vitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Vitu vitatu vitakavyoiua Simba SC kwenye dabi ya kariako 1/03/2036

    Naaam hayawi hayawi Sasa yamekua !! Asiyekia na mwana basi aeleke jiwe " hayo Si maneno yangu NALIA NGWENA aka Under cover Bali ni maneno ya Wahenga, na sipo hapa kutabili kama shekhe yahya Bali nazungumza kama mwanasayansi Wa Mpira ukipenda niite Isack Newton kwenye ulimwengu Wa Mpira...
  2. Magical power

    Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu.

    Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize...
  3. Voldemort

    Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  4. The dumb Professor

    Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  5. Isenye

    Nimekunywa dawa za minyoo aina ya Albendazole. Naweza kunywa vibia viwili au vitatu baadae jioni?

    Habari zenu waungwana? Naomba kuwauliza wataalamu wa humu. Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole. Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu fulani hivi kutoka huko mkoani, ninavyoijua hiyo kampani ya hao jamaa zangu kupiga vyupa hakuepukiki...
  6. Mshana Jr

    Kizungumkuti barabarani! Ving'ora vitatu

    Tukio kama hili ni nadra sana kutokea Wapo Watu wa watatu kila mmoja kwa umuhimu wake anataka kutumia barabara.. Sasa nani ampishe nani Kuna king'ora cha mwanasiasa, anawahi anakojua Kuna king'ora cha zimamoto Kuna king'ora cha ambulance Mwananchi hakuwahi kupata matokeo ya alichokuwa...
  7. W

    Ni vitu gani vitatu 3 unavijali zaidi ya pesa?

    Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima. We vitu gani vina umuhimu kwako?
  8. Yoda

    Ni upekee gani wa WaIsrael ulifanya washushiwe vitabu vitatu kati vinne vya Mwenyezi Mungu?

    Wakristo wao wanaamini Israel ni taifa teule lilichogaliwa na Mungu ndio maana mambo yote ya dini ya Ukristo na ukombozi yamepitia Israel, hawana kipengele katika hili, mjadala uliopo unaowaganya ni kama Israel ya sasa au ya kale ndio taifa teule. Kwa upande wa Waislamu wao wana story ya...
  9. radhiya

    Tunatafuta Nyumba ya vyumba vitatu vya kupanga

    Tupigie kama una nyumba yenye vigezo hivyo 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  10. Wachatech

    Ramani kali ya vyumba vitatu

    Ramani ya vyumba vitatu Sebule jiko dining store Choo Kwa maelezo zaidi +255678418272 WhatsApp
  11. Msela Wa Kitaa

    Wachezaji Wanaofaa Kuitwa Legends Kwa Vilabu Vitatu Au Zaidi

    "Ni wazo tu lilinijia ghafla. Je, kuna wachezaji wowote waliowahi kuwa legends wa kweli kwenye vilabu vitatu au zaidi? Sizungumzii wale waliochezea timu kubwa tu au kushinda vikombe viwili vitatu, nazungumzia wale walioweka alama halisi, wakakumbukwa na mashabiki, waliotengeneza historia."...
  12. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  13. Titicomb

    Simba wanakaribia kupiga treble ya kukosa vikombe vitatu 2025

    Mpira hauchwezwi kwenye mdomo. Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu". Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto? Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa...
  14. Dalali wa kimataifa

    Apartment mpya inauzwa Kariakoo, Bei ni TSh. 280 milioni

    Apartment mpya inauzwa Kariakoo Vyumba vitatu ya kulala Kimoja master Ina Furniture Ipo ghorofa ya Nane Jengo lina Lifti Jengo ni jipya Bei TSh. 280m Call/WhatsApp +255758 844 717
  15. dalalitz

    House4Sale Nyumba yenye vyumba vitatu (3) tshs.165 milioni, Kinyerezi/kibaga

    .....
  16. dalalitz

    NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.27 MILIONI, KINYEREZI-LIMBANGA.

    ....
  17. dalalitz

    Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  18. dalalitz

    Pagale la vyumba vitatu linauzwa tshs.10 milioni, Kibaha msufini

    ..
  19. A

    Gharama msingi vyumba vitatu

    Wakuu Naomba kuuliza msingi wa vyumba vitatu kimoja self, jiko sebule na public toilet kwa Dar unaweza kutumia cement mifuko mingapi?
  20. Forrest Gump

    Tujitayarishe Wakristo, Jitu la Vichwa vitatu linakuja!

    2 Esdras 12:22-32, three heads that are asleep represent three kings who will rule the world in the last days of the empire. These kings will restore much of the empire, but rule with more harshness than any before them.
Back
Top Bottom