vyama

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa muda mrefu sasa haijapokea madiwani wala wabunge kutoka vyama vingine. Je, haipendwi?

    Najiuliza tu maana tangia wamchukue Lazaro Nyalandu kutoka CCM hawa jamaa wa CHADEMA hawajapokea diwani wala Mbunge tena kutoka chama tofauti. CCM wao karibia kila mwezi wanapokea madiwani kutoka vyama vya upinzani wanaojiunga nacho kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli. Je, CHADEMA kimepoteza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Tupo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa Urais lakini si yule wa CHADEMA atakayetokea CCM

    Mwenyekiti wa CUF Habari Prof Lipumba amesema wao wako tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa urais. Lipumba amesisitiza kuwa pamoja na yote hawatakuwa tayari kushirikiana na Chadema kama wanangojea makapi ya CCM waweze kupata mgombea. Prof Lipumba...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pumzi imekata, ACT hakiaminiki, vyama vingine havina mvuto. Kwa hali hii watashindana vipi na CCM wakashinda?

    Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020 upinzani utaambulia anguko kubwa na la aibu la kihistoria. Ni anguko la kihistoria kwa sababu baada...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vyama 12 vya upinzani nchini Vyamkana Mbowe na Chadema, vyasema vitashiriki uchaguzi chini ya NEC kwani wana Imani nayo

    Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli. Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday CCM, Tunawashukuru kwa mema yote mliyolitendea taifa ikiwemo kuukubali mfumo wa vyama vingi!

    Namtakia kila la kheri mwenyekiti wa CCM Dr Magufuli Nawatakia kila la kheri makamu mwenyekiti mzee Mangula, Katibu mkuu Dr Bashiru na sekretarieti yote Namtakia kila la kheri kada mkongwe na asiyechoka Mzee Mgaya Nawatakia kila la kheri wanaccm wote Mwisho lakini siyo kwa umuhimu nawatakia...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Uoga: 2020 Mwaka wa uchaguzi umefika lakini CCM yaendelea kuzuia Mikutano ya hadhara, Msajili wa Vyama aufyata

    Ili kuhalalisha uvunjifu wa Katiba ya nchi, Mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli alinukuliwa akitoa marufuku ya shughuli za kisiasa kwa kisingizio dhaifu cha kuleta maendeleo na kwamba wenye hamu ya kufanya siasa wasubiri mwaka wa uchaguzi 2020, Polisi wakadaka amri hiyo haramu kama kifanyavyo...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

    TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Naftaha Nachuma, Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF) amedai, baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, wameanzisha...
  8. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ilivyoshika uhai wa vyama vya siasa

    Ni dhahiri siasa za majukwaani kwa miaka minne iliyopita zilikuwa na changamoto kubwa lakini mitandao ya kijamii imeonekana msaada mkubwa katika kukuza uhai wa vyama vya siasa au mwanasiasa mmojammoja. Zimekuwapo juhudi za kuwashawishi watumiaji wa mitandao ili kupata wafuasi miongoni mwao, na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

    Tanaambiwa Tanzania tuna Rais Dikteta, mnyanyasaji, anae ua upinzani, katili n.k Sasa tujiulize kitu hivi Kama kweli hayo yasemwayo je inawezekana vipi Dikteta akawa anatoa Ruzuku kwa vyama vingine vya siasa jambo ambalo ni haramu katika utawala wowote ule wa Kidikteta duniani. Vyama vya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani ni kama vikosi vya Tarabushi vimejaa hofu na haviwezi kuhoji lolote kwa Wenyeviti wao

    Jana kupitia gwaride la kikosi cha Tarabushi kwenye sherehe za Mapinduzi Zanzibar tulijifunza mambo muhimu sana. Mojawapo ni jinsi viongozi wanavyoweza kuwajaza hofu walio chini yao na kisha kuwaburuza. Ndipo nikawakumbuka viongozi wa Chadema na CUF yaani Prof Lipumba na Mbowe jinsi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya upinzani msipogomea uchaguzi 2020 bila tume huru tutawashinikiza sisi wanachama

    Vyama vya upinzani chondechonde msije mkakubali kuingia kwenye uchaguzi 2020 bila tume huru. Hulka na tabia ya jiwe na serikali yake mmeshaiona hawana aibu heshima staha Wala huruma kwenu Wala hawaifwati katiba. Kama jiwe ameweza kuchezea uchaguzi wa serikali za mitaa bila kufanywa lolote Wala...
  12. JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yatupilia mbali hoja za Meya wa Dar es Salaam kutaka asalie madarakani, yasema hoja za mwombaji hazina miguu ya kusimamia

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema haiwezi kuzuia Meya wa DSM,Isaya Mwita kuondolewa kwenye nafasi yake kwa sababu hakuna uthibitisho wa uwepo wa kikao cha kumuondoa madarakani wala hasara atakayoipata endapo akiondolewa. Yasema mwombaji hajatoa sababu za msingi za kukidhi vigezo vitatu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

    Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni. Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
  14. JamiiForums Tanzania Wakati zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura,Sioni vyama vya siasa na vya wafanyakazi Vikihamaisha watu wao

    Huu ni mwaka wa uchaguzi lakini pia tume ya taifa ya uchaguzi ipo katika zoezi la uboreshaji wa daftari la Wapiga kura .Wakati zoezi hilo likiendelea vyama vya siasa vipo kimya na vyama vya wafanyakazi navyo vipo kimya. Vyama vya wafanyakazi vinawajibu wa kuhamasisha wanachama wao...
  15. JamiiForums Tanzania Uchumi Bila siasa ya vyama vingi

    Hakuna haja yeyote ya kuwa na vyama vingi nxhini huku tukipoteza bilions of money katika shughuli za kampeni badala ya kuziwekeza katika kukuza uchumi na Pato la taifa, itungwe katiba yenye kuonesha dira ya taifa na Kila kiongozi aifuate na aiheshimu vinginevo awajibishwe tuachane na mfumo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya siasa, Serikali na Bunge acheni unafiki shule zote za Serikali ziwe English medium watoto wenu mbona wanasoma English Medium?

    Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa. Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium. Wanafiki wakubwa nyie msio na haya Hizi ndizo...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana wa Upinzani ni mbumbumbu ni vilaza wasiojua tofauti ya kutekwa na kukamatwa ndio maana hata vyama rafiki vimewatenga

    Hawa vijana wengi wao ni mbumbumbu kabisa hawajui kusoma alama za nyakati hawataki kuamini kwamba siasa za kiuanaharakati zimepitwa na wakati, hawataki kuamini kwamba uongo mmoja wao unasababisha vyama vyao vichukiwe
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo bado kuna wafia vyama huko?

    Ni upumbavu wa ngazi ya SGR kwa sasa, kama hauna nafasi ya kula, kushabikia vyama vya siasa katika ule mtindo wa kufia kabisa. Binafsi niliachana na hayo mambo tangu miaka ya 2012 huko. Chama hiki kinakiponda chama kile kwa suala ambalo chenyewe linakifanya, hiyo leo. kesho chama kile...
  19. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania, siasa halali za vyama vya upinzani kuhesabika kama uhalifu wa makosa ya jinai!

    Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 3(1) inasomeka hivi " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa nchi ya kidemokrasia na ya mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Katika mazingira hayo vyama vya upinzani vinapaswa kutoa "constructive criticism" ambavyo...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kuvitenganisha vyama vya siasa vya Tanzania na ukanda

    Kuna wakati nilimsikia waziri Kabudi akiwaelimisha wakenya juu ya madhara ya ukabila na kwamba chanzo chake ni uroho wa madaraka. Na siku zote mtu mroho daima huwa mchoyo. Baadhi ya wakenya waliguna wakauliza.........Mbona vyama vya upinzani Tanzania vimejengwa katika misingi ya ukanda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…