vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Liz Truss: Ushindi kwa Ukraine unawezekana, lazima ashinde na atashinda, tupo pamoja naye kwa kipindi chochote vita itakachochukua

    Waziri mkuu wa uingereza amesema haijalishi vita itachukua muda gani lakini uingereza itasimama na Ukrene bega kwa bega kwa hali na mali huku misaada ya kijeshi itaendelea kupelekwa kyiv bila kujali urusi anatoa vitisho gani,Waziri mkuu huyo amemalizia kwa kusema ukrene lazima ashinde vita kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  3. JamiiForums Tanzania Biden awache kumtusi Putin. Hatutaki vita ya tatu ya dunia

    Baada ya raisi Putin wa Urusi kutangaza rasmi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine hapo jana,rais Joe Biden amesema Marekani haitishwi na maneno ovyo ya Urusi. Maneno hayo anayokusudia Biden yanaweza kuwa siku mbili kabla ya tangazo la matokeo ya kura za maoni aliyosema Putin kuwa Urusi ina silaha za...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani waanza kuisusa Ukraine au ni uwoga wa vita?

    White House responds to Ukraine’s NATO request Now is not the time, says national security adviser Jake Sullivan.
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

    Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru. Kuunganisha...
  6. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

    Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
  7. JamiiForums Tanzania Putin arekodi meseji kadhaa za kuhamasisha vita vita, kisha atoweka zake

    Haijabainika alikojificha, ila kaacha amejirekodi video zake kadhaa za kutia hamasa ya watu wake wapigane Ukraine kisha akatoweka.......... Huku maandamano yakirindima nchi yote. Vladimir Putin has reportedly hunkered down in a remote palace on ‘holiday’ as widespread protests spread through...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

    "Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini. Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa. Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Na JumaKilumbi, Septemba 22, 2022. Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na ufadhili. Harakati zake hazikuwahi kuwa nyepesi, Hali bora ya maisha ya wananchi wake haikushuka kama...
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Rais Erdogan wa Uturuki: Putin yuko tayari kumaliza vita

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa. Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...
  11. JamiiForums Tanzania Bujibuji usijaribu kununua vita isiyokuhusu, utapata shida sana kushinda.

    Bro huu ni ujumbe kwako, malaika wa mtu ni mtu. Malaika walisha acha kushuka zama za bikira Maria, Yesu alipoacha msaidizi, wasaidizi ni sisi wenyewe binadamu. Nimeona kuna uzi mmoja umesema unataka kumvusha mtu mmoja, Broo, ngoja nikupe darasa ambalo hulijui. Umaskini ni laana, laana hii...
  12. JamiiForums Tanzania India yamchoka Putin, yamuagiza aache vita

    Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran, sema kwa China mnufaika wa hivi vita itaendelea kuomba visiishe. Iran haiwezi kubadilisha msimamo...
  13. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  14. JamiiForums Tanzania Papa Francis asema kuipa silaha Ukraine inakubalika kimaadili lakini majadiliano ni muhimu

    Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi. Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan. ======== Jana Alhamis Papa Francis amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Putin katelekeza wanajeshi wake toka vita ianze miezi 8 sasa hajawahi watembelea askari wake walio msitari wa mbele Ukraine

    Vita ikilipuka amiri Jeshi mkuu huwa ana kawaida kuwatembelea wapiganaji walio msitari wa mbele vitani kuongea nao na kuwatia moyo na kuwasikiliza Raisi Zelensnkyy wa Ukraine amekuwa akiwatembelea mara kwa mara Askari wake walio mstari wa mbele na kupokelewa kwa shangwe na Askari wake Putin...
  16. JamiiForums Tanzania Urusi yabembeleza Armenia na Azerbaijan waache vita

    Urusi imetia adabu, leo hii wamekua wa kwanza kuhubiri amani, yawaomba Armenia na Azerbaijan waache kupigana. ===== "We hope that the agreement reached as a result of Russian mediation on a ceasefire from 9 a.m. (local time) on September 13 will be fully implemented," the Russian Foreign...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha uzi wa “Yanayojiri mgogoro wa Ukraine na Russia” yupo hai au vita vimeondoka naye maana hakuna updates

    Mada yangu hii, imekaa Kwa mtindo wa swali, Nauliza tuu, na kama yupo, Mingy ampe maisha marefu zaidi, Imekuwa ni muda mrefu sasa tokea Julay huko hajawahi tena kuapdate tarifa ya Uzi wake Mimi kila nikiingia Jukwaan, lazima nianze kusoma Uzi wake kwanza, maana huwa ninaamini kuwa yeye ndiye...
  18. JamiiForums Tanzania Kamanda anayeongoza vita dhidi ya Ukraine akamatwa, amechezea kichapo

    Jamaa damu zinavuja, yuko hoi.... Jameni ifike hatua Warusi watafute namna ya kumshawishi Putin aachie ujinga ili hizi aibu zipungue, ageuze majeshi yarudi nyumbani... Ukrainian media outlets and social media users have speculated that a top Russian commander has been captured as Kyiv's...
  19. JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

    Mwanasiasa ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amezungumza mambo mengi katika mahojiano maalum na Dar24 na kufunguka mambo mengi ikiwemo sakata lake la kuvuliwa Uwaziri kwa kile kilichoelezwa aliingia Bungeni akiwa amelewa. KITWAGA: NILILOGWA, NITATENGENEZEWA ZENGWE...
  20. JamiiForums Tanzania Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…