alitengeneza taifa la wajinga lisilokuwa na demokeasia akiamini ataishi milele kuwaongoza walibya kwa remove control lakini kumbe isinge wezekana

▶️ Alikuwa anatumia fedha za mafuta kupika na kutengeneza migogoro kwenye nchi nyingine ili kufanikisha idiology yake ya kuibadilisha Africa na dunia wafuate itikadi zake za kidini

▶️ Alijenga nyumba nyingi sana za dini yake hata maporini kusikoishi watu akiamini kuna siku watu watalazimishwa na vikundi alivyovianzisha na kuvifadhili kwenda kujaza nyumba hizo. Alikuwa mstari wa mbele kununua baadhi ya wanasiasa ili ajenda yake ipenye kama alivyokuwa anamtumia. Nduli Idd amini kwenye vita ya uganda kumpa silaha na kutuma wanajeshi wake kuja kutupiga Tanzania kwenye vita ya uganda lakini haikuwezekana.

▶️ Alikuwa anawalambisha pipi vijana wa Libya mazee mazima kwa kuwajengea vijumba na kuwalipia mahari ili yawe majinga yasipate nafasi ya kuhoji rasilimali za nchi yao alizokuwa anazitumia.vibaya kufadhili vikundi hatarishi kwenye nchi nyingine akiamini kuwa hao walibya wangeendelea kuwa wajinga daima lakini BOb marley alishaimba kuwa" .....You can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the times:"

▶️ Hiki ndio kinachotokea sasa yale majinga aliyokuwq anayalipia mahari na kuyajengea vijumba sasa yameamka yanadai mgao sawa wa rasilimali za nchi yao, awe angekuwepo au asiwepo kama sasa hivi hiki kinachotokea lazima kingetokea ilikuwa ni suala la Muda tuu

❌ Huyo gadafi ndiye aliye kodi makahaba kwa fedha nyingi na kwenda kwenye mji wa itally kudhihaki ukristu

❌ Huyu ndiye aliyetuma wanajeshi wake kuja kumwaga damu.sisizo na hatia za watanzani

❌ Huyo ghadafi alianzisha migogoro mingi kwenye nchi nyingine na kwa siri kuanzisha na kufadhili vikundi vingi vinavyosumbua leo akiwa na idea ya umoja wa afrika yankidini yake

♦️ Bomu alilolitengeneza ndio hiloo.linalipuka, alidhani wananchi wake wangeendelea kuwa kama wafuasi wa zumaridi wa kulishwa chakula wakati fedha zote wanamwachia yeye sasa bomu linawalipukia waliorithi utawala wake
 
Bomu aloliunda GADDAFI kwa mikono yake ndio linalipuka sasa. Kwa watu ambao hawajafanya tafiti kuhusu ideology za ghadafi au wanaazi wa dini watanishangaa sana lakini ukweli ndio huo.

Alitengeneza taifa la wajinga lisilokuwa na demokeasia akiamini ataishi milele kuwaongoza walibya kwa remove control lakini kumbe isinge wezekana

Alikuwa anatumia fedha za mafuta kupika na kutengeneza migogoro kwenye nchi nyingine ili kufanikisha idiology yake ya kuibadilisha Africa na dunia wafuate itikadi zake za kidini

Alijenga nyumba nyingi sana za dini yake hata maporini kusikoishi watu akiamini kuna siku watu watalazimishwa na vikundi alivyovianzisha na kuvifadhili kwenda kujaza nyumba hizo. Alikuwa mstari wa mbele kununua baadhi ya wanasiasa ili ajenda yake ipenye kama alivyokuwa anamtumia. Nduli Idd amini kwenye vita ya uganda kumpa silaha na kutuma wanajeshi wake kuja kutupiga Tanzania kwenye vita ya uganda lakini haikuwezekana.

Alikuwa anawalambisha pipi vijana wa Libya mazee mazima kwa kuwajengea vijumba na kuwalipia mahari ili yawe majinga yasipate nafasi ya kuhoji rasilimali za nchi yao alizokuwa anazitumia.vibaya kufadhili vikundi hatarishi kwenye nchi nyingine akiamini kuwa hao walibya wangeendelea kuwa wajinga daima lakini BOb marley alishaimba kuwa" .....You can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the times:"

Hiki ndio kinachotokea sasa yale majinga aliyokuwq anayalipia mahari na kuyajengea vijumba sasa yameamka yanadai mgao sawa wa rasilimali za nchi yao, awe angekuwepo au asiwepo kama sasa hivi hiki kinachotokea lazima kingetokea ilikuwa ni suala la Muda tuu

Huyo gadafi ndiye aliye kodi makahaba kwa fedha nyingi na kwenda kwenye mji wa itally kudhihaki ukristu

Huyu ndiye aliyetuma wanajeshi wake kuja kumwaga damu.sisizo na hatia za watanzani

Huyo ghadafi alianzisha migogoro mingi kwenye nchi nyingine na kwa siri kuanzisha na kufadhili vikundi vingi vinavyosumbua leo akiwa na idea ya umoja wa afrika yankidini yake

Bomu alilolitengeneza ndio hiloo.linalipuka, alidhani wananchi wake wangeendelea kuwa kama wafuasi wa zumaridi wa kulishwa chakula wakati fedha zote wanamwachia yeye sasa bomu linawalipukia waliorithi utawala wake
Haya yote hakuna lililofanya umeme ukatike, maisha yawe magumu au gharama za maisha kupanda
 
Hiyo ndio demokrasia mliyoletewa na wamagharibi poleni sana.
Nalog off Z
IMG_20220702_124015_193.jpg
IMG_20220702_124017_688.jpg
 
Bomu aloliunda GADDAFI kwa mikono yake ndio linalipuka sasa. Kwa watu ambao hawajafanya tafiti kuhusu ideology za ghadafi au wanaazi wa dini watanishangaa sana lakini ukweli ndio huo.

▶️ Alitengeneza taifa la wajinga lisilokuwa na demokeasia akiamini ataishi milele kuwaongoza walibya kwa remove control lakini kumbe isinge wezekana

▶️ Alikuwa anatumia fedha za mafuta kupika na kutengeneza migogoro kwenye nchi nyingine ili kufanikisha idiology yake ya kuibadilisha Africa na dunia wafuate itikadi zake za kidini

▶️ Alijenga nyumba nyingi sana za dini yake hata maporini kusikoishi watu akiamini kuna siku watu watalazimishwa na vikundi alivyovianzisha na kuvifadhili kwenda kujaza nyumba hizo. Alikuwa mstari wa mbele kununua baadhi ya wanasiasa ili ajenda yake ipenye kama alivyokuwa anamtumia. Nduli Idd amini kwenye vita ya uganda kumpa silaha na kutuma wanajeshi wake kuja kutupiga Tanzania kwenye vita ya uganda lakini haikuwezekana.

▶️ Alikuwa anawalambisha pipi vijana wa Libya mazee mazima kwa kuwajengea vijumba na kuwalipia mahari ili yawe majinga yasipate nafasi ya kuhoji rasilimali za nchi yao alizokuwa anazitumia.vibaya kufadhili vikundi hatarishi kwenye nchi nyingine akiamini kuwa hao walibya wangeendelea kuwa wajinga daima lakini BOb marley alishaimba kuwa" .....You can fool some people for sometimes but you can't fool all the people all the times:"

▶️ Hiki ndio kinachotokea sasa yale majinga aliyokuwq anayalipia mahari na kuyajengea vijumba sasa yameamka yanadai mgao sawa wa rasilimali za nchi yao, awe angekuwepo au asiwepo kama sasa hivi hiki kinachotokea lazima kingetokea ilikuwa ni suala la Muda tuu

❌ Huyo gadafi ndiye aliye kodi makahaba kwa fedha nyingi na kwenda kwenye mji wa itally kudhihaki ukristu

❌ Huyu ndiye aliyetuma wanajeshi wake kuja kumwaga damu.sisizo na hatia za watanzani

❌ Huyo ghadafi alianzisha migogoro mingi kwenye nchi nyingine na kwa siri kuanzisha na kufadhili vikundi vingi vinavyosumbua leo akiwa na idea ya umoja wa afrika yankidini yake

♦️ Bomu alilolitengeneza ndio hiloo.linalipuka, alidhani wananchi wake wangeendelea kuwa kama wafuasi wa zumaridi wa kulishwa chakula wakati fedha zote wanamwachia yeye sasa bomu linawalipukia waliorithi utawala wake
Mbona nje ya mada mzee umecopy na kupaste wapi mzee
 
Karma is a bitch...wacha wale demokrasia walioitaka.
The guy gave them half haven and they repaid him with a death.
 
Back
Top Bottom