viumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Ujio wa wazi viumbe kutoka sayari nyingine utaleta mapinduzi makubwa sana Duniani

    Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera. Tukio la aina hii kwa hakika litaupindua ulimwengu juu chini na kuleta mapinduzi na mabadiliko...
  2. Fbn

    Mlango wa Siri na Chumba Kilichofichwa: Ugunduzi wa Viumbe wa Ajabu katika Makumbusho ya Obscurum

    Mlango wa siri, chumba kilichofichwa… Mwaka 2017, wakati wa ukarabati, Makumbusho Ndogo ya Nykøbing Falster iligundua chumba cha siri ndani ya jengo hilo. Chumba hicho kilikuwa kimejaa masanduku ya zamani, maandishi na michoro, vikifunua urithi wa mmiliki wa awali wa nyumba hiyo, Cornelius S...
  3. Trainee

    Hivi Tanzania sheria ya viumbe hai ikoje?

    Tunaona mara kwa mara operations za kuwaua baadhi ya viumbe hasa wanyama kwa sababu fulani fulani. Sikatai uhai wa binadamu ni muhimu na unatangulizwa mbele (unapewa kipaumbele) dhidi ya uhai wa viumbe wengine Lakini nashangaa na ninaona kama muda mwingine hatua inayochukuliwa ni ya juu mno...
  4. H

    Kwanini viongozi wa dini wasione umuhimu sasa wa kuwahubiri viumbe wengine ili nao waende mbinguni?

    Kama Mungu aliumba viumbe vyote kwa thamani sawa inamaana watu na wanyama wengineo pia watatakiwa kuwepo mbinguni. Sasa kwanini wanadini wanakomaa na watu tu na wameacha viumbe wengine ambao kiuhalisia nao wanafanya dhambi ya ngono,kuua,nk? Au hoja kuu ni SADAKA YA HELA?
  5. H

    Kati ya Mungu na shetani nani hutoa uhai wa viumbe?

    Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu. Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
  6. Think2

    Hivi viumbe kwa kulalamika

    Wanawake kwa kulalamika ni hatari na nusu unaweza kujishitukia unaomba msamaha wewe wkt kakosea yeye asee ○ Ukimkosoa kidogo tu kesi zote za nyuma ulizowahi kfanya zinaanza upya tena, apo lzm uomb poo au kimbilie kijiweni adi usiku😁 ○ Mara umebadilika sana sio km zamani yaani basi tu ○Utasikia...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗩𝗶𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗮𝗶𝗻𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗹𝗶𝗲𝗻𝘀 𝘃𝗶𝗻𝗮𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗸𝘂𝗶𝘃𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝗵𝘂𝘂

    Inawezekana umeshtuka kidogo 👋, Naam wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025. Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe aina ya Aliens vinakuja kwenye huu ulimwengu wa Dunia mwaka huu 2025...
  8. Brain Kingdom

    Je, Utekaji, kupoteza na kuua viumbe wa Mungu ni dhambi ambayo inaweza kurithiwa na vizazi vya wanaotenda matendo hayo?

    Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu. Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA. Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
  9. M

    Hivi noah (Nuhu) na safina lake alijuaje jinsia ya viumbe vyote na kuambatana navyo kwenye safina?

    Wakuu hasa wabobevu kwenye dini na biblia hivi Noah (Nuhu) alijuaje jinsia ya viumbe vyote alivyoambatana navyo kwenye SAFINA? Mfano; Alijuaje jinsia ya sisimizi, sungusungu, kunguni, siafu na viumbe wengine hasa wadogo wadogo watambaai na warukao? Kwamba huyu ni sisimizi dume na huyu ni jike...
  10. Tajiri Tanzanite

    Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Hapo vip!!kwa uhalisia uliopo nikwamba viumbe kama majini,mapepo,mashetani,n.k wapo busy sana kufuatilia na kuharibu maisha ya mwanadamu kwa kushirikiana na wachawi na kwa tafsiri hii inaonyesha hivi viumbe vimekaaa kakaa tu huko pasipo na kazi ya kufanya kama mwanadamu,kwa ujumla ni viumbe vya...
  11. Marco Seth

    Kwa Nini Wanawake Ni Viumbe vya Ajabu? Na wanabadilika Ghafla?

    Kwa nini Wanawake wanabadilika badilika alf ni viumbe vya Ajabu? na kwa nn ni emotional creatures? Je ww ni vitu gani vya ajabu uliviona au kitu usichotarajia Na namna gan ya kuishi nao?
  12. Mshana Jr

    Rekodi mpya ya viumbe hai duniani

    Kufikia 2025, wanasayansi wameorodhesha takriban spishi milioni 2.3 Duniani, ikionyesha sehemu ndogo tu ya anuwai ya sayari yetu. Idadi kubwa zaidi—karibu milioni 1.5—ni wanyama, huku wadudu wakiwa sehemu kubwa ya hesabu hiyo. Mimea hufuata kwa takriban spishi 390,000 zilizorekodiwa...
  13. Fbn

    Kama tupo duniani kwenye sayari zaidi ya bilioni ndanu ya ulimwengu wa galaxy tuliyopo na zaidi ya galaxy bilioni 2.Basi kuna viumbe vipo huko

    Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari. Kama tutaweza kuwa na vyombo...
  14. kadiri kasimba

    Nini maana ya mstari huu: Wanamke ni viumbe dhaifu, tuishi nao kwa akili?

    Heshima kwenu wakuu! Naomba kujua kwanini, Kuna neno,, NI VIUMBE DHAIFU? na KUISHI NAO KWA AKILI? na je usipozingatia Haya Kwa mwanaume ni matokeo gani utayapata? Nawasilisha hoja kwenu wakuu!
  15. The Dictator

    Kwa nini binadamu tulinyimwa uwezo kama waliopewa viumbe hivi?

  16. Mshana Jr

    Pelicans: Adui wa viumbe vyote

    Hachagui habagui... Kiumbe chochote hai anachodhani ana kimudu lazima atajaribu kukimeza kwa kutumia domo lake kubwa linalotanuka kwa namna ya ajabu
  17. H

    Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe na kwa viumbe wengine?

    Kama kuna mwisho wa dunia na kwenda mbinguni kwanini iwe kwa watu tu isiwe kwa viumbe vyote vilivyoumbwa na Mwenyezi Mungu ikiwa ni samaki,miti,mbwa,nyoka,bata,kobe,nk?? Huu ujinga umepitwa na wakati ukifa ndiyo mwisho wa dunia kwa viumbe wote wa Mwenyezi Mungu tangu uumbaji wa ulimwengu huu...
  18. H

    Kama watu walitokana na Adam na Hawa, je viumbe wengine walitokana na nani?

    Hapa napo Waafrika wameshindwa kabisa kujiongeza kabisa ili kufahamu ukweli wa chanzo au asili ya MTU. HILI swali jibu lake huwa ni simple sana kama watu,kuku,miti,samaki,mbwa,simba,nk wapo na kila mmoja ana maajabu yake inamaana kuna nguvu iliyosababisha wawepo ambayo ni MUNGU. Tatizo watu...
  19. Teslarati

    Ulishawahi kuila akiwa siku zake?

    Kuna uzi nimesoma leo nikakumbuka kisa kimoja. Kwenye huo uzi mtoa mada anasema kwamba kutokana na biblia kufanya mapenzi na mwanamke alie kwenye siku zake ni dhambi Hio ikanikumbusha zamani, niliwahi kudate na mdada mmoja tokea Tabora ila alikulia dar, maeneo ya uswahilini mbagala huko. Huyu...
  20. P h a r a o h

    Hii inaonyesha jinsi binadamu tulivyo wachache duniani ukilinganisha na viumbe wengine,je kwanini binadamu tunajiona special zaidi ?

    Jua letu linachukua miaka milioni 250 ( 200 light years )kuzunguka Njia ya Milky Way. Kwa ujumla, Njia ya Milky Way ina upana wa takribani miaka ya mwanga 100,000 na upana wa miaka ya mwanga 1,000. Mfumo wetu wa jua upo takribani miaka ya mwanga 26,000 kutoka katikati ya galaksi hii. Kama hilo...
Back
Top Bottom