vyombo vya habari

  1. PreGE2025 Unafiki wa media za Bongo kuhusu Gwajima, zimejikita kwa Jerry utafikiri hawakuona ya Gwajima

    Baada ya Gwajima kuwapiga za chembe, hakuna media yoyote ukiacha "THE CHANZO" walioripoti Ile issue but baada ya empty headed baboons kuanza kujibu, naona kila media imeripoti "majibu" kwa Gwajima. Swali, media zinaripoti "majibu" based on Which story?? KAZI ipo
  2. Kwa sasa hatuna vyombo vya habari Tanzania, Wala waandishi wa habari kama zamani, waandishi walikuwa wanatafuta hard news akiitoa nchi inaweweseka!

    Zama zinabadilika kwa kasi. Enzi zetu tulikuwa tunalala na magazeti kichwani yaliyojaa makala za kibabe, nzito na zenye maslahi kwa taifa! Umewahi kusoma makala alizokuwa anaandika Mabere Marando kila wiki kwenye gazeti la Mwanahalisi na Mawio? Umewahi kusoma makala za ndugu Samsoni Mwigamba na...
  3. T

    Gwajima ulitafakari mara 100 kabla ya kuitisha mkutano na Vyombo vya Habari

    Mh Ghwajima nakupongeza kwa kujilipuwa na kusema mambo mazito na magumu ila kwa sisi wana wakuona yasio onekana kile kikao uwenda kikakutoa kamasi kama sio kupanda pipa nakutafuta makazi. Haya ndio hukuyatafakari. Kwa kile kikao umewafungua macho wanakusadikika nani ako nyuma ya haya mambo...
  4. Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  5. H

    Kuitisha Vyombo Vya Habari Kwaajili ya Kusema Tu Kuwa Unahama Chama, Ni Ujinga. Kwani Ulipokuwa Unajiunga Ulimtangazia Nani?

    Kuna ujinga unaea kwa kasi, eti mtu anaitisha vyombo vya habari kuwaambia wananchi kuwa anahama chama! Hivi wewe kuhama chama, kuna nini cha ajabu? Ulipokuwa unajiunga na hicho chama, uliitisha vyombo vya habari? Jamii yetu imejaa watu wajinga. Fikiria mtu ambaye hata jina lake likitajwa...
  6. D

    Papa Leo XIV ashukuru vyombo vya habari kwa huduma ya uinjilishaji

    Katika hotuba yake ya kwanza kwa vyombo vya habari vya kimataifa Jumatatu, Papa Leo XIV aliwashukuru waandishi wa habari kwa huduma yao kwa ukweli na kwa kuwasiliana amani katika nyakati ngumu. "Tunaishi katika nyakati ambazo zote ni ngumu kuzunguka na kuelezea. Wanatoa changamoto kwa sisi...
  7. N

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mwambegele kuzungumza na vyombo vya Habari, leo Mei 12, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari. Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa, Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mgawanyo wa majimbo au nao wameikubali no reforms no...
  8. C

    PreGE2025 ITV, Azam na wengine mmekuwa wanafiki? Press za G55 mnaonesha kwa airtime ya kutosha lakini mikutano ya CHADEMA kimya!

    TV station kubwa za Tanzania yaani ITV, AZAM, TBC, STAR TV na wengineo ni za kipuuzi sana. Nafuatilia kila siku naona mnaonesha vizuri sana hao mamluki wa G55 wanaojitoa CHADEMA na mnawapa Airtime nzuri kabisa, lakini mikutano ya CHADEMA inayoungwa mkono na wananchi na yenye nyomi huko mikoani...
  9. Kwa Hili Media zinafeli pakubwa mno na hazina mchango Wowote katika maendeleo ya Taifa

    Nimesikitika sana Kuona baadhi ya media (waandishi Wa habari) wametega maiki wakifanya mahojiano na Hajji Manara akimsifu Mwijaku ana makalio makubwa (astaghafullah) mpaka nilijiuliza waandishi wamekosa vitu vya Msingi katika Taifa hili?!! Huku Wana Mbeya wanamtafuta Mdude Nyangali kwenye...
  10. PreGE2025 Mhariri Daily News: Acheni kunyamazisha Uhuru wa Vyombo vya Habari, Waandishi sio Kero ni Daraja. Serikali kutoa taarifa sio ombi ni wajibu

    Wakuu, Baada ya Tuzo za Kalamu ya Samia Mhariri wa Gazeti la Daily News alirusha jiwe angani, akasema, wenye D mbili na hata wale wenye F wameelewa. Maana kilichofanyika pale ni kuzika uhuru wa vyombo habari, kuwazuia vidomo domo kwenye kuchimba na kuwapiga mkwara, tumewapa hela hizi sasa ole...
  11. G

    Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  12. Hivi tuzo za Samia kalamu siyo hongo kwa Vyombo vya Habari?

    Japo sikumbuki mheshimiwa daktari, profesa, mbeba maono kuandika lolote la kustahili kuhusishwa na kalamu, nina shaka na 'tuzo' za Samia Kalamu. Kama tuzo zingekuwa dili, basi zingeanza kwa wakulima. Je ni kwanini ameanza au kupendelea wana habari? Soma Pia: Washindi wa tuzo za Samia Kalamu...
  13. PreGE2025 Tuzo za Kalamu ya Samia zimezika Uhuru wa Vyombo vya Habari, kuna aliyepewa tuzo atakuwa na ubavu wa kumkosoa Rais?

    Wakuu, Katika aliyepewa tuzo pale kuna ataweka kitu ambacho kinaenda kinyume na Rais ama jambo la wapinzani ambalo wanajua litamkera Rais? Mwananchi/The Citizen ikanyamazishwa shwaaaa na milioni 20 pamoja na washindi wa kategoria! Halafu Rais Samia akamalizia na msumari wa mwisho; "Kuweni...
  14. Olengurumwa: Wanahabari na Vyombo vya Habari kipindi hiki cha AI wanao wajibu wa kusaidia umma kujua habari zipi za kweli

    https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya habari vinao wajibu wa kusaidia umma kubaini zipi taarifa za ukweli na uongo, ambapo amesema katika...
  15. Tanzania yapanda katika viwango vya uhuru wa Vyombo vya Habari duniani

    Na Mwandishi Wetu, JAB Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka 2025. Kwa mujibu wa Ripoti ya Waandishi wa Habari Wasio na Mipaka (Reporters Without Borders – RSF) iliyotolewa tarehe 2...
  16. Vyombo vya habari bongo vifanye mahojiano na watoto wa Iddi Amin tuwasikie kuhusu baba yao

    Vyombo habari vitakavyoweza kufanya interview na watoto wa Iddi Amin vitavutia wasikilizaji wengi sana, hii ni kwa sababu kuna mengi yamesemwa kuhusu Iddi Amin na kwa sababu Iddi Amin ni sehemu ya Historia ya Tanzania kupitia vita vya Tanzania na Uganda mwaka 1978. Lumumba Amin Jaffar Amin
  17. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani, Aprili 29, 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) yanaendelea Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, leo Aprili 29 kwenye Hoteli ya Gran Melia Matukio ya siku ya kwanza, soma World Press Freedom Day 2025, April 28, 2025...
  18. Siku ya 1: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025), Aprili 28, 2025

    Baadhi ya wageni Msanii Vitalisi Maembe akitoa burudani Leo Aprili 28, 2025 ni siku ya pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) ambapo shughuli zinafanyika kwenye Hoteli ya Gran Melia - Arusha, ambapo maadhimisho hayo yatarajiwa kufanyika kwa kwa...
  19. Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

    Picha zikionesha matukio tofauti ya Washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run) za Kilometa Tano zilizofanyika leo Aprili 27, 2025 ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari ambayo yanafanyika kwa siku tatu Jijini Arusha Mbio hizo zilizoshirikisha Wadau mbalimbali...
  20. Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…