Huko Lindi - Oktoba 24, 2025. Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoa wa Lindi vimefanya mazoezi ya kutembea (Route March) ya pamoja iliwa ni kawaida kwao kufanya hivyo. Mazoezi hayo yakiwa na lengo la kudumisha ushirikiano na mshikamano baina ya vyombo hivyo sambamba na kuimarisha afya ya mwili kwani...
Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora.
Lengo la matembezi hayo ni kuweka utimamu wa mwili, kuimarisha mshikamano, nidhamu na ushirikiano baina ya majeshi husika pamoja...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye kabla hawajaonywa na vyombo vya ulinzi na usalama
Malisa amesema hayo wakati akitoa tamko mahususi kwa...
Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Geita vimeendelea kuimarisha ulinzi na usalama ili kuhakikisha amani, usalama na utulivu kabla, wakati na baada ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19
"Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ".
Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole alimtaja waziwazi mhusika mkuu wa utekaji kuwa ni mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la MAFWELE hata hivo...
Kwa sasa mazoezi ya ukakamavu yanayofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama yameongezeka kwa kasi mithili ya 5G Plus.
Hii inaleta tafsiri gani kwa wananchi, hasa tukielekea Oktoba 29? Je, ni ishara kwamba mipango ya maandamano iangaliwe upya na labda kuahirishwa, au ndio kinyume chake...
Sote tunafahamu kuwa Taifa letu hivi sasa linaangamizwa kwa kutisha na rushwa kubwa zinazofanywa na Wanasiasa na familia zao bila kusahau Viongozi wachache wa Serikali na vyombo ya Ulinzi na Usalama.
Haya yanafanyika huku Watanzania wengi wakikosa huduma bora za msingi kama Maji safi na salama...
Kwa matukio ambayo wanayoyafanya polisi hakika wananchi wameishiwa pawa ya kuwaamini tena na wameshatengeneza uadui mkubwa katika siku za usoni, mahakama nayo dalili zote zinaonyesha wanafanya mambo yao kwa maagizo!
===================
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kuwashambulia wananchi wanaojitokeza kuonesha hisia zao katika masuala yanayohusu maisha na mustakabali wa taifa.
Golugwa ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...
GT
Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa.
Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
Fikiria, kama kweli hali ilivyo kwa sasa ukaambiwa Tanzania tuna vyombo vya usalama, utakubali?
Vyombo vya usalama wanashindwa kumlinda Rais aliyepo madarakani, na watu wanampa kichwa kiwepesi sana.
Tuhuma nzito zipo kuhusu viongozi wetu, pamoja na tuhuma kuhusu Jeshi la Ulinzi na ufisadi...
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za...
Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA.
Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
GT
Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi.
Tujiulize.
1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi.
2. Mtu...
Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuna tatizo kubwa linaloikumba sekta ya ulinzi na usalama nchini, na kusisitiza kuwa vyombo hivyo vinahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa ili viweze kutimiza wajibu wake ipasavyo
Habari ya jioni wakuu,
Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama wa nchi.
Vinatumia nyadhifa zao kukandamiza raia na kutetea tabaka tawala bila hofu kwa sababu mihimili mikuu ya nchi hii haiko huru.
Imefika mbali tunaanza kutoana uhai sisi kwa sisi ,hii laana...
Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi.
Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!.
Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita.
Yaani ni...
gerezani
hatua
kimyakimya
kuhamishwa
mbele
mpaka
ndugu
sababu
samia
sana
serikali
serikali ya samia
serikalini
ulinziulinzi na usalama
usalama
ushindi
viongozi
vyombovyombovyaulinzi
wazalendo
wote
zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.