Nchi za Kinordic; Sweden, Norway, Denmark, Finland na Iceland zinajulikana sana miongoni mwa Watanzania kwa sifa chache mashuhuri—kama vile maisha bora ya wananchi wao, elimu ya bure, kiwango kidogo cha rushwa, usawa wa kijinsia na viwango vya juu vya furaha.
Lakini je, tunafahamu zaidi ya...