Vyombo vya habari vinapaswa kuwa huru katika kutoa taarifa kwa wananchi wote. Kwa jinsi mwenendo wa hali ulivyokuwa tangu kuanza kwa kampeni mpaka kutokea mauaji ya halaiki kwa raia, vyombo vya habari vimehusika kwa kiasi kikubwa, Damu hii iliyomwagika ardhini itawalilia milele.
Vyombo vya...
Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani.
Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa unatarajiwa kufanyika kesho, Oktoba 29, 2025, ikumbukwe Tume ya Uchaguzi ilipuliza kipyenga cha kuanza kampeni za wagombea wa urais zilizodumu kwa zaidi ya miezi miwili, ni vyema kwa ufupi tukamulika kipindi hiki ambacho kinahitimishwa leo...
Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ghafla anaibuka mwanasiasa ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima na kutoa msisitizo wa baadhi ya mambo yanayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu.
Katika hotuba yake...
Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inasikitishwa na hatua ya Tume ya Utangazaji ya Zanzibar kutoa taarifa inayoweka orodha ya Vyombo vya Habari vya Mtadaoni inavyovitaja kuwa vinafanya kazi kinyume cha sheria ambayo Tume hiyo inaisimamia na kutishia kuvichukulia hatua...
Wakuu wa vyombo vya habari na wahariri waandamizi nchini Tanzania wamekutana leo oktoba 25, 2025 katika jengo la Millenium Tower Jijini Dar es Salaam na kuzungumza na watanzania kupitia vyombo vya habari kuelekea uchaguzi mkuu oktoba 29, 2025.
Tukio hilo lilikuwa na dhumuni la kuwakabidhi...
Mwalimu Uzima Mkufunzi wa masuala ya amani kutokea Baraza Kuu la Waislama Tanzania (BAKWATA) amewakumbusha viongozi wa dini na wananchi juu ya uzalendo wa mtanzania ni kupiga kura huku akipita kwenye vitabu vya dini na maandiko matakatifu hakuna kitabu kilionekana kikipingana na serikali hivyo...
Hii teka teka na chukua chukua isiyofuata taratibu na kisha hii ya hayuko huku hatujui alipo, haina afya kwa Taifa letu
Hili Taifa si la wachache, ni letu sote likiharibika hatuna lingine tena. Kwa macho ya kawaida kabisa kuna kundi limejipanga kutuharibia nchi na kwa bahati mbaya hili kundi...
Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni leo kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki
Chaguo ni lenu wenyewe mchague kufa kwa kupuuzwa na Wananchi, itafikia mahali hata gazeti moja halitanunuliwa tena
Itafika mahali hakuna Mwananchi atatizama Channel zenu...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ruangwa, George Mbesigwe, amevitaka vyombo vya habari kufuata sheria, kanuni na maadili ya taaluma zao wakati wa kipindi cha uchaguzi, akisisitiza kuwa ni muhimu kutoa taarifa kwa ufasaha, uwiano na bila upendeleo.
Akizungumza leo Oktoba 22 katika kipindi cha...
Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari
Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
Ukitazama uchaguzi wa mwaka huu, utagundua kuwa vyombo vyetu vya habari vimekuwa vikiweka msisitizo mkubwa kwenye masuala ya amani na haki. Hili si jambo baya, lakini ni muhimu watambue kwamba, wakati wakihubiri amani, kuna kundi la watu ambalo limekuwa likipaza sauti kuhusu utekaji, upoteaji wa...
Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
Wakuu,
Mwanachi mwenzetu kaongea ukweli kabisa, kuna muda vyombo vya habari tunavyotegemea kutupa habari kwa undani na uwazi vinaamua kutupoteza kwa kukimbia ukweli au na wao wanamilikiwa na wajuba?
Sema jamaa anajiamini nimewaza na hilo koti alilovaa ni hatarii sana
Sheria hii ilitumika kuufungia mtandao wa JamiiForums pamoja na vyombo vingi sana vya habari, Sababu kuu ikitajwa kuwa ni kuandika na kurusha habari bila kuzingatia mzani na kufanya utafiti kuupata ukweli upande wa pili kabla ya kurusha au kuandika habari.
Je, hayo yamezingatiwa katika kurusha...
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga “Mafingensis" atazungumza na vyombo vya habari, kesho, 30.09.2025 saa 4 asubuhi na kutoa taarifa mintaarafu kuhusu Padre Jordan Kibiki
24.09.2025 Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi aliwaeleza waandishi wa habari...
Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania upo kwenye jaribio hatari, kama vile kulazimisha giza na nuru kuoana kwa nguvu.
Hivi karibuni, hatua zilizochukuliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) dhidi ya mtandao mashuhuri wa kidigitali (Jamii Forums) zimewaacha wengi wetu tukijiuliza...
Kutokana na habari za utekaji kutrend Leo kwenye vyombo vya habari hasa habari hiyo kurushwa na BBC.
Nikaamua niwafate BBC Swahili kupitia Star Tv Kila saa 3 kamili usiku. Cha ajabu hiyo habari ya utekaji imekatwa na star tv muda huu na kuweka matangazo TU.
Aisee hii nchi ilikofikia na mbaya...
Kwa kuzingatia kifungu cha 26 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa vyombo vya habari vyenye nia ya kuchapisha au kutangaza habari wakati wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo.
Chombo cha Habari...