Siku hizi nimeanza kuvutiwa na wadada wenye vitambi

Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
4,870
13,043
Zamani wanawake wenye vitambi nlikua sina hata mzuka nao, nikishakuona mbele umevimbavimba tu unakua tayari umeshanikata stimu, sijisumbui hata kuomba namba ila sasa hivi upepo umenigeukia.

Yaani akipita mtu mwenye kitumbo chake nasikia mwili wote unasisimka, nilikuja kugundua nakosa mambo mazuri baada kuona usumbufu wa jirani yangu umezidi ikabidi nipange appointment, daaahh banaaa kitambi kumbe kinaleta mzuka kinoma,

Ukitumia style ya kifo cha mende kila unavyochochea moto na kitambi kinaonyesha ushirikiano kwa kuongeza vibration, yaani ule mtikisiko wake nmekuja kugundua kumbe unaongeza mpaka nguvu za kiume.

Kitambi kinachozungumziwa hapa ni kile cha wastani tu jamani.

Uzi tayari

Haya wadada wenye vitambi tembeeni vifua mbele leo mmekumbukwa.


Screenshot_20220116-220112.jpg
 
Naomba nijifunze kutoka kwako Mkuu maana hyo kitambi sikipend hatari ....
Nahisi mimi nilikua nakichukia zaidi yako, kumbe bana utamu wa ngoma hauwezi kuujua mpaka uingie ndani ucheze.
 
Back
Top Bottom