vodacom

  1. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au na nyie mnaliona hivyo: Internet ya Vodacom inasumbua sana

    Ni kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet. Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata. Najiuliza hili tatizo ni kwangu tu au na Kwa wengine mnaotumia voda mna changamoto hiyo?
  3. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  4. EricMan

    JamiiForums Tanzania Vodacom Postpaid Kuna Kautapeli

    Leo ni siku ya pili Internet yao inaandika "sign in to network" mara "network not available " toka jana wananambia suala lako linashughulikiwa ndan ya masaa 6. katika masaa 48 je kuna masaa 6 mangapi? Imagine unalipia 115k kwa mwezi alafu siku mbili huna internet huu si Wizi? Nikipata...
  5. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu Bima ya afya ya Vodacom

    Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bunda: Hali ya Barabara inayokwenda TBC - Mnara wa Vodacom si nzuri, inahitaji matengenezo ya haraka sana

    Barabara ya ‘Mnara wa Vodacom’ inayochepuka kutoka barabara mpya iendayo Butiama-Nyamuswa-Ukerewe imekuwa kero kwa wakazi wa Ligamba mtaa wa Ligamba ‘A’—Wilaya ya Bunda, Mara. Barabara hii, licha ya kuelekea kwenye minara ya Vodacom na ofisi za TBC pamoja na minara ya TBC, haijawahi kufanyiwa...
  7. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
  8. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania M - Pesa siyo ya kutegemea Masaa Karibu 20 sasa Huduma inasumbua

    Vodacom Tanzania Hii si sawa, ni Masaa Karibu 20 sasa Huduma yenu haipo sawa, hela za Biashara na transactions zipo hewani! Si sawa! Tunakwama
  9. excel

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
  10. Joseph Ludovick

    JamiiForums Tanzania Vodacom Bulk sms

    Vodacom Tanzania Tafadhali, nime subscribe kifurushi cha sms 10,000 kwa sababu ninahitaji kutuma sms kwa watu wengi..ajabu nikituma msg chache tu mtandao unablock. Naambiwa mpaka niombe huduma ya kutuma bulk sms. Niliponunua msg zote hizo hapakuwa na msg ya alert kuwa nahitaji kuapply tena...
  11. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tigo na Vodacom achaneni na tabia hizi or otherwise mtoe posho kwa wateja wenu

    Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

    N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara. Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando Suluhisho ni huduma ya unlimited...
  13. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom unasumbua sana kwa sasa

    Wakuu...hivi ni mitandao yote saivi au ni huu voda tu ndio wa kijinga saivi...
  14. Zemanda

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom huduma kwa wateja ni tatizo

    Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja. Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna access ya kuzungumza na binadamu ambaye nitaweza muelezea shida yangu direct. Sina unakika kama hii ni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa Mbeya

    Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na kuwauliza hawana sababu za msingi zaidi ya kusema kuna miamala feki imefanyika, zaidi ukiwauliza...
  16. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

    Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka . M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. Wateja wote wa M-Pesa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania VODACOM yatoa elimu kuhusu utapeli wa mtandao

    Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imetembelea soko la Makumbusho jijini Dar es Salaam kutoa elimu na kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu utapeli wa kimtandao. Zoezi limefanywa kwa lengo la kuwasaidia watumiaji wa mtandao namna ya kutambua na kuepuka matapeli katika mitandao ya simu. “Tatizo la...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom yazindua Vodashop katika stesheni ya SGR Dodoma kuwasogezea huduma wateja

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Vodacom Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto ni Mdau wa...
  19. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamenifanyia unyama, kesho naenda makao makuu na mwanasheria wangu.

    Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998 Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history. Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
  20. Kapumpuli

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom wajitafakari

    Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu. Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa kufanya miamala ya kifedha jambo ambalo limekuwa likijirudia rudia na kuzua sintofahamu Kubwa kwa...
Back
Top Bottom