vitambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Raia Fulani

    Wanawake kateni vitambi

    Ukweli ndiyo huo. Wanawake, hasa nyie wadada wa makamo (26-45) pendeni sana kuwa na matumbo mazuri. Vitambi waachieni wanaume. Bila viriba tumbo mnapendeza. Fanyieni kazi tafadhali.
  2. Lycaon pictus

    Wengi wenye vitambi walipata utapiamlo utotoni

    Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
  3. E

    Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  4. Erythrocyte

    Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  5. Lee Swagger

    Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

    Habari za Muda Ndungu Zangu, Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda. Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
  6. Idugunde

    Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  7. Flano

    Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

    Zamani wanawake wenye vitambi nlikua sina hata mzuka nao, nikishakuona mbele umevimbavimba tu unakua tayari umeshanikata stimu, sijisumbui hata kuomba namba ila sasa hivi upepo umenigeukia. Yaani akipita mtu mwenye kitumbo chake nasikia mwili wote unasisimka, nilikuja kugundua nakosa mambo...
  8. KENZY

    Kwanini wengine wawe na vitambi au wanene nawakati tunakulanao aina moja ya chakula?

    Hii hoja naileta kwenu kwa wataalum wa afya ili mpate kutuletea majibu stahiki,kwani asilimia kubwa ya watu tunaokaanao tunafanana lifestyle ya chakula, lakini utakuta mtu anahangaika na kupunguza unene ama kitambi na wakati huohuo kuna mtu anakaanae na kwa asilimia kubwa wanashare kinachutua...
  9. C

    Uzi wa kupeana mbinu za kuondoa vitambi na kutengeneza mwili - Karibuni tupeane maarifa

    Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
  10. kavulata

    Vitambi kwa viongozi wa mpira sio uanamichezo.

    Itatia shaka na kichefuchefu kumuona kiongozi wa mpira ana tumbo kubwa linaloning'ia. Kiongozi wa hivi anakatisha tamaa na kuwatia uvivu wachezaji. Kiongozi wa hivi anatia mashaka juu ya umakini wake kwenye tasinia ya michezo. Kifupi hafai kuwa kiongozi wa timu wala chama cha michezo, maana...
  11. N

    Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

    Wataalam Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
  12. I

    Askari wa Tanzania wanalea vitambi

    Mafuta ya ziada yanayozunguka maeneo ya kiunoni mpaka tumboni ni hatari kwa afya, haya mafuta husambaa mpaka kwenye kuta za moyo na kuleta madhara kwenye mishipa inayosafirisha damu kwenye moyo. Kimaadili askari hupewa masaa nane kwa wiki kwaajili ya mazoezi ya viungo. Hata ukitembea tu kwa...
  13. Morg

    Asanteni kwa kutupokea wanawake, vitambi sio kwa wanaume pekee...

    Kwa sasa vitambi sio kwa wanaume pekee bali hata hawa jinsia ya upande wa pili nao wametupokea tena kwa kasi nguvu na shauku na wanakuja kwa kasi sana nowdays. Kulikuwepo na fedheha nyingi toka kwa wanaume wenye vitambi walidhihakiwa kwa maneno ya kejeli iliwasononesha sana Zama za nyuma. Ili...
  14. holygrail

    Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

    Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje, wanakeraaaa. Unakuta dada mzuri ajabu, shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh, kuja mbele sasa, chevuuuu, tumbo hilo! Uzuri wote chalii! Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho, mnakula sana kuliko hata midume, machips mayai, manyama choma, mabia...
Back
Top Bottom