vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

    Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule kuna Kupigwa na wababe Kunyang'anywa chakula Kuteswa Kubakwa n.k ni hapana Maisha yanaenda kawaida ikiwa kwa upande wa burudani Television ipo Draft/bao lipo Mpira wa miguu upo "Kwaya kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tujenge utamaduni wa kupendeza (kujipenda), kutoka out na kula vizuri

    Heri ya Pasaka. Iko hivi, imekuwa kama tamaduni kwetu kuwa siku za sikukuu ndio mtu atavaa vizuri, atakula vizuri na atatoka out. Jana wakati natoka kwenye mishe zangu nikamuita boda wangu anipeleke home nikaangalie chama langu Liverpool likimenyana na Arsenal. Jamaa kafika asee alikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mawaziri mnakula vizuri, sisi hali mbaya

    Hali ya maisha imekuwa tete sana. Mchele Maharagwe. Mafuta. Unga Havinunuliki. Viongozi amkeni msimuharibie mama. Hali mbaya wengine wakichota billions
  4. JamiiForums Tanzania RUWASA Yaendelea Kufanya Vizuri Musoma Vijijini: Mradi wa Maji wa Chumwi-Mabumerafuru Unaenda Vizuri

    RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 zenye jumla ya Vijiji 68 limezungukwa na Ziwa Victoria. Utekelezaji wa Mradi wa maji ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  6. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Nguvu kubwa inatumika kuonesha Rais Samia hafanyi vibaya?

    Siku zote kazi nzuri inajitangaza, Hayati JPM hayupo lakini kila siku anatangazwa, anatangazwa kwa sababu ya kazi zake ambazo ni alama. Huwezi mdanganya hata Mtanzania wa chini kabisa kumuhusu JPM. Kwanini kwa Rais Samia inatumika nguvu kubwa sana kumtangaza ili aaminiwe?
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  9. JamiiForums Tanzania Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

    Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia. 👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea kumpa sifa au kuuonyesha ubora wake. 👉 Nimejiuliza kipi kinachomfanya asiendelee kuwika katika zama...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi iliyopatikana kwenye uchaguzi wa 2020 ikitumika vizuri ni faida kubwa kwa CCM

    Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikuwa mgumu mno kuwahi kutokea tangu vyama vingi vya siasa vianzishwe. CCM ilipita kwenye tundu la sindano kushinda ule uchaguzi. Chama kilikuwa hoi mno. Kabla hata ya Lowassa kuhama tayari upinzani ulikuwa una nguvu mno kutokana na kuwepo vichwa hatari mno kisiasa...
  11. JamiiForums Tanzania Ukifikiria vizuri utaona kuwa dini zote zilianzishwa na watu kama Zumaridi

    Ni kwamba tu dini hizi zilianzishwa zamani sana ndiyo maana tunaona sawa. Mimi ni mkristo, lakini leo atokee Seremala aanze kusema ni mwana wa Mungu na katoka mbinguni lazima kila mtu ashtuke na kumuona hayupo sawa kichwani. Akitokea mtu akisema anashushiwa aya na malaika kutoka kwa Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

    Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli . Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana . Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu...
  13. JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Godbless Lema katika The Big Ajenda Star TV, yupo vizuri kichwani kuwazidi wapinzani wote hapa Tanzania

    Lema ana akili nyingi Sana Kichwani na pia ana Huwezo mzuri wa kuchambua Mambo ya kiasiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni. Watz Wamefungwa akili na wanaamini umasikini ni mpango wa Mungu kumbe sio kweli. Nimeshtushwa alipoongelea Mwalimu kulipwa lakitano na Askari police anayeanza Kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  15. JamiiForums Tanzania Ishi na jamii tofauti ujue jinsi ya kuishi na watu vizuri. Vifo vitazidi kuongezeka Afrika Kusini sababu tunapeleka ushamba wetu kwao

    Tembea uone/ishi na watu au jamii tofauti ujifunze wabongo wengi au Watanzania kakulia kariakoo ndo hapo mpka mwisho wa tamati. Afu kila siku anaongea mambo yale yale. 👤 Watanzania asilimia kubwa ambao akili zao ni mgando wanachukua tabia zetu za mazoea na kuja nazo south Africa. Uku...
  16. JamiiForums Tanzania Jedwali hili linaeleza kinachoitwa maridhiano yanayoimbwa na Mbowe na CHADEMA yake

  17. T

    JamiiForums Tanzania Badala ya kusema VICOBA sio vizuri, tumieni muda huo kutoa Elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha

    Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA. VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
  18. JamiiForums Tanzania "It takes two to tango" sijui kama waliomsikia mama Samia walisikiliza vizuri

    Mh. RJMT mama Samia wakati anahutubia taifa kupitia hadhara ya siku ya wanawake duniani iliandaliwa na BAWACHA alitumia msemo wa kiingereza it takes two to tango. Kimetokea kilichotokea hadi kikazaa maridhiano ila inavyowekwa ni kana kwamba upande mmoja (CHADEMA) ni msafi na makosa yaliyoleta...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nilivyoelewa kauli ya Mbowe ni kuwa lengo la CHADEMA ni kumsaidia Mama kuongoza vizuri na sio kushika Dola

    Asalam, Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

    Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF. Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa. Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…