vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  2. JamiiForums Tanzania Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto

    Vigezo Vyakwamisha Usajili Baadhi ya Vituo vya Malezi ya Watoto
  3. JamiiForums Tanzania China yasaidia Tanzania kujenga vituo vya Usafirishaji

    Kituo cha Biashara na Usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichowekezwa na China kimezinduliwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Kabla ya hapo, Kituo cha Kimataifa cha Usafirishaji cha Kwala na Bustani ya Viwanda ya China na Tanzania katika Mkoa wa Pwani nchini Tanzania viliweka jiwe...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Plastic wrapping katika vituo vya SGR

    Kwa: Mkurugenzi Mkuu Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) S.L.P 63154 Dar es Salaam, Tanzania Yah: Ombi la Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuwasilisha taarifa na lalamiko kuhusu mwenendo unaoendelea...
  5. N

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria hulazimishwa kufunga mizigo yao kwa plastiki (plastic wrap)

    Kwa: Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli Tanzania (TRC) S.L.P 76959 Dar es Salaam, Tanzania Yah: Lalamiko Kuhusu Kulazimishwa kwa Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuwasilisha lalamiko kuhusu utaratibu unaoendelea katika vituo vya SGR ambapo abiria...
  6. JamiiForums Tanzania Timu ya IAEA itazuru Iran lakini haitafika katika vituo vya nyuklia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Kazem Gharibabadi, amesema kuwa, ujumbe wa masuala ya kiufundi kutoka Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni watazuru Tehran, lakini hawataruhusiwa kutembelea vituo vya nyuklia vya Iran. Bw. Gharibabadi, ambaye yuko New York, alisema kuwa Iran...
  7. JamiiForums Tanzania Vituo vya ITV, EATV, STARTV, CAPITAL TV, CLOUDS TV, ETV – Tafadhali Sikilizeni!

    Vipindi vyenu vipo kizamani sana! Havina mvuto kwa kizazi cha sasa – yaani Gen Z. Maudhui hayajawianishwa na ladha ya kidijitali/Kisasa, kasi ya dunia ya leo, wala ubunifu unaohitajika kuvutia vijana wa sasa. 📉 Tunashuhudia vipindi visivyoendana na mitindo ya sasa – havina mvuto wa picha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dalilinya ufisadi katika ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya: vituo vya mabasi ni vikubwa/virefu mno na viko karibukaribu

    Nimeshangazwa na ujenzi wa barabara za mwendokasi mpya zinazoendelea DSM. Unakuta vituo vya mabasi ni virefu mno, na viko karibukaribu sana. Hii inashangaza kwa sababu katika nchi ambazo zina magari marefu ya abitia hukuti mavituo makubwa na marefu namna hii. Halafu cha ajabu mavituo hayo yapo...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yasitisha marufuku ya kurusha maandamano mubashara, yaagiza matangazo ya Vituo TV na Redio kurejeshwa hewani

    "Mahakama yasitisha agizo la Mamlaka ya Mawasiliano lililopiga marufuku vituo vyote vya runinga na redio kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano, na kwamba kituo chochote kilichozimwa kutokana na agizo hilo kirejeshwe hewani mara moja." Soma Pia: Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Serikali imejenga Wodi 165 kwa ajili ya Watoto Njiti, matarajio ni Vituo 280 ifikapo Desemba 2025

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga jumla ya wodi 165 za kuhudumia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) katika hospitali mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa taarifa hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yapiga makao makuu ya kijeshi Iran pamoja vituo vya kuzalisha mafuta

    Israel pia imesema Ayatollah atapigwa muda usio mrefu.... The IDF confirmed early Sunday morning striking the Iranian Defense Ministry headquarters as well as the “headquarters of the SPND nuclear project, and additional targets.” Israeli jets also struck fuel depots in the country, the...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  13. JamiiForums Tanzania Mavazi ya mabinti wa vituo vya kuuzia mafuta yanawadhalilisha na kutia kinyaa!!

    Habari za muda huu waungwana...... Huko kwenye vituo vyenye biashara ya kuuza mafuta ya kuendeshea vyombo vya moto maarufu kama "SHELI" kama ilivyozoeleka na wengi....kuna mavazi ambayo kwa jicho la kiungwana hayaja kaa Sawa...... Sasa sijui ndio muongozo na matakwa ya kazi yao au ni utashi...
  14. JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

    Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
  15. U

    JamiiForums Tanzania Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, haiwezi kuharibiwa na kombora hata moja

    Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Eng Chiwelesa tunaweka vituo vya kuchotea maji Biharamulo, maji ni maendeleo

    Chini ya uwakilishi wa mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa mamlaka ya maji biharamulo imefanikiwa kuanzisha vituo vya utekaji maji katika vijiji vitano . Zoezi hili litafanyika huku wilaya ya biharamulo ikiwa inasubiri mradi mkubwa wa maji wa ziwa victoria Wananchi ambao ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini vituo vya mafuta vingi wanaezeka bati kwa style ya flat roof?

    Vituo vingi vya mafuta hutumia bati la paa bapa (flat roof) kwa sababu kadhaa za kiufundi na kiusalama: ✅ Usalama wa Moto – Paa bapa husaidia kudhibiti moto kwa urahisi ikiwa kuna dharura. Moto husambaa polepole kwenye paa bapa kuliko paa lenye mteremko⁽¹⁾. ✅ Udhibiti wa Joto – Flat roofs...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mashimba Ndaki akabidhi Magari ya wagonjwa Malampaka na Mwabayanda jimboni mwake

    Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,mbunge Ndaki amewataka wananchi na waganga wafawidhi wa vituo hivyo kuyatunza magari hayo na kuyawekea...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo

    Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo. Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ? Kama mnataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…