Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
Wakuu!
Hebu tupeane uzoefu kidogo
Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi?
✅ CV yako ilivyoandikwa?
✅ Uzoefu wako kazini?
✅ Ufaulu/GPA yako?
✅Kipaji?
✅ Au chuo ulichosoma?
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bila
kutangaza
meli
mpya
nafasi
sawa
shirika
taasisi
taasisi ya umma
tasac
umma
uwakala
vigezo
waajiri
wafanyakazi
wake
waliokuwa
wenye
Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi.
Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa waajiri wa kutokea Asia.
Na Mwandishi Wetu.
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili.
Akizungumza katika mahojiano na kituo...
Wakuu,
Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa.
Kwanza wananchi wengi wanakua makazini Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni. Serikali nayo imeweka muda...
OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma.
Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
Sekta binafsi ndo inaongoza kwa kutoa ajira nchini na hata duniani kote lakini ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi amini kwamba kesho asubuhi unaweza amka ukaenda ofisini kisha ukakuta barua yako ya kuachishwa kazi iko mezani inakusubiri
Jambo lingine ni kwamba ukiwa muajiriwa wa sekta binafsi...
Kuna baadhi ya waajiri wana tabia ya kuomba vitu vingi sana kwa mtu alietuma maombi ya kazi
Mfano kuna taasisi flani waliwahi kutangaza kazi lakini kwenye usaili wanakuambia uende na barua tatu za wadhamini wakiwa wameambatanisha na barua zao za utambulisho toka serikali ya mtaa pamoja na copy...
Kikeke nikimuangalia kama simuamini sana, ila muda utaongea, namuona kama pandikizi la kimkakati, ngoja tuone na chombo chake kinachofanana na kofia ya watawala wa alikotoka- I mean kwa muajiri wake wa zamani
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
afisa
afisa mtendaji
afisa mtendaji mkuu
ajira
ajira kwa vijana
akutana
chama
kikwete
mazungumzo
mikakati
mkuu
mtendaji mkuu
ridhiwani
ridhiwani kikwete
tanzania
vijana
waajiri
Je, Wajua unyonyeshaji ukifanyika ipasavyo, uwezekano wa Mtoto kupata Magonjwa hatari ya kuambukizwa au kuugua mara kwa mara hupungua na hivyo kupunguza Vifo vya Watoto?
Hata hivyo, tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Wanawake wanaonyonyesha wakiwa katika ajira wamekuwa wakishindwa...
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.
Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi...
Salaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa elimu kwenu wamiliki wa makampuni (wasimamizi wake) na wasiomiliki kampuni kwa maana biashara Local au wasimamizi wa ajira zisizo rasmi hasa linapokuja Suala la UAJIRI.
Kitendo cha kumuajiri mfanyakazi kinakwenda sambamba na mambo yafuatayo:
1...
HR flani alilalamika wahitimu wengi Ni weupe vichwani na kuuliza Nini kifanyike
Nilikuwa na haya yakujibu!
Ushauri chakufanya Ni kwanza wakufunzi hasa wa vyuo vikuu waanze kufundishwa maarifa ya kisasa
Pili tujaribu kuchukua wakufunzi kutoka vyuo Bora vya nje inaweza kuwa kwa mpango wa...
Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.