vyombo vya habari

  1. JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Wanahabari na Vyombo vya Habari kipindi hiki cha AI wanao wajibu wa kusaidia umma kujua habari zipi za kweli

    https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya habari vinao wajibu wa kusaidia umma kubaini zipi taarifa za ukweli na uongo, ambapo amesema katika...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda katika viwango vya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani

    Na Mwandishi Wetu, JAB Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka 2025. Kwa mujibu wa Ripoti ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (Reporters Without Borders – RSF) iliyotolewa tarehe 2...
  3. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari bongo vifanye mahojiano na watoto wa Iddi Amin tuwasikie kuhusu baba yao

    Vyombo habari vitakavyoweza kufanya interview na watoto wa Iddi Amin vitavutia wasikilizaji wengi sana, hii ni kwa sababu kuna mengi yamesemwa kuhusu Iddi Amin na kwa sababu Iddi Amin ni sehemu ya Historia ya Tanzania kupitia vita vya Tanzania na Uganda mwaka 1978. Lumumba Amin Jaffar Amin
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani, Aprili 29, 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) yanaendelea Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, leo Aprili 29 kwenye Hoteli ya Gran Melia Matukio ya siku ya kwanza, soma World Press Freedom Day 2025, April 28, 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Siku ya 1: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025), Aprili 28, 2025

    Baadhi ya wageni Msanii Vitalisi Maembe akitoa burudani Leo Aprili 28, 2025 ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) ambapo shughuli zinafanyika kwenye Hoteli ya Gran Melia - Arusha, ambapo maadhimisho hayo yatarajiwa kufanyika kwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

    Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  8. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi yenye hofu ya Wananchi wake kusema ukweli si nchi bali ni gereza. Na Tanzania ya sasa inazidi kugeuka kuwa hivyo

    “Udhibiti wa Uhuru wa Maoni na Habari”— ambayo ni nguzo muhimu ya demokrasia na ukombozi wa kifikra. Nchi yenye hofu ya Wananchi wake kusema ukweli si nchi bali ni GEREZA. Na Tanzania ya sasa inazidi kugeuka kuwa hivyo: mahali ambapo kusema ni HATARI, na kunyamaza ni SALAMA. Mitandao ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo

    Siku za karibuni ITV imekuwa shabiki wa siasa za hovyo za watu kama Lissu, chombo hiki kinajua kabisa Lissu kauli zake ni hatari kwa utulivu na amani ya nchi. Badala waelimishe wananchi wamekuwa chombo cha kuokoteza kila kikundi kinachoenda kinyume na jitihada za serikali. Wajitathmini...
  11. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya siku hizi vimegeuka tabia za kusifia mabosi wao kukashifu watu mfano Baba levo

    Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake. Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond. TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
  12. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ni hovyo! Suala la Chionda linatia aibu!

    Mambo 10 kufikirika kuhusu interview ya chionda ambayo inatrend 1. Picha inaanza Crown FM wameficha kwamba jamaa anaitwa Abas Chionda, yani ni muislam. Ameulizwa jina anasema Chionda tu, jina moja kwani ye mnyama? Wamefanya maksudi sababu wakristo wangekuja juuu kwa namna anavoongea unaweza...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Habari visitumike kudhoofisha vyama vya upinzani. Vitangulize weledi kwa maslahi ya umma

    Katika siasa za Tanzania, vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuathiri mitazamo ya wananchi. CCM imekuwa na ushawishi mkubwa juu ya baadhi ya vyombo hivyo, hali inayodhoofisha upinzani. Kwa mfano, vyombo vingi vinatangaza mafanikio ya CCM huku vikifunika au kupotosha taarifa za wapinzani...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema acha mara moja kuingilia uhuru wa Vyombo vya Habari, huo udikteta uchwara uishie CHADEMA

    Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema. Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa kutishia kuwafukuza, kuwapa majina mabaya na kuwanyamazisha. Sasa tunaona kiongozi wa Chadema mpya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa habari (Mwana FA), avitaka vyombo vya habari kuripoti bila kuhamasisha kususia uchaguzi

    Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari kuripoti kwa usawa kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Aidha amevitaka vyombo vya habari...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa TEF, Balile: Uhuru wa Vyombo vya Habari waimarika chini ya Rais Samia

    Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa Vyombo vya Habari umeimarika kwa kiasi chake ambapo Magazeti yaliyokua yamefungiwa yamefunguliwa...
  17. JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  18. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyombo vya Habari vya ahaidi kuripoti kwa haki Uchaguzi Mkuu

    Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Misa Tan, imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa habari katika kuhakisha vyombo vya habari, vinafanya kazi wa weledi katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu ambapo wamewasisitiza, waandishi wa habari kuripoti katika njia ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TCRA yataka Vyombo vya Habari kuripotiwa uchaguzi bila upendeleo

    MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika kuripotiwa habari bila upendeleo ili kuondoa malalamiko. Meneja wa Kitengo cha Utangazaji TCRA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…