viti maalumu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

    Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti. Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe. Nitoe mifano michache ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Uwepo wa Viti Maalum bungeni ni kinyume cha Katiba ila upendeleo tu

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi amesema uwepo wa viti maalumu katika bunge au baraza la madiwani ni kinyume na katiba na limeachwa liendelee kuwepo kama jambo la upendeleo tu. Chanzo: TBC!
  4. maramia

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuwatengea wanawake "Viti maalum" 110 vya ubunge?

    Siku zote sikuwahi kujua wala kufikiri kwamba idadi ya viti maalum vya wanawake bungeni inaweza kufikia hii, yaani viti 110, kwa ujinga wangu nilidhani ni chini ya viti 50. Lakini viti maalum 110, yaani karibu nusu ya wabunge wa kuchaguliwa ambayo namo bado kuna wanawake, kuingia akina mama...
Back
Top Bottom