vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Changamoto ya mafuriko Dar es Salaam, wananchi inapaswa kujikana, kuukataa uchafu ili mitaro ya maji ifanye kazi vizuri

    Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa mitaro na njia za maji. Karibuni kwa mjadala zaidi tuisaidie serikali cha kufanya ili kujinusuru na...
  2. T

    Kuna uwezekano wa kuacha au kupunguza tabia zetu mbaya pamoja na mapungufu ili tuishi vizuri na watu?

    Habari wakuu, Kama wanadamu tuna kasoro na mapungufu mengi ambayo katika hali ya kawaida ni kama tumeumbwa navyo yani huyo ndo wewe huwezi kumbadilisha. Katika hali hii wengi wanapata shida kuishi na watu ata wenza wao wanajikuta wanakuwa kero kwa watu wanaowazunguka. Wakati mwingine inatesa...
  3. Ndugu yangu kakamatwa kwa simu ya wizi, Nawasihi sana tuchukue tahadhari tunaponunua simu 'used'

    Tamaa ni moja ya sifa kuu inayowatafuna vijana wengi sana hasa wenye kupenda vitu vyenye gharama kuzidi uwezo wao. Sikuhizi kwenye makundi mengi ya vijana ili uonekane kijana wa kisasa inaaminika inabidi uwe na simu nzuri zenye brand kubwa kama iphone, Samsung, Google pixel, Nokia, n.k. Kijana...
  4. Nataka kuijua Vizuri wilaya ya Nachingwea

    Habarini wana Jamvi, Nina ratiba ya kwenda Wilaya ya Nachingwea kwa Kazi ya miaka kama miwili. Kwa wanayoijua vizuri naomba experience yenu kuhusu hii wilaya kuhusu fursa zilizopo, Aina ya maisha ya pale, Gharama za maisha kama malazi na chakula,sehemu nzuri za kupumzika weekend na kucheki...
  5. Ukitaka kuishi vizuri hapa Duniani fanya hivi hautajuta

    Kila dakika kila saaa kuwa mtu wa kushukuru , hapa utatumia ile kanuni ya the power of Gratitude kwamba unapozishukuru hela zako Basi MAZINGIRA yako ya Kupata hela yanaanza kuwa marahisi Shukuru kuhusu Afya yako kila Muda kila saaa kila dakika kila sekunde. Ruhusu MSAMAHA kwa kila Mtu hapa...
  6. P

    Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
  7. Wameshakuja na wamejikoki vizuri, wakifungwa 3 kwa 1 hatutaki waje na ulalamishi wala majungu

    Yaani GENTAMYCINE na yule mtu mmoja wa BAKWATA tukiingie Msituni kuipambania Timu nje ya Uwanja halafu Mwarabu atoke bila Kipigo/Kichapo? Sikumbuki ni lini GENTAMYCINE nimeshirikishwa katika Umafia wa Nje ya Uwanja (Utamaduni na Fitna) na nikashirikiana vyema na wahusika na wakakisikia...
  8. K

    Shemeji zangu Wagogo wako vizuri kwa Jiografia!

    Habari wanajf,Nipo hapa Dodoma ingawa mwenyewe ni mwenyeji wa Mbeya.Nimeishi hapa Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi(10)na kubahatika kuoa mgogo,nimegundua kwamba wapo vizuri kwa jografia!Ukiwa mgeni hapa na unaulizia mahali pa kwenda wao hawana kuelekeza pita kushoto au kulia ,au mbele wao husema...
  9. Robertinho: Bocco ndiyo anayefuata Maelekezo yangu Vizuri Kuliko Phiri na Baleke, Aachane na Kelele za Mashabiki wa Simba

    Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni mshambuliaji bora anayeweza kucheza kwa maelekezo na kuisaidia timu, hivyo hawezi kumuacha nje kizembe. Mbrazili huyo alisema Bocco pekeea mekuwa...
  10. S

    Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  11. CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  12. R

    Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

    Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo...
  13. Mhandisi Nyamo-Hanga: Uzalishaji unaendelea vizuri, kuna upungufu wa Megawati 300-350 TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga amefanya ziara katika Kituo kidogo cha Kuzalisha Umeme kwa Gesi Asilia kilichopo Tegeta Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 2, 2023 Akizungumza baada ya kukamilisha ziara hiyo Naibu Waziri amesema Kituo hicho chenye mitambo mitano inayozalisha Megawati...
  14. Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  15. Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  16. Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  17. Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting. Binafsi moja ya vitu...
  18. Mahusuano mabaya: Viongozi Masasi Mkoani Mtwara kaeni mjipange vizuri

    Katika hali ya kipekee leo Rais katika zuara yake Masasi Mkoani Mtwara amepokea kero mbalimbali lakini kero hii ya mahusiano amewataka viongozi wakae. Ni kweli zipo kero nyingi lakini kero inapofikishwa kwa Rais inapata uzito. Kero hii inaonesha bado tuna safari ndefu sana katika utekelezaji...
  19. Rais Samia Unafanya Vizuri so far Don't Be Tempted!

    Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums. Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda wa miaka hii miwili naona anakwenda vizuri japo kasoro ndogo ndogo hazikosekani. Anafanya mambo...
  20. Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…