Moment of Silence for Volkswagen Amarok

Chukua hio Land cruiser tuitafute Mbeya au popote unapotaka uone kama hio LC itaona hata taa za hio Amarok. Hapo Amarok inazidiwa nguvu simply because hio lc ni cc3000 au zaidi wakati Amarok ni cc2000 bahati nzuri mbio na perfomance nyingine hazihitaji maguvu yote hayo.
Landcruiser ya mwaka sawa na Amarok anamnyoosha vizuri tu huyo Amarok
 
Back
Top Bottom