viwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni ๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—›๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜€ ๐—Ÿ๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ (๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—–๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ๐˜€) โ€” kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
  2. Kwetu ujenzi tunaufanya kwa viwango vya hali ya juu

  3. Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?

    Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu? Jibu sahihi ni ๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐˜‚๐—ฝ ๐—›๐—ผ๐—น๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜€ ๐—Ÿ๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ (๐—”๐—บ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—–๐—น๐—ฒ๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—ฆ๐—ฒ๐—ฟ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ๐˜€) โ€” kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
  4. Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  5. ITV mmeshuka viwango, mna waandishi makanjanja- Mkutano wa wahandisi umewaumbua!

    Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV. Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA. ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa makanjanja. Dunia ya leo waandishi wa ITV hawajui tofauti kati ya Engineer( mhandisi) na...
  6. DOKEZO Hili daraja lilojengwa huko Ngara wengi wasema halijajengwa kwa viwango vinavyotakiwa

    Daraja la Ngara. Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo unofadhiliwa na Benki ya Dunia. Nimejaribu kuangalia kasoro kadhaa ambazo zajionyesha wazi katika daraja hilo...
  7. Unafundishaje watu kuwafanya wenzao watumwa halafu unawafundisha kuheshimu na kumuomba Mungu huyo huyo ambae amewaumba hao utakaowafanya watumwa?

    Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
  8. R

    Ripoti ya UN: Viwango vya njaa Duniani Vimepungua, Lakini Afrika yaendelea kuathirika zaidi

    Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2024 imeonyesha kuwa kiwango cha njaa duniani kimepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo, hasa kutokana na upatikanaji bora wa chakula nchini India na katika baadhi ya maeneo ya Amerika Kusini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iitwayo State of Food Security and...
  9. Viwango vya mishahara-TAWA

    Mwenye ulewa na hii taasisi ya TAWA(Tanzania Wildlife Management Authority))wanavyolipa, na posho zake zilivyo katika ngazi tofauti tofauti naomba atujuze. Natanguliza shukran.
  10. Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

    Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
  11. Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  12. Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  13. F

    Tanzania yatajwa nchi ya kwanza Kusini mwa Afrika na ya nne duniani kwa kuporomoka kwa viwango vya uhuru

    Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye masuala ya haki na uhuru wa kujieleza ikirudi nyuma kuoka point 35 mwaka 2014 hadi point-38 mwaka 2024. Katika muongo uliopita, uhuru umepungua kwa kasi katika nchi nyingi duniani. Viongozi wa kiimla wamepanua mamlaka yao kwa kubadili katiba...
  14. GOOD MORNING KUTOKA SITE ...SISI NI WATAALAMU WA UJENZI UKIHITAJI KUJENGEWA KWA VIWANGO VYA UHAKIKA CALL US 0624004650

    TUNAMALIZIA KAZI YA UJENZI WA MSINGI KATIKA MOJA YA SITE YETU KARIBU TUKUHUDUMIE OFISI ZETU ZINAPATIKANA SINZA DAR ES SALAM CALL/WHATSAP +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders
  15. Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  16. Karibu SHEBWA MASONRY CONTRACTION ujipatie mafundi ujenzi wenye viwango stahiki vya ujenzi

    ๐Ÿช–๐Ÿฆบ๐Ÿ”จโ›๏ธ๐Ÿช–๐Ÿฆบ SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  17. Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu...
  18. Ubunifu kwa wenzetu umeenda viwango vya juu zaidi

    Kwa wenzetu ubunifu ni kitu kinachopewa umuhimu mkubwa na wa kipeKee na ndio maana wameweza kufanya mengi na kufika mbali Kwa picha hizi hapa tunaweza kujifunza kitu kwenye sanaa na dhana nzima ya ubunifu
  19. Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  20. Part 2: Ubunifu utokanao na miti, magogo na mbaoโ€ฆ Kazi za viwango

    Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe... Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia๐Ÿ˜€
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ