waache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erick tech

    Watu waache unafiki na uchawa

    Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongozi anakuja mahali fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yaani unakuta vurugu nyingi na ilhal mahali alipo kuna viongozi. Je, hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.
  2. K

    Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Utashangaa mtu kaoa mke mzuri unamposti, unataka sisi tufanyaje mwisho WA siku tuna mwinda na tuna MLA unakuja kushituka kumbe ulioa Malaya, tatizo ni wewe ulieamua kututangazia kuwa Kuna chombo kizuli pahali fulani. Huyo ni mkeo au mumeo wako picha yake weka chumbani kwenu au sebuleni hapo uwe...
  3. Kimbesa11

    Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  4. U

    PostGE2025 Viongozi watambue Gen Z sio vijana wa Mwaka 47, waache ‘siasa za kizamani’

    Tanzania ipo katika zama ambapo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni kiini cha mijadala ya Kisiasa, uwajibikaji na matumizi ya haki za kiraia. Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuna ongezeko kubwa la watumiaji intaneti nchini, kufikia robo ya kwanza ya...
  5. Genius Man

    PostGE2025 watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili

    watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
  6. Just Pray

    PostGE2025 Mwigulu: Polisi waache kumtafuta Askofu Gwajima, Muacheni aendelee na ibada zake tujenge umoja wa kitaifa

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwajima kama walivyokuwa wametangaza awali ili aweze kuendelea shughuli zake. Amesema baada ya kutoa msamaha kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, waumini wanahitaji...
  7. Mafyangula

    PostGE2025 Wananchi: Wabunge waache "uchawa" wafanyekazi ya kuwatumikia watanzania

    Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo linalowasilishwa Bungeni, ambapo wameeleza kuwa ni muhimu kwa Wabunge kusimamia haki, misingi ya Katiba na...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Nashauri viongozi waache kusema watu walioko nje ya nchi ndio wanachochea ya ndani. Kana kwamba huku ndani mambo ni shwari

    Hamjambo! Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo. Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
  9. secretarybird

    Hawa Flashscore kudadeki zao, kama wameshindwa kufanya kazi zao waache.

    Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero. Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
  10. MK254

    Gen Z wa Morocco wanakiwasha, watawala waache kuishi kwa mazoea

    Vijana wa Morocco wameingia barabarani, wanakiwasha, ifahamike hawa vijana wa Gen Z huwapumbazi kwa chochote, hata utumie dini hawatakuskliza, boresha uchumi na mifumo tu basi................ A lot seems to be riding on a speech by Morocco’s King Mohammed VI before politicians on Friday, to...
  11. Logikos

    Kama Mlaji siwaelewi Wasanii wanaowabagua kina AI; waache tuchague wenyewe; Case in Point: Emily Blunt among Hollywood stars outraged over 'AI actor'

    Binafsi nadhani burudani mwisho wa siku ipo kuburudisha na sio kuhakikisha mburudishaji mmoja anapata kiasi gani au kukosa kutokana na ujio wa hiki au kile; Ofcourse pale AI inapojifanya mtu fulani bila kutoa Credit nitaelewa muhusika akilalamika ila sio Waburudishaji kuja juu eti hawa AI...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Maoni yangu binafsi: Watanzania waache kelele. Wanapigania vitu vidogo ambavyo walipaswa wapiganie watoto wa STD 2.

    Nje ya mada: Katika waliopiga kura za maoni ndani ya CCM kumteua mgombea Gwajima alikuwa miongoni mwao naye alimpa kura Rais Samia. Maana Samia alipata 100% Gwajima na wajumbe wengine hakuna aliyelalamika kura zao kuibiwa au kupotea. Wote walitiki. Leo hii Watanganyika wajinga wanamwona Gwajima...
  13. maroon7

    Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  14. C

    Mashabiki wa Yanga waache unafiki kujifanya wamekasirishwa na timu yao kuichangia CCM

    Nimeona privaninho amepost katika ukurasa wake wa insta kama fahari ya wao kuichangia ccm lakini maoni ya wafuasi wa yanga wameonesha kukasirishwa sana na wengi wanatoa matusi ya nguoni. Mimi nawaambia mashabiki wa yanga waache kuchukia kinyesi cha binadamu huku wakifurahia kula funza...
  15. Mto wa mbu

    Lissu kuwa mjanja husifungie kesi kupinga mashaidi wa siri, na wakitoa ushaidi usiwaoji(cross examination) waache waende tujue mwisho wao

    Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana. Lissu be smart, husifungue kesi kupinga kanuni za kulinda mashahidi, waache walete mashahidi wa Siri, wakimaliza kubwabwaja husiwaulize...
  16. Wimbo

    Innocent waache watu wamwabudu Mungu wao

    Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
  17. pakaywatek

    Yanga waache mipasho ili kuhalalisha mapungufu yao ya kiuongozi

    Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa...
  18. Poppy Hatonn

    Raia wapite kati; waepuke kukebehi viongozi na waache uchawa

    Hivyo ndivyo tutakuwa na amani. Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali. Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi. Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
  19. Komeo Lachuma

    Wakuu wa Mikoa waache kujichonganisha na Wanamichezo kwa Unazi wao

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tabora atapata wakati mgumu sana. Namwonya asijaribu kabisa kujiweka karibu na Simba
  20. DELETED ACCOUNT

    TFF yampa onyo kali Rais wa Yanga Hersi Said

    TFF imeipa onyo kali klabu ya Yanga kutokana na kitendo cha viongozi wake akiwemo Rais wake Hersi Said kuingia uwanjani na kupiga zogo na wachezaji wa Singida Black Stars baada ya mechi iliyochezwa hivi karibuni baina ya timu hizo mbili. Kitendo hicho kilichofanywa na viongozi hao wa Yanga...
Back
Top Bottom