vyombo vya ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Simbachawene: Vyombo vya ulinzi mmefanya kazi nzuri kuwalinda raia na mali zao

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada ya kuibuka fununu za uwepo wa maandamano yasiyo na kikomo. Waziri Simbachawene ametoa kauli hii alipotembelea na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania wavimiminia na kuvimwagia Sifa na Pongezi vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa Uhodari na uimara wake katika kulinda Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani mbalimbali wawapo katika misheni mbalimbali nje ya nchi. Imefahamika ni kwanini Tanzania imekuwa salama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Vyombo vya ulinzi vikiendelea kufanya ukaguzi wa usalama kwa nyia ya anga

    Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania 'Inkotanyi': Falsafa muhimu inayopaswa kufundishwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa JWTZ na TISS

    Nchini Rwanda kuna falsafa muhimu sana inayotumiwa kumaanisha kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo na kuwalinda Wananchi na maslahi yao. Falsafa hiyo inapatikana kwenye neno Inkotanyi. Neno hili linamaanisha nguvu ya pamoja inayofanywa kwa ujasiri ili kulinda Wananchi na kusimamia maslahi mapana...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

    "Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nawahakikishia Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Endeleeni kumkumbatia ila kuanzia Aprili 2026 mtaanza kupokea mishahara na posho tarehe 70

    Najua mna akili za kuvukia barabara tu. Najua wengi wenu hamuelewi hata maana ya kusimamia maslahi ya Taifa na Wananchi ni nini? Najua wengi wenu hamuelewi kuwa kiapo cha kwanza cha askari dunia nzima ni kulinda raia na wananchi. Najua wengi wenu mnanogewa na hivyo vimishahara mnavyolipwa na...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama likitokea vyombo vya ulinzi kupinduana tunaweza kukuta vyombo vya ulinzi vitakavyo pingana na wengine ni CCM.

    Mfumo waliofanya CCM ni kama vyombo vya ulinzi ndio wanaviongoza na vina wafuwasi wao ndani. Kuna mda unakuta mtu anakutamkia wazi kama sio mwana CCM hawezi kukuogopa sababu yeye ni polisi, gereza, usalama ,TAKUKURU, uhamiaji na JWTZ
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Homa ya D9: Vyombo vya ulinzi (JWTZ, polisi, jeshi la magereza n.k.) kufanya usafi nchi nzima kuanzia Disemba 7

    Haya sasa kumekucha tena,naona D9 ni zamu ya vyombo vya ulinzi kuandamana. Habari toka upanga ofisi za wavaa magwanda ya mabakabaka zinasema vyombo vya ulinzi nchini Tanzania vitafanya usafi nchi nzima kwa ushirikiano kuanzia Disemba 7 hadi pale watakapoona nchi imekuwa safi. Mikoa ambayo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Hotuba ya Mama huenda imeandaliwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Nafikiri hao ndio waliomundalia hiotuba kama vile anaenda kuhutubia askari walioko au wanaojiandaa kwenda kwenye uwanja wa vita huki wananchi wakiwa ndio Jeshi la adui aliokuwa akiwaemq. Sijui mmenielewa?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi; kwanini hatukujifunza nchi jirani, au tuliwadharau kwa kuwa sisi tulikuwa kisiwa?

    Bila kupepesa macho, vyombo vyetu ya ulinzi na usalama hasa vyenye mamlaka na intelijensia ya nchi vinafaa kutupiwa lawama, Ni mwaka jana Julai 2024 hapo nchi jirani kulitokea na maandamano yaliyoakisi mwelekeo wa siasa za Afrika mashariki, kwamba tusifanye kazi kwa mazoea. Wakati maandamano...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Natoa elimu fupi kupitia picha hii. Tujielimishe!

    Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa. Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana. Wakati mwingine chombo kimoja kinaweza kufanya majukumu ya chombo kingine lakini kwa kushirikiana na chombo husika. Yaani...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Anachomaanisha waziri mkuu ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu

    Impliedly ni kuwa Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwetu wameshindwa kulinda mipaka ya nchi hii. Raia wa kigeni wanaingia nchini wakiwa na silaha za kivita kisha wanawachochea vijana wa kitanzania watu wazima kuingia mitaani kuikataa CCM. Kwa ujumla hawa wakuu wa vyombo vya...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Vyombo vya ulinzi na usalama vimefanya kazi kubwa, bila hivyo Dar ingekuwa giza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema miundombinu ya Mkoa huo imeendelea kudumu na kuimarika kutokana na ufanisi wa vyombo vya ulinzi na usalama, ambavyo vimefanya kazi kubwa katika kudhibiti athari za maandamano ya Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Novemba 24, 2025 katika...
  14. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Historia inawaangalia

    Watanzania wanalia baada ya mauaji ya kikatili ya wananchi mnamo tarehe 29 Oktoba 2025, na siku hiyo hiyo uchaguzi wa kiguni ulitokea ambapo viongozi wengine walichaguliwa bila kupigiwa kura na watanzania. Watanzania milioni sitini na sita (66) wanaendelea kuteseka, huku haki yao ya msingi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Nani kawapa Mamlaka Vyombo Vya Ulinzi na Usalama Kung'amua Kama Maandamano ni Halali au Si Halali? Hiyo ni Kazi ya Mahakama hawapaswi kuingilia

    Mkuu wa majeshi anasema Tusiingize Jeshi kwenyemambo ya kisiasa, Wakati huo anayejiita Amiri Jeshi Mkuu ni Mwanasiasa Mkuu! Unasema Jeshi lisiingizwe kwenye siasa kabla na wakati wa uchaguzi, Ila baada ya uchaguzi una deploy wanajeshi kila kona ya nchi for what? Kulinda amani baada ya tukio la...
  17. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama Serikali ina watumishi wachache kwenye Vyombo vya Ulinzi kuelekea maandamano ya 9D wachukue Walimu kuongeza nguvu

    Habarini Nashauri serikali iongeze nguvu kazi katika kuzuia maandano ya D9 kwa kuchukua walimu hawa ni cheap labor na watiifu mno mafunzo ya wiki pia yanawatosha maana kiasili tayar wanaroho mbaya hivo kuwaongezea roho mbaya ya kufanya lolote ni rahisi sana kama unamsukuma mlevi. Pili Hawa...
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Mamlaka zikiri waliouawa ni ndugu zetu, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wawajibishwe

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Wolfgang Pusa ametoa wito kwa mamlaka kulaani mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi na kuwasihi kukubali kuwa waliouawa ni ndugu zetu. Aidha, Askofu Pisa amesema , "Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote wawajibike, au kuwajibishwa...
  19. Life2

    JamiiForums Tanzania Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
Back
Top Bottom