waalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ni kweli Hazina haijatoa fedha za kujikimu za Waalimu Singida DC, au zimeelekezwa katika matumizi mengine?

    Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la Malipo Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
  2. M

    Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  3. Shule za sekondari 355, zina waalimu chini ya 10

    Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10. Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
  4. M

    Kama huyu mwalimu kaonekana katili basi walimu wa zamani wa Manyara ranch primary wangepelekwa the Hague kabisa

    Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
  5. Barua Wazi ya Mwanafunzi kwa Walimu Wake Wawili. 1 ni kwa Dean wake, na 2. TA wa Kipindi chake c Kwanza. Please Watendeni Watanzania Haki Hii!.

    Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events! 1. Utangulizi Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
  6. Wanahitajika waalimu wa masomo ya Math na Economics

    Wakuu wasaalaam ! Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza. Kuna Mwanafunzi anahitaji kufundishwa masomo ya Economics na Mathematics Advanced level kwa mitaala ya Cambridge. Kwa yeyote aliye na ujuzi wa kufundisha hayo masomo kwa mtaala wa Cambridge ana PM ili nimuunganishe na Mzazi wa huyo...
  7. Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

    Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
  8. Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika

    Ile siku ya majonzi na vimbwanga kwa kada dhoofu ualimu imefika. Waalimu watasombwa kama mihogo wakiwa na matishirt yao ya CWT wakiwa wamepauka na kukomdeana, wataandaliwa lisala ya kumsifia mama weeee! Baada ya hapo watarudishwa kwao wakiwa wamejazwa kwenye malori kama matahila. Mwendo ule...
  9. Kwanini Serikali isiajiri wanafunzi wa masomo ya Hisabati na Sayansi ili kutatua tatizo la ufaulu mdogo katika masomo hayo?

    Kwa miaka mingi pengine tangia awamu ya tatu, masomo ya sayansi yamekuwa na ufaulu usio mzuri kutokana na ukosefu wa waalimu Ukifuatilia huko shule za Msingi hawana waalimu wa Hesabu, sekondari hawana waalimu wa Hesabu, Physics, Chemistry na Biology wa kutosha. Binafsi ninavyosikia Serikali...
  10. Waalimu hawataki kufundisha shule za vijijini

    nini kifanyike na shule za vijijini zipate waalimu wa kutosha kama za mijini?
  11. Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

    Ushauri Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO) Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO) Karibuni kwa maoni =================== Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa...
  12. Kutuhumiana ubadhirifu wa fedha na minyukano wa viongozi CHAKUHAWATA Mpanda inatukatisha tamaa Waalimu

    Nasikitika kwa kile kinachotokea kwa Chama chetu cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa baadhi ya viongozi kuona sasa chama hiki kugeuzwa kuwa mradi wa viongozi wa chama Manispaa ya Mpanda kujipatia fedha. Tumechagua viongozi kwa...
  13. F

    Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
  14. Waziri wa elimu Mkenda; Makongoro high school huko Bunda haina matron walimu wa kiume wanaingia mabweni ya wanafunzi kidato cha 5 na 6

    Mheshimiwa waziri wa elimu. Kama ilivyokawaida kwa kila shule ya bweni lazima pawepo na matron ambaye majukumu yake makuu; 1. Kutunza nidhamu bwenini 2. Usalama wa wasichana na mengineyo. Shule iliyotajwa hapo juu Makongoro high school iliyopo Nyamiswa bunda, Mkoa wa Mara, haina matron badala...
  15. A

    DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

    KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo. Sasa concern yangu...
  16. Ndugu Walimu, tujiandae na matumizi ya kompyuta

    Inavyoonekana USAILI wa mchujo kunaweza kuwa na computer.
  17. Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

    Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la...
  18. Kugawa vishikwambi kisiwe kigezo cha kunyima waalimu ajira

    Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
  19. Shule nyingi za private zinaajiri waalimu kutoka kenya kama taifa tunafeli wapi.

    Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu. Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
  20. Siwezi kutoboa, Waalimu elfu 28 kugombea nafasi 183. Narudi kulima

    Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…