Vunjabei always disappoints

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,637
5,650
Huyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana.

Nadhani Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake. Always ana dissapoit.

Low quality jersey (jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu nimeshindwa kuivaa nimetunza ndani kitambaa chepesi low quality yaan huwa naona hata zile anazotengenezea Singida ni bora kuliko zetu.

Anazindua jezi hana. Hivi kwani huyu jamaa anakurupushwaga? Simba imefuzu makundi tangu Nov inamaama jamaa hakujua Feb atatakiwa kuwa na jezi? Very poor! Kila siku we unazindua jezi na huna jezi angalau ingetokea mara moja tu but always hana jezi na hapo tar 15 zitakuja pc 2000 tu kama last time atauzia duka moja tu la sinza anaona raha sana watu wakijazana pale anachukua video kupost aonekane ana base kubwa ya wateja (chukua video siku za kawaida ambazo huna jesy au sale tuone hiyo nyomi).

Designer hana anakurupuka tu na marangi rangi yasiyoeleweka, aisee am tired of him. Na bado kuna wapuuzi wanacoment jesy kali iv ukiwa shabik ndo unapaswa uwe mpumbavu? Hupaswi hata kutumia akili yako hata kdg? Na kwenye uzi huu utayaona mambumbumbu yanacoment jesy kali .

Jifunze kutumia akili shabiki wa Simba mwenzangu, acha ujinga.
 
Huyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana

Nadhan Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake

Always ana dissapoit

Low quality jesy(jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu nimeshindwa kuivaa nimetunza ndani kitambaa chepesi low quality yaan huwa naona hata zile anazotengenezea Singida ni bora kuliko zetu

Anazindua jezi hana
Iv kwan huyu jamaa anakurupushwaga? Simba imefuzu makundi tangu Nov inamaama jamaa hakujua Feb atatakiwa kuwa na jezi? Very poor! Kila siku we unazindua jezi na huna jezi angalau ingetokea mara moja tu but always hana jezi na hapo tar 15 zitakuja pc 2000 tu kama last time atauzia duka moja tu la sinza anaona raha sana watu wakijazana pale anachukua video kupost aonekane ana base kubwa ya wateja( chukua video siku za kawaida ambazo huna jesy au sale tuone hiyo nyomi)

Designer hana anakurupuka tu na marangi rangi yasiyoeleweka aisee am tied of him

Na bado kuna wapuuzi wanacoment jesy kali iv ukiwa shabik ndo unapaswa uwe mpumbavu? Hupaswi hata kutumia akili yako hata kdg? Na kwenye uzi huu utayaona mambumbumbu yanacoment jesy kali jesy kali ya ma*ko au?

Jifunze kutumia akili shabik wa simba mwwnzangu acha ujinga
Jezi za mwaka huu hizi za M-bet mimi siwezi vaa ni jezi mbovu sana hazina mvuto
 
Hivi ni Haier au Ha ier?

20230208_224744.jpg
 
Ameshatoa sababu za kutoweka logo ya Mo? Huyu jamaa yangu atakula hasara kwa sababu ya kukurupuka.
 
Back
Top Bottom