vitendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

    Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
  2. JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

    Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
  3. JamiiForums Tanzania Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
  4. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Serikali imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo

    KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo kwa kuweka vipaumbele...
  5. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vitendo vya ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo; Je, tunawajibika ipasavyo kupambana na vitendo hivi?

    Kumekua na matukio mengi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wetu wa kike na wa kiume. Kwa ujumla yapo matukio mengi ya kikatili kwa watoto lakini katika makala hii nitazungumzia zaidi ubakaji na ulawiti kwa watoto wa kike na wa kiume. Katika hali ya kusikitisha sana matukio haya yamezidi...
  6. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

    Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli. Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake. Kuna minong'ono...
  7. JamiiForums Tanzania Samia Urais si maneno ni vitendo, Kwanini unaruhusu tozo hizi kuendelea kutozwa?

    Tangu utangaze kuwa umesikia "kelele" zetu kuhusu tozo za simu na siyo hoja na kwamba serikali yako ya CCM itazishughulikia, bado zimeendelea kuwepo na kutuumiza. Busara za kibinadamu zinataka baada ya kuzisikia na kuahidi kuzishughulikia tozo hizi zingesimamishwa mara moja hadi maamuzi mapya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaeneza kwa vitendo “fikra za vita baridi” barani Afrika?

    Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu mhenga mwenzangu alipewa interview kazi ya IT, alionyesha umahiri wake kwa vitendo.

  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

    Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya Namna ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ifike mahali watu tuzidai haki zetu kwa vitendo

    Haki ya Watanzania kuweza kukutana na kufanya mambo yao kwa amani ni haki ya msingi kabisa na ni haki iliyopo kikatiba. Mtu mmoja au kundi la watu wachache kwa nini tuwaachie waikiuke hiyo haki na sisi tunaishia tu kulalamika halafu muda si mrefu tunasahau!! Katiba ya sasa inakiukwa waziwazi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uungwana ni vitendo: Je, CHADEMA watarudisha Tsh. 38 milioni zilizotolewa na hayati Magufuli kumtoa Msigwa jela?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa. Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

    Kama kichwa kinavyo jieleza Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo. Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha. Ahsanteni
  14. JamiiForums Tanzania Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

    This is Simba. Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu. Serikali ikemee vikali tabia hizi
  15. JamiiForums Tanzania Vitendo vya baadhi ya matrafiki vinatia doa Jeshi la Polisi

    Habari wadau. Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri pamoja na wote wanaotumia barabara au wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara. Baadhi ya askari...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatazame vijana hawa katika ajira

    Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

    Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda. Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute...
  18. JamiiForums Tanzania Matukio ya Wanawake kuuawa na wenza wao pamoja na vitendo vya kujichukulia sheria mkononi yanazidi kuongezeka

    Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019. Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…