viwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
  2. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Viwango vya Sauti vinavyokubalika na "NEMC"

    Katazo hili sio kwenye maeneo ya mabaa pekee yake bali na maeneo mengine ya Makazi, Viwanda, kwa taarifa zaidi soma 👇:- 1. Hospitali, Shule, Vyuo, Maktaba na Nyumba za Wazee Decibel (dBA 35) 2. Jengo la Makazi ni Decibel (dBA 35) 3. Viwanda Vidogo ni Decibel (dBA 50) 4. Eneo la Viwanda ni...
  5. JamiiForums Tanzania Shirika Ka Viwango Tanzania TBs Limewataka Wananchi kuachana Na Powder ya Johnson

    Shirika la Viwango Nchini (TBS) limewaelekeza wananchi kutoendelea kutumia bidhaa za Johnson’s Baby Powder zenye kiambato cha TALC toleo namba 22318 RB kutoka Kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani inayodaiwa kuwa na madini yanayosababisha saratani. Katika taarifa yao iliyotolewa na...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca 4. 🇹🇳 Espérance 5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 6. 🇪🇬 Zamalek 7. 🇲🇦 RS Berkane 8. 🇩🇿 CR Belouizdad 9. 🇹🇿...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwenye viwango vya Siasa na Demokrasia tumeshuka!

    Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema: "Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana viwango vya kimataifa, ni zawadi maalum kwa Watanzania

    Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo & Uvuvi wekeni viwango samaki wa maji baridi hasa Sato

    Inaelekea kuna rushwa nyingi au kutokufahamu wa Serikali kwenye hii Wizara ya Uvuvi. Lakini kuwa wanaofaidika sana na elimu ndogo kwa raia wa Tanzania Watanzania wakiona samaki wa sato wananunua kwa kujiaminisha wanatoka ziwa Victoria. Tatizo kubwa ni kwamba huu sio ukweli. Samaki wengi wa sato...
  11. JamiiForums Tanzania Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Thermal expansion noise ya nyumba imepitiliza viwango nini nifanye?

    Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi au material ya bati lenyewe au ndo jua ni kali? Nini naweza kufanya?
  13. JamiiForums Tanzania UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

    Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu. Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji. Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

    Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi. Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi viwango vya Ufaulu Kidato cha Pili vinavyozidi kushuka

    Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0) Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti UNDP: Tanzania imepanda viwango Maendeleo ya Binadamu

    Tanzania imepanda katika viwango vya kimataifa vya maendeleo ya binadamu, imeeleza ripoti mpya ya Maendeleo ya Watu 2021/2022. Imepanda kutoka nafasi ya 163 (alama 0.529) mwaka 2020 hadi 160 (alama 0.549) mwaka jana kati ya mataifa 191 huku ikiwa juu ya majirani zake sita wa ukanda wa Afrika...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…