Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
Anonymous (f714)
Thread
ajira
changamoto
haki
jkt
madeni
mamlaka
muda mrefu
ndege
vijana
viwanjaviwanjavyandege
Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti.
Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
Anonymous
Thread
kujikimu
mamlaka
mpya
ndege
pesa
pesa za kujikimu
taa
tanzania
viwanjaviwanjavyandegeviwanjavyandege tanzania
Baada ya sinema za kuwasingizia mapadre kuwa wanajiteka ama wana stress za madeni kuonekana kama zinastukiwa na wananchi, sasa wanakuja na mbinu hiyo mpya iitakayowafinya vizuri mapdre mpk wakome kukosoa.
Vita hii ni Kali sana. Wakatoliki msiichukulie poa, mtakwisha!!
Kama mbwai ishakuwa...
Katika hali ya kushangaza kutoka vyanzo mbalimbali vinaonyesha kuwa tozo za abiria Viwanja Vya ndege Dola 45-90 zinakwenda mifukoni mwa watu mafisadi badala ya serikali, kampuni feki ya Samir ilikabidhiwa tenda hiyo Arusha siku ya wanawake duniani , mpaka leo hakuna senti iliyoingia serikalini...
Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni Muhimu kuajili watu ili kuongeza nguvu katika vitengo mbalimbali ikiwepo security.
Tuliitwa Vijana...
Anonymous
Thread
ajira
katika
mamlaka
ndege
taa
uonevu
viwanjaviwanjavyandege
wafanyakazi
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Kenya (KAA) inashughulikia tukio la moto uliotokea kwenye sehemu ya nyasi zinazozunguka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA).
Timu ya pamoja ya kukabiliana na hali hiyo, ikiwemo Kitengo cha Uokoaji na Zimamoto cha KAA, Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF)...
Kama unayajua piga kimya.
Kama huyajui haya hapa:-
Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani:
Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000 waajiriwa, wakiwemo marubani, wahandisi, wahudumu wa meli, wataalamu wa silaha na wahudumu wa matibabu...
Tanzania imeendelea kushiriki na kuandaa mikutano ya kimataifa kwa mara nyingine tena baada ya kupewa uenyeji wa mkutano wa kikanda wa mamlaka ya viwanja vya ndege utakaofanyika jiji la Arusha.
Hii ni shughuli kubwa nyingine Tanzania imekabidhiwa kuandaa mkutano wa kikanda wa mamlaka ya...
KAMATI YA BUNGE, PIC YARIDHISHWA NA UWEKEZAJI WA SERIKALI VIWANJA VYA NDEGE NCHINI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Ujenzi wa Viwanja vya Ndege nchini.
Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam 15...
Hivi umekwishawahi kujiuliza Tanzania tuna viwanja vingapi vya ndege? Kuna nchi hazina kiwanja cha ndege hata kimoja, tena nchi mbalimbali tu barani Ulaya. Sasa leo nakuletea nchi kumi zinazomiliki viwanja vingi vya ndege duniani.
10. Indonesia: Hii nchi inayopatikana huko Asia ina jumla ya...
Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika kwa mwaka 2024. Tuzo hii imetolewa na Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airport...
Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imetunukiwa tuzo na Taasisi ya Kimataifa ya Tathimini za Huduma na Ubora wa huduma za usafiri wa anga (ACI) kwa kuwa moja kati ya nchi zenye viwanja vya ndege vyenye ubora wa usalama duniani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa...
Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III.
Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
Anonymous
Thread
kero
kubwa
maegesho
mamlaka
ndege
parking
taa
viwanjaviwanjavyandege
Mheshimiwa rais,
Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT.
Lakini bado huduma katika maeneo yote hayo sio nzuri. SGR tumeanza jana tu lakini dadili sio nzuri,. Sustainability. Hakuna...
🚨Update: Russia has destroyed every Ukrainian airfield and air base capable of hosting NATO jet fighters. NATO said they will operate their ‘Ukrainian’ deployed fighter jets out of Poland and Romania. None will be stationed or flying off of a Ukrainian base!!
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja vyetu ni vitupu.
Kama KIA ni mara nyingi tu uwanja hauna hata ndege moja. Dar nako ndege ni chache...
Serikali imeanza Uchunguzi Maalumu wa kubaini mapungufu mbalimbali katika Viwanja vyote vya Ndege nchini ili kubaini changamoto hizo na kuweza kuzifanyia kazi ikiwemo Mapungufu ya Kimfumo, Utendaji na Upungufu wa Miundombinu ili kuweza kuboresha sehemu husika.
Lengo ikiwa kurahisisha uingiaji...
VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA.
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea.
Waziri Bashungwa...
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGA KWA MUDA KWA AERODROMES
Hii ni kuwafahamisha waendeshaji wa ndege katika Hifadhi za Taifa na Umma kwa ujumla kuwa kutokana na sababu za kiutendaji, viwanja vya ndege vifuatavyo vimefungwa kwa muda hadi tarehe 20 Mei 2024 (Serengeti Kusini), 1 Julai 2024 (Lobo) na 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.