waajiriwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa kulipa mishahara waajiriwa wapya wa Serikali kwa kila mwaka wa ajira unahitaji kuboreshwa uendane na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia

    Andiko hili litakua katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza itakua utangulizi hapa nitaelezea maana ya mfumo wa malipo ya mishahara ya waajiriwa, Sehemu ya pili hapa nitatoa changamoto au madhaifu ya mfumo wa malipo ya waajiriwa wapya, Sehemu ya tatu na mwisho nitatoa mapendekezo au mtazamo wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Waajiriwa wapya tunaosubiria barua ya ajira ili kuripoti Julai 1, 2022 tukutane hapa

    Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiriwa wengi hawana utamaduni wa kufanya savings nchini?

    Nimejaribu kufanya tathmini na nimegundua watanzania hasa hawa waajiriwa wa Serikalini hawana tamaduni za kutunza pesa, Wazungu wanaita savings. Ni vema watanzania wengi tukaanza kupiga mfumo wa Wazungu kuwa unapopata kamshahara kako basi angalau asilimia 20 itunze, halafu ndo uanze matumizi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania NSSF haina msaada kwa waajiriwa wa sekta binafsi

    Najiuliza lengo la serikali kufuta mifuko mingine na kubakisha miwili tu yaan kwa ajili ya wafanyakazi secta binafsi na serikali sioni sababu Ndugu Wana jamvi mfuko huu wa NSSF una mapungufu yafuatayo 1. Ni taasisi ambayo haifuatilii michango ya wanachama yaani mwajiri apeleke asipeleke kwao...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa waajiriwa wa bodi ya mkonge

    Habari zenu, Naomba nijuwe mshahara ya degree kwenye ajira ya bodi ya mkonge kwa anayejua. Nashkuru sana
  6. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Ni kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia Mavazi, Malazi, Kusomesha, Kuhudumia wazazi na ndugu Kufungua biashara, Kujenga, Kununua vitu vya thamani, Kuhonga Kujihudumia nknk, Wahudumu wengi wa bar...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa G4S tuliohamishiwa Zanzibar tunaomba ofisi ihamishie michango yetu ya Hifadhi ya Jamii NSSF kutoka ZSSF

    Sisi ni wa wafanyakazi tuliohamishiwa Zanzibar toka Bara kwa ajili ya kufanya kazi za ulinzi kwa miaka na siku tofauti. Tulipohamishiwa hapa visiwani kampuni yetu ya G4S ilitupatia mishahara yetu na kutuma michango yetu ya mifuko ya hifadhi ya jamii kama ada katika mifuko yetu ya hifadhi za...
  8. JamiiForums Tanzania Waajiri wa wadada wa kazi za nyumbani hii inawahusu

    Waajiriwa wa wadada wakazi. Unamuajiri mtu halafu unamtumikisha kama mnyama Halafu unakuta mtoto wawatu anafanya kazi kwa moyo akikosea kitu unamuadhibu kama paka mwizi bado anavumilia . Wanaume ukiwaona kweli hudhanii ni waaribifu wawatoto wawatu. Mtu yupo na wadhifa anasifika kila idara ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…