viti maalumu

  1. dr namugari

    Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani kwenye Jimbo

    Wakuu kwema ! Heri ya mwaka mpya Moja kwa moja kwenye hoja Nataka kuambiwa haraka sana Mbunge wa viti maalumu ana majukumu gani ktk Jimbo ? Nauliza hvyo kwa sabqbu nimemuona Mbunge wa viti maalumu kwa jina la Sigrada Mligo akimfokeaa sijui mkurugenzi na waatalamu kwa kuwambia kuwa kbla ya week...
  2. Yoda

    Pesa ya dawa za HIV itoke kwenye ubunge wa viti maalumu badala ya kuwabebesha raia wa kawaida tu mzigo

    Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia mambo ya bunge tangu mwaka 2021 Hata hivyo pamoja na kutawaliwa na watu waliojipachika wenyewe...
  3. Mafyangula

    PostGE2025 Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani

    Sakata la wabunge wa viti maalumu, ACT Wazalendo yatinga mahakamani.
  4. M

    Ubunge wa Viti Maalum hauna faida kwa Taifa

    Nimeona mwaka huu wanawake wale wasiojiheshimu na waliopoteza heshima kwenye jamii wanatangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum. Kuitwa mbunge kunaenda sambamba na kuitwa mheshimiwa, jina/cheo kinachoonekana kuwa na hadhi ya juu nchini Tanzania. Kilichonishangaza ni kuwa watu...
  5. The Father of All

    GE2025 Kama Jessica Magufuli anakubalika hivi, kwanini hakugombea jimbo na kuachana na ubunge wa viti maalum?

    Nimesoma kichwa cha habari kwenye gazeti la Mwananchi japo linamilkiwa na wageni kiasi cha kukosa maana yake kuwa Jesca Magufuli alivyogeuka turufu kwa CCM Kanda ya Ziwa. Kama siyo uchawa na kutaka kuuhadaa umma, kama anakubalika kiasi. hiki, kwanini ameishia kwenye ubunge maalumu wakati ana...
  6. H

    Sasa wasiosoma nao wapewe ubunge wa viti maalumu kama walemavu,wanawake,nk

    Hii itasaidia kupima uwezo wa akili na hekima kati ya wabunge wasomi na wabunge wasiosoma. Zingatia elimu siyo hekima ya uongozi
  7. Just Pray

    GE2025 Binti Ng'wasi Kimani, Aliyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombea Urais CCM, apitishwa na Wajumbe ubunge viti maalumu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa 2025 wamemchagua Ng'wasi Kamani kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 02, 2025, Kamani ameibuka mshindi kwa kushika...
  8. L

    Jesca Magufuli Atakata Kwa kushika nafasi ya Pili Nyuma ya Ng'wasi ,huku Halima Bulembo Aking'ara nafasi ya tatu Ubunge Viti Maalumu vijana Bara.

    Ndugu zangu Watanzania, Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
  9. W

    GE2025 Suma Fyonda na Maryprisca Mahundi wachomoza kura za maoni nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya

    Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla. Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
  10. kyagata

    Balozi Mulamula nae kumbe kaliwa kichwa viti maalumu?

    Huyu mama rafiki wa jk nae ana bifu gani na Hangaya mpaka hadi viti maalumu kaliwa kichwa?
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Uteuzi wa awali wa wagombea nafasi za ubunge kupitia viti maalumu wanawake

    1) MKOA WA ARUSHA 1) Ndugu Lilian Joseph BADI 2) Ndugu Zaytun Seif SWAI 3) Ndugu Athuman ISSA 4) Martha Gido KIVUNGE 5) Dkt. Asanterabi Ngoyai LOWASSA 6) Ndugu Navoi MOLLEL 7) Ndugu Martha Martin AMO 8) Ndugu Catheline Valentine MAGIGE 2) MKOA WA DAR ES SALAAM 1) Ndugu Janeth Elias MAHAWANGA 2)...
  12. R

    GE2025 Mjumbe Baraza Kuu Umoja wa Vijana UVCCM, Shamira Mshangama amechukua fomu kuwania ubunge viti maalumu Tanga

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shamira Mshangama amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga. Shamira amechukua na kujeresha fomu hiyo Julai 2, 2025 kwa Katibu wa UVCCM Mkoa wa Tanga, Ibrahim Kandumila katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga...
  13. R

    PreGE2025 Mbunge wa Viti Maalumu anayemaliza muda wake Esther Maleko amechukua fomu ya Ubunge Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalumu anayemaliza Muda wake Esther Maleko amechukua Fomu ya Ubunge Viti Maalumu kwa Mara ya Pili kwa Mkoa wa Kilimanjaro
  14. Just Pray

    GE2025 Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora

    Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha. Ndugu zangu fomu...
  15. F

    PreGE2025 Jesca Magufuli anajipanga kugombea ubunge viti maalumu Geita au jimbo la Chato?

    Huyu binti nadhani amehojiwa kimkakati na Milard Ayo. Lengo nadhani ni kuvuma kuelekea uchaguzi Mkuu na hatimaye kutia nia kwenye ubunge. Je ni viti maalumu mkoa wa Geita au mkoa mwingine? Je ni jimboni Chato?
  16. Just Pray

    Mbunge viti maalumu: Tangu 2020 Mpaka leo Tabora hospitali ya mkoa tunaambiwa hospitali inajengwa kwa awamu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga, ameonyesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Tabora, ulioanza mwaka 2020 lakini hadi sasa haujakamilika. Akizungumza bungeni katika kipindi cha maswali na majibu, Mwaifunga amesema kuwa kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Viti maalumu Kilimanjaro agawa mashuka 50 hospitali ya Hai

    Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro Esther Maleko amesema serikali ya awamu ya sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya Bilion nne (4) katika Halmashauri ya Wilaya na ameunga mkono jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kutembelea Hospitali ya Wilaya Hai na Kugawa Shuka zaidi...
  18. W

    PreGE2025 Dodoma: Mbunge viti maalumu adai Bwana mdogo Lissu ameishiwa sera

    Wakuu mbunge wa viti maalum eti naye anamwambia Lissu kwamba ameishiwa sera, mtu ambaye yupo bungeni ni kama kwa hisani tu. Kwanza ule utaratibu wa kuwawekea ukomo hawa viti maalum ungeanza kutekelezwa mwaka huu. Wanajisahau sana, kazi kusifia tu === Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mhe...
  19. vnn

    Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

  20. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake acheni kubwetekea kubebwa. Viti Maalumu ni kubebwa

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, jijini Arusha, mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia. Hili ni bandiko la swali, kwa...
Back
Top Bottom