Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait OnangaAnyanga, ambaye ni Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
Kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara ya Tawala za Mikoa, ilieleza kuwa vyama hivyo vimeshindwa kutimiza wajibu wao wa kisheria, na kuamuru kusitishwa kwa shughuli za vyama hivyo pamoja na kufungiwa kwa mali zao.
Soma pia Serikali ya Kijeshi Guinea yasitisha shughuli za vyama 3 vya upinzani...
Wakuu,
Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo
Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
Hii Ofisi ikifutwa ni nini kitakosekana kwenye siasa za Tanzania?
Naona kuwa na ofisi hii pamoja na waajiriwa wake ni ufujaji wa pesa za maskini walipa kodi wa nchi yetu.
Hakuna Chama Takatifu cha Siasa duniani, kila Chama kima madhaifu yake, kinachotakiwa kufanyika ni kusahihishana, kusamehana na kusonga mbele
Niliyoandika katika nyuzi zangu zilizopita yalikuwa ni madhaifu ya kila Chama na sii udalali wa siasa au uchawa kwa lugha ya mtaani
Binafasi sina chuki...
Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo.
Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP)
Dar es Salaam,
Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetoa kibali cha kufungua kesi ya msingi kwa walalamikaji Vyonheaven Exaud Urima na Andrew Fadhili Bomani katika shauri la kiraia Na. 8286/2025 waliofungua dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)
Katika...
Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake.
Hili litaepusha uwepo wa vyama...
Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache:
1.Kuzikana
2.Kusafiri pamoja
3.Kufanya biashara
4.Kufanya ngono
5.Kucheza michezo...
Kwa sisi watafiti, nguzo yetu kubwa ni kugundua chanzo cha tatizo na kulichambua vema, ili kuja na suluhisho.
Kwa kilichotokea Octoba 29, japo chanzo chake, kwa nje, inaonekana ni "ujeuri na ubabe wa Chama cha Mapinduzi (CCM)," ila ki uhalisia kabisa, chanzo kikuu, mimi naweza kusema, ni...
Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma.
Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
Kizazi cha Gen z kimekuwa na nguvu na mwiba mkubwa kwa mafisadi kwenye mataifa mbalimbali kuliko upinzani wa vyama vya siasa.
Je, gen z wa Tanzania wanaweza kupindua serikali ya Tanzania? hili ni jibu ambalo linaweza kuwa ndio,
kulingana na uchunguzi idadi ya gen z ni zaidi ya asilimia 60% ya...
Utekaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, Utengenezaji wa mifumo bandia ya Uchaguzi, tume huru bandia ya uchaguzi, utangazaji wa Rais na wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi, na kisha mauaji ya kiharamia ya Maelfu ya Watanganyika, vyote vimefanyika chini ya Serikali ya CCM.
Ushetani huu wote...
Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake.
Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
Ushauri aliopewa na baba yake. Angélique Kidjo ni mwanamuziki kutoka nchini Benin na mshindi wa Grammy Awards 5.
Wasanii wa Tanzania amkeni usingizini, wenzenu hapo Kenya wameshawapita mbaali kimuziki kwa sababu ya kuendekeza siasa badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi!
Friends and Our Enemies,
Kila mwenye akili na uelewa wa mambo anafahamu kuwa chanzo cha machafuko haya yaliyotokea ni uongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo.
Chadema kupitia mwenyekiti wao Tundu Lisu na makamu wake John heche kwa nyakati tofauti fofauti walishawahi kunukuliwa wakisema...
Katika historia ya mataifa, kuna nyakati ambazo taifa hufika kwenye makutano ya maamuzi ya maadili na dhamira. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania umeacha doa lisilofutika kirahisi doa la kishetani, kama ambavyo wananchi wengi wameuita kwa uchungu. Wengi wamesema wazi kuwa si uchaguzi wa...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.