vitabu

  1. S

    Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
  2. QasraNet

    Kwanini kwenye vitabu vyetu haziwekwi picha sahihi za mashujaa wa majimaji?

    Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
  3. jangos

    Msaada wa vitabu

    mwenye softcopy za hivi vitabu naomba anisaidie. -To kill a mockingbird -Mindset -Outliers -Gravity's rainbow -The lord of the rings -Wings of fire -How to win friends & influence people -The monk who sold his ferrari -The power of habit -The obstacle in the way -The turtle theory -The alchemist
  4. M

    Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  5. PamojaTz

    Tunauza softcopies ya vitabu vyote, LOGO designing & CV writing service

    WhatsApp 0737317870. https://chat.whatsapp.com/GoewXtIHRet9gtluCpfSaj
  6. The Father of All

    Tuache kuuziwa ujinga na vitabu vya dini za kimapokeo

    Ukisikia wajinga wasiofikiri wala kutaka kuelimika wakijisifu unaona aibu. Mfano, utasikia mtu mzima akisema kitabu fulani cha dini fulani kimejaa sayansi. Ukichunguza kwa malkini, unakuta ni utopolo na uzwazwa mtupu. Mfano, vitabu vinasema eti kila nafsi itaonja mauti. Du! Hii nayo ni sayansi...
  7. AARONI ULAYA

    Natafuta mwandishi wa vitabu

    Ndugu zangu sina maneno mengi kama wewe ni Mwandishi wa Vitabu nitafute kwa namba 0625568600 au kama unamjua mwandishi niunganishe naye tafadhari apate kazi nzuri
  8. NostradamusEstrademe

    Uchaguzi tata ambao ulivunja rekodi ya dunia ya GUINESS ambayo haijawahi vunjwa hadi sasa

    Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake bwana Thomas J.R.Faulkner wa chama cha watu yaani People's Party.Kabla ya hapo Faulkener alikuwa ni...
  9. ELI COHEN

    Ni uhakika kuwa Waafrika tumeshindwa kusoma vitabu, lakini kuna fursa tunayo mikononi mwetu, 2026 simu yako iwe na networks hizi ili tujihimalishe

    Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi. Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
  10. Fbn

    Waziri Joel Nanauka vitabu vyako na kuongea kwako sasa hivi ungemzidi Modewiji kwa utajiri ila sivyo ndivyo

    Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia. Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi. Sasa huyu bwana Joel ni maneno mengi unaweza kusema jamaa anaweza maisha yake binafsi kumbe sio bora hata...
  11. M

    Je, ni sahihi vijana kutumia simu na kompyuta kujisomea kuliko kutumia vitabu?

    Vijana wa siku hizi hawasomi vitabu kabisa. Unakuta kijana iwe chuoni au sekondari anatumia simu kutafuta material na anaona sawa. Vijana wengi wananiambia wanajisomea nyumbani kwa kutumia simu. Wanagugo ili kupata material wanayotaka. Je, simu na kompyuta zinadumaza akili?
  12. MK254

    Taliban wapiga marufuku vitabu vyote vilivyoandikwa na wanawake

    Kulingana na sheria za dini ya muarabu, mwanamke hapaswi kusikika popote na kwa lolote, yaani akae ndani tu na akitoka ajighubike yale manguo ya muarabu meusi na aandamane na mwanaume, kidogo waarabu wenyewe wameanza kulegeza hizi sheria za kufanya wanawake wawe mazombi, ila hawa jamaa ambao...
  13. M

    Kuwa uyaone,sikuamini kama siku moja nitakuja ishi kwenye huu ukatili niliousoma kwenye vitabu

    Nakumbuka nikiwa mdogo, nilikuwa nikiangali vitabu vya Vita vya Kagera nilikuwa namlaani sana Iddy Amini,nilijiapiza kwa Mungu alaniwe huyu mtu ingawa umri wangu ulikuwa mdogo sana,nilipokuwa nakuwa niliona inchi kama Zaire ya mabutu walivyomtendea Patriki Lumbumba Leo nashuhudia inchi yangu...
  14. baz kaiza

    Hatama ya Uongozi wa Tanzania na Mwalimu JK Nyerere? Tusjisahihishe hivi Vitabu Vometabili Mengi Sana

    Pitie hivi Vitabu
  15. K

    Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  16. N

    Wakuu naombeni link au nitagini na ule uzi wa vitabu vya hadithi

    Wakuu nisaidieni link ya uzi wa vitabu mbalimbali vya hadithi.au mkinitag nitashukuru pia.
  17. S

    Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  18. TheGreatest Of AllTime

    Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
  19. Official Broker

    Vitabu na simulizi

    VITABU NA SIMULIZI Vitabu ni hazina
  20. Tech Max

    Soma vitabu hivi utafanikiwa kwenye biashara yako

    .
Back
Top Bottom