vpn

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiondoa Droid VPN, ni VPN gani nyingine ambayo iliendelea kufanya kazi October 29 na kuendelea?

    Wakuu kwema? Wale wenye Droid VPN hakuna hata dakika 1 mtandao ulisumbua, napenda kufahamu orodha ya VPN nyingine zilizoweza kuhimili kadhia ile ya vilaza, najua kuna uwezekano wa internet kutolewa Dar na Arusha kwa nia ya long range point to point radio links kama tulivyo ahidiwa, lakini nivema...
  2. JamiiForums Tanzania Tiktok, Twitter, VPN, P*rn Sites zafunguliwa rasmi Tz. Ama TCRA aliyekuwa night shift amejisahau?

    Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida. Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya VPN humaliza chaji ya simu haraka na hupunguza ubora wa battery

    Ni elimu tu Simu ambayo inaweza kukaa chaji siku nzima, ukiwasha vpn chaji inashuka kwa speed kali sana, Ukiendekeza matumizi haya kwa muda mrefu unaua battery Kwa wimbi hili kubwa la matumizi ya vpn hata unaponunua simu used hakikisha unajiridhisha na ubora wa battery
  4. JamiiForums Tanzania Itakuwa unfair kwa TRA kuchukua kodi kwa watu wanaofanya biashara kwenye site ambazo unahitaji VPN uaccess

    TRA walisema wafanyabiashara walioko online au wanaofanya biashara online walipe kodi ni sahii kwa asilimia 100 Siku za hivi karibuni kuna site unahitaji VPN ili uaccess jamiiforums ni mojawapo swali hawa watu wanaofanya biashara sehemu kama jamiiforums na twitter wanatakiwa kulipa kodi...
  5. JamiiForums Tanzania Tiktok yafungiwa Tanzania, bila VPN uwezi kutumia

    Tiktok imeungana na X (Twitter) na JamiiForums, rasmi hii mitandao uwezi kutumia bila VPN
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni Vpn nzuri kutumia kwenye PC

    Wakuu Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi ya VPN

    Naomba nijaribu kueleza matumiz ya vpn kwa uchache sana Vpn haipo kwa ajili ya kuleta mtandao mahala ambapo hakuna mitandao kwa maana ya internet Vpn ni mahususi kwa ajili kuingia kwenye website ambazo zimekuwa restricted ku access Mfano jf imefungiwa ili usipate wala kuona maudhui yake...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi wadau hata VPN imezuiwa kuunganisha Tanzania?

    Ninazo vpn mbili tofauti lakini toka jana mtandao uliporudi sijafanikiwa ku connect. wenzangu mnatumia vpn gani kuperuzi Instagram, Whatsup na Tiktok?
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Facebook imeliwa kichwa bila VPN huoni kitu, CCM must go

    GT Haya mambo haya walizani tunatania kubabake sasa ni mwendo wa VPN Mpaka kieleweke Pia soma > GE2025 - Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?
  11. JamiiForums Tanzania Waambieni wanachama wa CHADEMA, Sukuma Gang na wakristo wa- download VPN tunajambo letu

    Aluta... Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi. Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone wapakue VPN app zenye security nzuri. Tutafanya tofauti, maandamano yetu hayatafanana na mengine...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fanya hivi ili uweze kuperuzi mitandao iliyozuiwa (blocked) bila ya kudownload VPN kwenye Kompyuta yako

    Ni wazi kuwa matumizi ya mtandao yameminywa sana Tanzania kwa sababu za kisiasa zinazowekwa kwenye mtazamo wa kiusalamaua na kimaadili, tumefikia kipindi mtu anahitaji kutafuta mbinu za kuweza kupata taarifa kutoka kwenye majukwaa muhimu ya habari kama X na hata sasa Baada ya kusitishwa kwa muda...
  13. JamiiForums Tanzania Jf na VPN

    Jamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha. Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki kukosolewa mbapokesea? Watu hawataki kupiga kura kwanza maana hawawataki so mkae kwa kutulia, VPN...
  14. JamiiForums Tanzania Unawezaje kuingia Jamiiforum kwa VPN kuja kusapoti watu walio ipiga pini? Hizi sio akili zakawaida

    Naona humu kuna watu wanapambana kudownload VPN ili waingie Jf kusapoti na kupigia debe wale walio ipiga pini, yaani wandeleze uchawa wao hata kwa VPN. Hizi haziwezi kuwa akili zakawaida, yaani kwa normal akili ni jambo lisilo wezekana aisee.Kwamba mtu ananinyima uhuru wa kujieleza ila...
  15. JamiiForums Tanzania Usihangaike na VPN ingia JamiiForums na Twitter X kwa kutumia operamin ni bure kabisa bando lako tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Wambieni na wengine ambao hawajui Asanten sana LONDON BOY Tumsifu YESU KRISTO
  16. JamiiForums Tanzania Kwa VPN unaona Raha zote duniani

    Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
  17. JamiiForums Tanzania VPN imenirudisha tena JF

    Hello ndugu zangu, Am back from cell, nilikua sielewi why siwezi reach jf tena then nikagundua baada yakuingia jf Facebook kuwa kuna Barn, then @Tatizo_la_pre_ejaculation akanitonya baada ya kuanzisha group lengine la kutoa huduma na elimu ya afya kwakua yeye alishakuwa kwenye cycle yangu...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaiheshimu sana TCRA lakini hatushindwi kutumia mitandao iliyofungiwa pasipo kutumia VPN

    Kwa heshima kubwa, tungependa kuwafahamisha kwamba katika ulimwengu wa teknolojia ya mawasiliano, hatua za kuzima au kufungia domain moja ya tovuti si suluhisho la kudumu. Tunajua mna uwezo wa kufanya deep packet inspection (DPI) na kufungia domain.. Lakini hilo lisiwape kiburi.. Jamii ya IT...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VPN: Mungu awabariki wazungu kwa hii kitu

    Kwema hapo wakuu, nimekaa nje ya JF toka waifungei Sasa natafakari tangazo la kuifungia JF Kuna statement moja inasema hatutapatikana ndani ya Tz kwa muda wa siku tisini. Wazo likaja kumbe nikiwa Malawi naweza ipata JF, kwa Sasa nipo Malawi waku na wasalimu.
  20. JamiiForums Tanzania Lazima Kutakuwa na Wafanyakazi wa TCRA Wanaoendelea Kutumia JamiiForums kwa VPN

    Watu wa namna hiyo wanaitwa WANAFIKI, ni watu wabaya sana. Wewe si umezima, sasa unafuata nini huku? Si uende huko FB?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…